The benefits of being a mistress

The benefits of being a mistress

Hadithi inayokuja ni ya sungura sikia
Hadithi uliyongoja leo ninakuletea.....

Namie wa zamani zamani, nimeimba hako ka wimbo
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Sikuile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungurakarukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karukatena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.

“Sizitakimbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Siokama hakutaka, sasa nakupasulia,

Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
 
Tena wengine akishaona uchumi umetulia anaanza kujidai anawivu, kwenda, ni kuwa sitaki commitment, haya mambo ya kuulizana utakuwa nyumbani saa ngapi, umenioa?
 
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Sikuile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungurakarukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karukatena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.

“Sizitakimbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Siokama hakutaka, sasa nakupasulia,

Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
Heshima yako mzee mwenzangu.......
Sio kwa mashairi haya
 
Tena wengine akishaona uchumi umetulia anaanza kujidai anawivu, kwenda, ni kuwa sitaki commitment, haya mambo ya kuulizana utakuwa nyumbani saa ngapi, umenioa?
Kwani ndoa hupendi kwa sababu ya kuulizwa ulipo?
 
Kuna wanawake wanaoamua kutokuolewa na wanapendelea kuwa na mabwana, hawa mabwana either wanakuwa waume za watu, waliofiwa na wake zao au wanaume waliochelewa kuoa.

Faida za kuwa mistress:
- Hufui nguo za mwanaume, akitoka kazini anapitia kwako, nguo anaenda kufua mke wake, house boy au anafua mwenyewe weekend.
- Hupiki chakula, mara nyingi anakutoa kwenda kula sehemu sehemu.
- Ananunua zawadi maaana anapenda kukupa furaha muda mwingi.
- Huna kelele za mawifi kukuchukia, mama mkwe hakupendi, hujui hata ndugu zake.
Usisahau na kuzeeka mpweke tu.
 
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Sikuile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungurakarukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karukatena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mkia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Sungura nakuambia.

“Sizitakimbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Siokama hakutaka, sasa nakupasulia,

Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
Hivi, we mwanamke...na wewe ulisoma enzi zetu? Manake sidhani kuwa watoto wa JK wanalijua hili shairi.
 
ila ile love ya wawili ina raha yake mkipendana kweli.chamtu hakina raha mkuu

Ndio maana unapokuwa na cha mtu kisikuzoee wa usikizoee. Wote mkifuata katiba manaishi kwa amani tu.
 
Kuna wanawake wanaoamua kutokuolewa na wanapendelea kuwa na mabwana, hawa mabwana either wanakuwa waume za watu, waliofiwa na wake zao au wanaume waliochelewa kuoa.
Si kambangwa wanaamua mama mdogo,wanajikuta wako single baada ya kuchagua saa ana na kujikuta umri umekatika bila kuolewa ndio wanaanza kudandia yeyote bora liende.
Hufui nguo za mwanaume, akitoka kazini anapitia kwako, nguo anaenda kufua mke wake, house boy au anafua mwenyewe weekend.

Hakuna raha kama kuwa na Mume wako nyumbani. Hata achepuke miaka 800,mwisho wa siku anarudi kwa wife wake. Una opt kuwa mchepuko kwa uvivu wa kufua na kupika? Jiongeze mama yangu mdogo.
Huna kelele za mawifi kukuchukia, mama mkwe hakupendi, hujui hata ndugu zake.
Ila utaishi kwa wasiwasi wa kufumaniwa na mwenye bwana. Na hata hao unaokwepa kelele zao wakikugundua kuwa unachepuka na kaka yao unalo. Huko insta hawaishi kuchambana.
BTW kupanga ni kuchagua.
 
Si kambangwa wanaamua mama mdogo,wanajikuta wako single baada ya kuchagua saa ana na kujikuta umri umekatika bila kuolewa ndio wanaanza kudandia yeyote bora liende.


Hakuna raha kama kuwa na Mume wako nyumbani. Hata achepuke miaka 800,mwisho wa siku anarudi kwa wife wake. Una opt kuwa mchepuko kwa uvivu wa kufua na kupika? Jiongeze mama yangu mdogo.
Ila utaishi kwa wasiwasi wa kufumaniwa na mwenye bwana. Na hata hao unaokwepa kelele zao wakikugundua kuwa unachepuka na kaka yao unalo. Huko insta hawaishi kuchambana.
BTW kupanga ni kuchagua.

Ni kifungo uwe kwenye ndoa na mwanaume anachepuka? Awe part time na akianza kujifanya kidume unakatisha mkataba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom