The benefits of being a mistress

The benefits of being a mistress

Una uhakika gani kama mimi ndiye ninawatumia kama kopo la chooni?
Wacha weeeee,kazi ipo ila nakusihi ukiona mtu analeta kashfa na matusi wewe mjibu kiungwana kama navyokuona kila mara una hekima na unajiheshimu sana nakupa salute Sky.
 
Una uhakika gani kama mimi ndiye ninawatumia kama kopo la chooni?

Mpwa si umenena kuwa kinachowakutanisha wewe ni huyo mchepuko wako ni tendo tu sasa kuna tofauti gani na kopo la chooni ambalo linatumika kipindi mtu ajisikiapo haja....!!??

NB; samahani kama nimetumia lugha iliyokukwaza.....
 
Mpwa mimi na wewe hatugombi. Wala usiwe na wasiwasi. Hapa ni kutoa stress full kujiachia.
 
Kuna baadhi ya Watu (jinsia ya kike) wanapata ujuzi kupitia uzi huu.

Sikutegemea kukutana na kitu kama hiki.

Uzi huu funga kazi siku ya leo
 
Hata kiti moto, mbuzi Katoliki ni haramu kwa wengine.
 
ukiona mwanamke wa aina hiyo ni tegemezi, hana elimu wala hana kipato cha maaana katika maisha yake maana hapo anaongozwa na tamaa..ikumbukwe itafika mahali utahitaji kuwa na familia...unaweza fanya ukiwa kijana lakini Finally uzeeni... halafu ni mkatili, mhuni na hajapata malezi mema ya familia..ukiona hivyo anatokea kwenye familia yenye background ya hivyo ni kama ana laana..lakini jiulize itakuwa uwanja wa kuchezewa na wanaume hadi lini?
 
Asante kwa mawazo. Sina elimu lakini ujinga nimetoa.
 
halafu katika maisha jiulize je maisha unayoishi sasa ungependa mwanao aje ayaishi?
 
Asante kwa mawazo. Sina elimu lakini ujinga nimetoa.
kama huna elimu rudi shule hujachelewa..maana hivi wala sio vitu vya kuwa proud of....tamaa mbele mauti nyuma...utaishi maisha hayo hadi lini?.. na unapoishi live a life to inspire others hasa young generation..so be positive n stay positive..
 
Maneno ya mkosaji haya.. Umri ushaenda na ndoa hakuna so unaishia kujifariji kwa kuwa mtumwa wa wanaume za watu, we endelea tu kutumika zaidi ya kopo la chooni...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom