kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
watu wengine wakikukara ni kuwa samehe bure....
nuksi kidogo sasa? We si ulikuwa unamfukuzia uliishia wapi?
Dah una maswali mengi kwani wewe ni polisi? Mimi nilimwacha Mamndenyi pale alipoamua kuolewa na kamanda mwenzangu Mwita Maranya!
Vipi unaoleka?
Poa sana dia Miss youuMie mzima my wifi mpendwa.
Naendelea vizuri mpenzi.
Mzima.
Dah una maswali mengi kwani wewe ni polisi? Mimi nilimwacha Mamndenyi pale alipoamua kuolewa na kamanda mwenzangu Mwita Maranya!
Vipi unaoleka?
Yaani namaanisha humu ChitChat una mke?
Au nikutaftie mwanamke mrembo humu?
Me too wifi yangu.
Yaani namaanisha humu ChitChat una mke?
Au nikutaftie mwanamke mrembo humu?
Anhaaa... Humu nipo single Madame B,nitashukuru LOL!
Anhaaa... Humu nipo single Madame B,nitashukuru LOL!
Nimethibitishwa na TBS kwa viwango vya ubora Lady doctor