Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,572
Kuna wanaume jamani, hadi unamuonea wivu mwanamke mwenzio. Ila ukikutana na furushi sasa!! Unalia kwa niaba ya mwanamke mwenzio.Ni kweli kabisa kuna wanawake Wana raha sana yani unakuta mume anajali mpaka wivuuu
Na wengine sasa ni shida tu
Kweli the world is not fair

umeitika haraka!!!