Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
ufafanuzi upi tena DabyNahitaji ufafanuzi kwenye hiyo sentence niliyokuqoute. ..![]()
ufafanuzi upi tena DabyNahitaji ufafanuzi kwenye hiyo sentence niliyokuqoute. ..![]()
Nyie ni zaidi ya sisi kwetu and we always love you. Semaa hamjui tu shunie.ufafanuzi upi tena Daby
Mungu tu ndie ajuaye mapito n majukumu ndani ya familiaNa wanaume wengine Wana dhana ya kwamba ukitafuta house girl ni uvivu uzembe. Wanachukulia kirahisi sana yani laiti wangejuaaaaaa mungu anawaona tu na hapo uwe mfanyakazi sasa ndo balaa
Na hata hao wamama wa nyumbani pia they need to rest sometimes nasio kufanya kazi kama punda
Inawezekana na mtu asichizi kabisa.
Michepuko kuna kazi maalum huwa wanafanya.
tunajua sana Daby lkn michepuko isiwaendeshe sana tunawapenda piaNyie ni zaidi ya sisi kwetu and we always love you. Semaa hamjui tu shunie.
We Love you more nyie ndugu zetu,wenza wetu,Baba zetu tunapaswa kuelewana tu.Nyie ni zaidi ya sisi kwetu and we always love you. Semaa hamjui tu shunie.
Na hapo ndipo mnapofahamu kuwa ule mchanganyo wa nyama na kabechi mara nyingi si kwakupenda, ni kwakuwa nyama ilikuwa kidogo mama anafanya maarifa.
Mungu hakupi vyote.tunajua sana Daby lkn michepuko isiwaendeshe sana tunawapenda pia
umeongea hivyo kwa hisia nataman ungekua karibu nikuhug asee
We Love you more nyie ndugu zetu,wenza wetu,Baba zetu tunapaswa kuelewana tu.

salio saana nafikiri mbinguni tutaelewana zaidi ya unavyofikiria.Hapo hapo kuna watoto wawili wa wifi umeambiwa watakaa mpaka wamalize shule, unaona kabisa mkate hautoshi asubuhi, inabidi ukirudi kazini uumue unga wa maandazi na hulali mpaka uyakaange ili watoto wanywe chai.Wee acha tu wanawake hua tunajiongeza sana
Otherwise siku nyingine inakua balaa
Halafu cha kushangaza hapo mchepuko anaeza letewa kila kitu
Wewe wifey unaambiwa siko vizuri ndo tunaamua kutumia akili ya ziada
hapo kwa wenzenu kuletwa kusindikiza ni kweli kabisa Daby leo nimekupenda zaidi yaaniMungu hakupi vyote.
Na sisi jinsia ya kiume hatukupewa woe vyote kuna wenzetu waliletwa kusindikiza.
Sikusoma stor mwanzoni that's why nikaanza kutania.
Nawe kiumbe una kazi ya kuguna tu, au ndio tayari lile jukwaa lishakuhamasisha?
I love you too...hapo kwa wenzenu kuletwa kusindikiza ni kweli kabisa Daby leo nimekupenda zaidi yaani
Kuna mmoja aliwahi sema, "nyie wanawake ni wavivu sana,msaidizi wa kazi wa nini?" Na hapo alikuwa anaongea na wanawake ambao ni waajiriwa. Just emagine mwanaume wa hivyo!! Kuwa mwanamke ni shughuli jamani, unalea watoto wadogo na mmoja mwenye ndevu zote.Na wanaume wengine Wana dhana ya kwamba ukitafuta house girl ni uvivu uzembe. Wanachukulia kirahisi sana yani laiti wangejuaaaaaa mungu anawaona tu na hapo uwe mfanyakazi sasa ndo balaa
Na hata hao wamama wa nyumbani pia they need to rest sometimes nasio kufanya kazi kama punda
Yaani siku nimejiunga nimetafuta comment yako japo nione miguno yako hata kuibahatisha. Sijui unaifichaga wapiNawe kiumbe una kazi ya kuguna tu, au ndio tayari lile jukwaa lishakuhamasisha?
Daby kuongea hakutoshi, onyesha hicho unachoongea then uone kama kutakuwa na tatizo.Nyie ni zaidi ya sisi kwetu and we always love you. Semaa hamjui tu shunie.
Very trueNa hapo ndipo mnapofahamu kuwa ule mchanganyo wa nyama na kabechi mara nyingi si kwakupenda, ni kwakuwa nyama ilikuwa kidogo mama anafanya maarifa.
Hapo hapo kuna watoto wawili wa wifi umeambiwa watakaa mpaka wamalize shule, unaona kabisa mkate hautoshi asubuhi, inabidi ukirudi kazini uumue unga wa maandazi na hulali mpaka uyakaange ili watoto wanywe chai.
Kweli afanye hivyo, hiyo ngoma Ni kali Sana, Dube anasema,BAK msaada wako tafadhari