Thamani ya mke

Thamani ya mke

Uwiii wengine ilimradi tu Wana vipande vitatu basi nao tayari ni wanaume
Na wengine majukumu hawatimizi ila sasa habari ya kuchuchana sasa anakua mpolee mtiifuu
Ila mwambie hakuna hiki hakuna kile atavoreact
Wengine wanajua kuning'iniza kengele tu ndio uanaume, yaani amemaliza.
 
Hilo la brown nataka la blue

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Yaani acha tu,akitoka hapo akute chai mezani iko complete, umnawishe na kummiminia chai, na watoto uwe umewaandaa tayari nao uwaandalie chai na uhakikishe wako vizuri, nawe ujiandae uelekee kazini, ukirudi sasa vyombo vinakungoja,usaidie watoto home work,ufue uniform zao,uwaogeshe,uandae na chakula cha usiku, bado kile chakula cha baba.

Hapo baba hajakurudia saa5 ya usiku(alikuwa anapiga soga na wanaume wenzie) akute unamsubiri mle,umuwekee maji ya kuoga ndio mkalale. Na kesho yake uwe wa kwanza kuamka na uamshe nyumba nzima.
 
Tehteh mate bana mbavu zangu mwenzio hukuu
Nivile wanaume hawajui tu Maisha yao yapo mikono mwa mwanamke
Tukitaka kuwamaliza hawa ni dakika sifurii
Sio hawa wanaotusaidia kuimba haki sawa mate, walikuwa baba na babu zetu. Hawa wa sasa ni wa kuhesabu wanaoelewa hilo.
 
Half mbona kila niki scroll naona mimi ndiye ME pekee humu. Uzi wa kike huu eeeh?
Shem si unajua wanaume wa humu sijui wanawake tuliwachukulia nini!! Kusifia wanawake ni ngumu sana yaani ni kosa la jinai,ila ungekuwa unatuponda wangejazana hapa hatari. we mwenyewe sijaona ukisifia
Nimemuona shemeji yangu BAK tu
 
Kuna mmoja aliwahi sema, "nyie wanawake ni wavivu sana,msaidizi wa kazi wa nini?" Na hapo alikuwa anaongea na wanawake ambao ni waajiriwa. Just emagine mwanaume wa hivyo!! Kuwa mwanamke ni shughuli jamani, unalea watoto wadogo na mmoja mwenye ndevu zote.

Asikuambie mtu kazi za nyumbani baada ya kutoka job yataka moyo. Hao wanaolalamika hautawakuta hata siku moja wakisaidia watoto na homework.

Kwa wiki mbili sasa msadizi kaenda likizo, nina watoto watatu chini ya miaka kumi na ajira juu. Hakuna rangi sioni nasubiri kwa hamu arudi nipumzike kidogo.
 
Shem si unajua wanaume wa humu sijui wanawake tuliwachukulia nini!! Kusifia wanawake ni ngumu sana yaani ni kosa la jinai,ila ungekuwa unatuponda wangejazana hapa hatari. we mwenyewe sijaona ukisifia
Nimemuona shemeji yangu BAK tu
Shemeji unataka hadi niwasifu kwa mapambioo na kunena kwa lugha?

Waulize hopeblessed na Shunie hebu.
 
Back
Top Bottom