Thamani ya mke

Thamani ya mke

Mwanaume kuchukua nafasi ya mkeo kwa siku moja tu unaweza chizika
Huo ni ukweli aisee niliona story moja kwenye TV kuhusu Baba kufanya kazi za mke nyumbani kwa wiki tu. Alishangaa sana ni kwa namna gani mkewe anaweza kumudu kazi zote hizo na pia kwenda kazini kuwajibika.
Mwanamke ni kiumbe chenye potential za ajabu
 
Hii thread wanaume waliowahi kuwaudhi wake zao wachangie. Nachokijua ni kwamba saa moja tu mkeo akikuchukia utatamani ardhi ikumeze.Maana hata kama una hela kiasi gani,papuchi utapata lakini thamani ya mke utaiona tu.
 
Mke ana thamani kubwa ila kuna baadhi ya wanawake ambao pia hawajui thamani ya mme hadi waachike ndipo wanazinduka.
 
Back
Top Bottom