kuipa nafasi kabisa hamuwezi n swala gumu sana kwenuSema tusiipe nafasi KABISA
Yaani acha tu, hapo bado unatakiwa ukifika kwenye mambo yetu usiwe gogo, tena anakupimisha na mchepuko wake.Ninakuelewa sana hapo, akimaliza kujikausha anaancha taulo kitandani, soaks zake mwenyewe anatafuta ya pili iko wapi.
Moyo unavuja damu taratibu..kufa mapema...kupooza..kusahau...kulia kila siku ukitoka nje kicheko "cha kulazimisha" angalau uwafikishe watoto mahali fulani jamani!!! Mungu aingilie kati !Hebu ona, Maskini mama WA watu.
Ila Mungu anaona, and trust me sijui maandiko yanasemaje ILA am very sure wanawake Mnathawabu kubwa Sana mbele za haki.
Mungu anawaona kwa namna ya Pekee. Ndiyo maana wanawake mnazeeka mapema coz mnafanya mambo mengi Sana kuliko wanaume.
Kila siku moyo WA mwanamke unajeruhika.
Shunie unaitwa na Asprinkuipa nafasi kabisa hamuwezi n swala gumu sana kwenu
Umeanza hujuma... hakuna kisichozungumzika kama nimekuudhi nisamehe shemeji kipenzi love![]()
![]()
![]()
![]()
Na nitakunyima.
Awabariki sana wanaume hao na ukiwakuta utashangaa kumbe wapo na wanajali hasaWanawake tuna roho ya kipekee sana
Hawa viumbe hawa wanahitaji uvumilivu wa hali ya juu
Kuna vitu vingine vidogo tu mwanaume hawezi kufanya mpaka akuite wewe mwanamke ambae umetingwa na majukumu uje ukifanye
Mungu awabariki wanaume wanaojali wake na familia zao kwakweli
Nilimtembelea my sister wakati kajifungua alafu house maid kasepa, alafu kuna watoto wadogo wa3, yaani nilikuwa nalala kama mbeba zege.Mmmh!
Kuna kipindi nilikaa nyumbani bila msaidizi wa kazi... Mimi ndo nikawa beki tatu... Najikuta kwa siku nna masaa mawili tu kupumzika!
Uamke asubuhi ufanye usafi na kuandaa chai... Hujakaa vizuri uanze fikiria vya kupika mchana... Unamaliza kupika, baada ya kula unaosha vyombo... Unapumzika kidogo na kuanza mishe za kuandaa chakula cha usiku... Mnamaliza kula usiku uoshe vyombo!!! Hapo bado hujafua nguo na shughuli zingine za kwenda sokoni na kutengeneza juice... Na hiyo ni nyumba isiyokua na watoto!!!
Mwanaume wa kawaida hawezi fanya yote hayo...
Kwakweli na awabariki sanaaaa. Familia nyingi zimebebwa na wanawake.
Hatari anaanza kuvulia mlangoni hadi bafuni anadondosha kimojakimoja akitumia bafu utafikiri yumo kwenye jaccuuz maji bafu zima ukasafishe upyaNinakuelewa sana hapo, akimaliza kujikausha anaacha taulo kitandani, soaks zake mwenyewe anatafuta ya pili iko wapi.
Hahaaaa!! Kumbe kwenye kunyimwa unakuwa mpole hivyo. Nilikuwa namaanisha nitakunyima shikamoo.Umeanza hujuma... hakuna kisichozungumzika kama nimekuudhi nisamehe shemeji kipenzi love
Kabisa... Hamna kusema unangojea weekend au likizoKweli aisee, halafu ni daily
Ni kweli kabisa kuna wanawake Wana raha sana yani unakuta mume anajali mpaka wivuuuAwabariki sana wanaume hao na ukiwakuta utashangaa kumbe wapo na wanajali hasa
Tena bora aje mwenyewe, wengine wanarudi na watoto au maradhi kabisa.Ndoivo wao hawajui tu
Mtu anahangaika hukooo mwisho wa siku huyooo anakuja kukupigia magoti eti kuomba msamaha dahhhhhhhhhhh
Shost mmoja alipeleka kesi kwa wakwe, mume hasafishi choo, vilimkera sana, anasema kama hakisafishi basi asikitumie. Conclusion ilifikiwa kila akisafisha mume amlipe.Hatari anaanza kuvulia mlangoni hadi bafuni anadondosha kimojakimoja akitumia bafu utafikiri yumo kwenye jaccuuz maji bafu zima ukasafishe upya
MfyuuuuuuHahaaaa!! Kumbe kwenye kunyimwa unakuwa mpole hivyo. Nilikuwa namaanisha nitakunyima shikamoo.
Hatari anaanza kuvulia mlangoni hadi bafuni anadondosha kimojakimoja akitumia bafu utafikiri yumo kwenye jaccuuz maji bafu zima ukasafishe upya
Daah!!! Its tough but God alituumba wanawake kuhimili hizo kazi...Nilimtembelea my sister wakati kajifungua alafu house maid kasepa, alafu kuna watoto wadogo wa3, yaani nilikuwa nalala kama mbeba zege.
Wiki3 ila duuuuh!!!
Emagine sasa hayo ni maisha ya mtu ya kila siku.