Hospitali za Serikali zina utofauti gani na za watu binafsi?

Nov 26, 2023
88
120
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.

Ni hivi tumeenda hospitali kwa ajili ya mgonjwa wetu kusafishwa kidonda. Tumefika hospitali yani kila kitu tumenunulia duka la dawa hospitalini hakuna chochote zaidi ya manesi na madaktari kweli. Hadi visu vya kuchania nyuzi alizoshonewa ni za kununua. Wanajamii tuambizane kuhusu hili.
 
Unatumia bima ya NHIF?
 
JKCI wapo vizuri kila idara isipokuwa daktari mmoja Muhaya mwenye majivuno ya kijinga.
 
Kwan kuna ugumu gani kufanya majaribio ad uje hapa kuuliza maswali ya kitoto

Ugua malaria nenda hosptr ya serikal af ukitoka nenda hospitar binafsi utapata majb
 
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.

Ni hivi tumeenda hospitali kwa ajili ya mgonjwa wetu kusafishwa kidonda. Tumefika hospitali yani kila kitu tumenunulia duka la dawa hospitalini hakuna chochote zaidi ya manesi na madaktari kweli. Hadi visu vya kuchania nyuzi alizoshonewa ni za kununua. Wanajamii tuambizane kuhusu hili.
Kwa afya naona serikali imeanza ku fail, mama alio jifungua kwa oparation kurudi hosipitali kwa angaliwa kila baada ya siku mbili analipia 15,000 kwahiyo kwa miezi mitatu unajikuta amelipia zaidi ya 300,000...........hapo cost sharing kweli?
 
Yaaan katika upande wa afya tunarudi kule kule maskini hana chake. Serikali inapaswa iangalie hili ijue kua ndani ya nchi kuna watu uwezowao nimdogo sana pona yao wanategenea huduma za afya za serikali sa tukiwa iv vip hawa wezetu wataishije. Mama anafia hospital akingoja huduma ya ukunga kisa hana fedha. Mgonjwa mguu unaoza anapewa Panadol kutuliza maumivu kisa hana pesa kweli. Tanzania bado sana
 
Back
Top Bottom