Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,882
- 10,193
Gonzalo Jara lile lilikuwa kosa lake mara ya kwanza,na kufungiwa mechi 4 timu ya taifa ni sawa na mwaka mmojaAzam wamepeleka malalamiko baada ya picha kuanza kusambaa mtandaoni...
Walipaswa kupeleka malalamiko yao kwa Kamisaa wa match...Hawakufanya hivyo...
Adhabu ya miaka miwili ni kubwa mno...
Gonzalo Jara wa Chile alimfanyia kitendo kama hiki Edinson Cavani wa Uruguay...Adhabu aliyopewa Jara ni kufungiwa mechi nne na faini ya Dola 7,500 za Kimarekani...
FYI....Hii ya Nyosso ni adhabu kubwa kuwahi kutolewa Duniani kwa mchezaji wa Football....Nyosso ndio anashika rekodi ya Dunia sasa hivi akifuatiwa na Diego Maradona aliyefungiwa miezi 15...
Nyoso amepewa hii adhabu baada ya kurudia kitendo kama hiki mara ya pili,last season alifanya tukio kama hilo na alifungiwa mechi 8.Kitu cha msingi ni TFF na Mbeya City watafute wataalamu kujaribu kumsaidia