TFF imemfungia Nyoso kwa miaka miwili kucheza mpira wa miguu

Siku ya kupiga kura atashangaa anakua wa kwanza kwenye foleni maana kila mtu ataogopa kukaa mbele yake!
 
Ni swali la uchokozi tu: HIVI HUYU NYOSSO YUKO UPANDE UPI KISIASA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
 
Amefanya vibaya sana, sana. Lakini wafuatiliaji wa mpira wa miguu wanajua kabisa kwamba huyu jamaa kapewa adhabu kubwa sana. Embu jaribuni ku refer adhabu aliopewa jamaa aliemfanyia ivo Cavan kwenye kombe la Copa American, mechi kati ya Chile na Uruguay
 
Hiyo faini ya wachezaji wa yanga kushangilia upande wa simba ni ya kikoloni
Ni sawa kabisa mkuu. Adebayor alipewa pia adhabu alipokua anashangilia dhidi ya arsenal. Alienda kushangilia mbele ya mashabiki wa arsenal akiwa city
 
Mkuu sijatetea kitendo alichofanya na kama umesoma viziri hapo utaona nimeunga mkono nyoso kupewa adhabu lakini iyo adhabu ni too much, miaka 2 ni muda mrefu sana.
Amefungiwa kwa mujibu wa kanuni, ushauri wangu kwako amasisha wachezaji wanaosapoti ushoga kama wewe ili kanuni zibadilishwe mtu akimtia mwenzie dole afungiwe kucheza kipindi cha kwanza tu si ndio mnavyotaka
 
Amefanya vibaya sana, sana. Lakini wafuatiliaji wa mpira wa miguu wanajua kabisa kwamba huyu jamaa kapewa adhabu kubwa sana. Embu jaribuni ku refer adhabu aliopewa jamaa aliemfanyia ivo Cavan kwenye kombe la Copa American, mechi kati ya Chile na Uruguay

Huyo unaemsema ilikuwa ni mara yake ya kwanza ila huyu wetu ni mara ya mia moja kama sio mia mbili, pia kumbuka Suarez alivyong'ata akiwa liver adhabu aliyopewa na alivyong'ata akiwa Uruguay adhabu aliyopewa
 
Unatumia jazba na hasira kuhukumu kuliko hekima, je unajua kitu gani bocco alimwambia kabla hajamfanyia hivyo. Try to be rational
Angempiga hata kichwa ila sio kuleta tabia za kihanithi uwanjani, hivi huyo nyoso anamwambia nn mkewe na watoto wake kuwa amefungiwa kwa kosa gani
 
Amefungiwa kwa mujibu wa kanuni, ushauri wangu kwako amasisha wachezaji wanaosapoti ushoga kama wewe ili kanuni zibadilishwe mtu akimtia mwenzie dole afungiwe kucheza kipindi cha kwanza tu si ndio mnavyotaka

Unakichwa kigumu kama kada wa chama fulani, unashindwa kuelewa kitu kidogo hivi
 
Mimi Naona Angefungiwa Mechi Moja Tu Tena Iwe Ni Kipindi Cha Kwanza Na Kipindi Cha Pili Aingie Kukipiga Na Kama Ni Faini Basi Apigwe Tsh 1,500/ Tu ILI Kulinda Kipaji Chake. Beki Ya Nyosso Inanikumbusha Mno Beki Yangu Nikiwa UMISETTA Shighatini Ngome Ya UKAWA Mkoa Wa WANAONGOZA KWA UBAHILI Nchini Tanzania, Bugema Na Kabojja Secondary Nchini Uganda Huku Tukiwakomaza Watu Kama Akina Andrew Mukasa, Henry Mwesigwa Na John Nsubuga Wakati Huo Akina Owino, Okwi, Kiiza, Brian Majwega, Sentongo Wakiwasumbua Tu Mama Zao Ktk Mabeseni Ya Kuoga. Natamani Nirudi Tena Ktk Kandanda Tuka JumaNyossoane Vizuri.

Kwani Bangi/Bange Ni Mbaya Mkuu? Mbona WAFUASI Wengi Wa UKAWA Tena Wale Wanaoandamana HUITUMIA Sana Ktk Amsha Amsha Yao?

Hii ndo bangi yenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom