TEUZI: Rais Samia amteua Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi, Sophia Mjema kuwa RC Shinyanga

5 October 2021

Aliyekuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amshukuru Kabunduguru na kuelezea changamoto za Jaji Kiongozi kufukuzia posho za majaji, kufuatilia utendaji wa watumishi wa Mahakama, kujibu maswali yanayoibuka ya waandishi na ya mitandaoni n.k

Source: Mahakama ya Tanzania
 
Majukumu ya Jaji Kiongozi :​

N.B Jaji Kiongozi ni Principal Judge kwa lugha ya mahakama.​

Tanzania: Principal Judge Reminds Magistrates to Observe Fairness​

24 FEBRUARY 2021
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Faustine Kapama
THE Principal Judge of the High Court of Tanzania, Dr Eliezer Feleshi has directed Resident Magistrates to hear and determine cases fairly.
He reminded the magistrates to work according to the oaths they took that require them to observe justice and not make judgments based on race, religion, party, age or gender.
Dr Feleshi issued the directive, while opening training for 71 new magistrates held at the Institute of Judicial Administration (IJA) Lushoto in Tanga region.
The principal judge said that the decisions of the magistrates must be based on the law, the available evidence and court guidelines and not otherwise.

"Don't judge the cases on the basis of hatred, gossip, feelings, or impulses. Go and be part of providing solutions in areas of cases that are being complained of by the people in the primary courts," he stressed.
Dr Feleshi mentioned the areas are those related to cases involving inheritance or administration of estates, the division of matrimonial properties, care and custody of children as well as enforcements and execution of judgments.
He said magistrates should be careful and cautious as bad decisions on those areas are harmful to special groups involving children, widows, widowers and the elderly, as well as undermining public trust in the Judiciary.
In addition, Dr Feleshi reminded the judicial officials to refrain from actions that could tarnish the image of the Judiciary such as the use of abusive language, God-honoring people, wearing unethical clothing, indecency, slander and drunkenness.

He also urged them to refrain from delaying court sessions, to interfere with or interrogate litigants in excess while proceedings are in motion, to delay giving decisions and not to provide copies of judgments, issues which are completely contrary to the ethics of judicial services.
On the other hand, the principal judge urged the new magistrates to focus on the use of Information and Communication Technology (ICT) and the electronic systems used in courts so that they could move with the pace of global change.
He reminded the officers to adhere to the proper use of language in their daily work.
"Don't stop learning language skills and developing vocabulary as most cases heard in the Primary Courts use Kiswahili language, so it will give you a wider scope to promote the official Kiswahili language," he said.

Similarly, Dr Feleshi insisted the magistrates not to isolate themselves from the people and the governing authorities at the grassroots, village, ward and divisional levels under the pretext of protecting the independence of the judiciary.
He pointed out that the leaders of those respective areas are justices of peace and also very important stakeholders of the Judiciary.
The principal judge appealed to the Resident Magistrates to determine the cases within three months and set a target of completing 260 cases per year. He said that by doing so they would achieve the primary goal of the Judiciary of observing justice to all and in time.
On her part, the Deputy Principal of the College, Ms Mwanabaraka Mnyukwa, said they would accord the training great importance having recognised that the trust given to the new magistrates needed great professionalism and integrity.
She pointed out therefore, that provision of such training was an important part of making the magistrates well equipped so that they could fulfill that role ahead of them to perfection.
"Let us remember that judging is the work of God and in the world Judge and Magistrates are the ones who have been given that responsibility. So it is our responsibility to do what God wants us to do," stressed the deputy principal of the College.
A total of 71 new Resident Magistrates were sworn in on February 18, 2021 by the Chief Justice of Tanzania, Prof Ibrahim Juma at Karimjee Stadium in Dar es Salaam.
During the ceremony, the Chief Justice urged the new magistrates to focus on good governance, accountability, which is part of the life of judicial officers and also to be responsible in the whole concept of good resource management and timely justice, as a whole.
 
Miaka mingi nyuma, majina ya viongozi wengi yalikuwa maarufu kwa wananchi, siku hizi mimi kuwajua hata mawaziri tu ni shida, yaani mpaka afanye mambo ya kiki ndo nimjue, sijui kama ndo ilivyo kwa wengine!
Teuzi na tengua zimezidi
Hasa kipindi cha JPM

Zamani watu walienjoy nyadhifa zao
 
Naona BAKWATA inang’ara kama sufi.... hongereni kutesa kwa zamu!
Kwa sentensi hii unamaanisha Kipindi cha nyuma BAKWATA haikua iking'ara kama ilivyo sasa. Swali je, kipindi hicho ilikua fair??!!! Na kama haikua fair kwanini kipindi hiki BAKWATA kung'ara ndio ionekana sio fair kabisa?? Au kuna watu au kundi la watu ni Lazima wao wang'are BAKWATA wao wasing'are !!!
 
Angalia orodha ya Majaji kuanzia Mahakama ya Rufaa na Mahakama kuu,
angalia Wasajili nchi nzima, Mahakimu nchi nzima na watendaji wengine wa mahakama, utagundua walio wengi ni watu wa aina mmoja yaani hakuna uwiano hata kidogo, hii sio sawa kabisa ktk kujenga umoja wa Taifa letu.
Tanznaia lazima ijengwe na watanzania wote.
Angalu Rais anajitahidi kuweka uwiano.
ni vyema mamlaka zingine za uteuzi pia kuzingatia uwiano ili kujenga umoja na mshikamano wa Taifa letu.
Kwa hiyo sisi wenye majina kama Airfryer Ramadhani John inakuwaje?
 
Wadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja Tz? Maana zamani hata wakuu wa mikoa znz walikuwa wanateuliwa na Rais wa JMT baada ya mabadiliko ya katiba ta SMZ madaraka ya uteuzi wakawa chini ya Rais wa ZNZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, sasa kumtoa Jaji aliteuliwa na Rais wa SMZ sio kuingilia Mamlaka ya SMZ?
Huyu mama anaiga kila kitu ya jiwe, bado tu kugawa pesa barabarani
 
Je, Mzanzibar akitaka kukata rufani kwa shauri lililofunguliwa Zanzibar analeta bara kwenye mahakama ya rufani?
Zanzibar Mahakama inaishia Mahakama kuu tu, hivyo Jaji Makungu alikuwa Jaji Mkuu wa Mahakama kuu ya zanz, na mahakama zililo chini, suala la mahakama ya rufaa ambayo ndio iliyo juu kabisa ni suala la Muungano hivyo ni sawa kuteuliwa huku, rejea inaweza kufanywa kwa Jaji Ramadhani ambaye kabla yakuwa Jaji Mkuu huku alikuwa Jaji Mkuu zanzibar baadaye akateuliwa kuja kuwa Jaji Rufaa.
 
Amepanda. Kutoka Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu, hadi Jaji wa Mahakama ya Rufaa, (Justice of Appeal).

Mahakama ya Rufaa ndiyo Mahakama ya mwisho kimaamuzi ndani ya Muungano. Ipo juu ya Mahakama zote ikiwemo za Zanzibar.

Hata Marehemu A.S. Ramadhan aliwahi kuwa CJ Zanzibar na CJ Tanzania.

NB: Kuwa CJ Tanzania, ni lazima muhusika awe Jaji wa Mahakama ya Rufaa, (Justice of Appeal)
Je, Zanzibar vikao vya mahakama ya rufani vinafanyika Mzanzibar akitaka kukata Rufaa shauri lake linasikilizwa wapi?
 
Umeanza na jibu halafu ukamalizia na swali.

Vikao vya Mahakama ya Rufaa hufanyika popote ndani Tanzania ikiwemo Zanzibar.

Mahakama ya Rufaa inasikiliza mashauri yote ya Rufaa yaliyoanzia Mahakama Kuu au yaliyopitia Mahakama Kuu yakitokea Mahakama za chini ya Mahakama Kuu ya Zanzibar au Tanzania
 
Jaji Siyani ni Mfano mzuri na kwa Majaji wengine.
ni mtu mtenda haki na mpenda haki, ni mtu asiye penda uonevu, asiye penda majungu wala fitina ni mtu mwenye maono,
mchapa kazi asiye choka.
Hakika ataisafisha mahakama na itaboreka zaidi.
Sijawahi kukuona ukimsifia aliyemuibua na kumfikisha hapo alipo ambaye ni Jaji Feleshi, nyie watu ni wanafiki sana..hehe
 
Tukimsikiliza Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu tunapata picha kuwa majukumu ya jaji kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania ni nafasi ya kiutawala na kiutendaji zaidi kuhakikisha Mahakama zinapata waajiriwa wa kutosha, vitendea kazi, kutatua changamoto zinazojitokeza, kufukuzia bajeti na stahili za wafanyakazi kama mahakimu wafawidhi, majaji n.k

Hivyo jaji Kiongozi kutumika mahakamani kusikiliza kesi, kwa Jaji Kiongozi itakuwa ngumu maana yupo zaidi kusimamia taasisi kama msaidizi na mshauri wa Jaji Mkuu

27 Jan 2020
JAJI KIONGOZI ELIEZER MBUKI FELESHI " HAKUNA URASIMU KUFUNGUA MASHAURI, UNAWEZA KUSIKILWA SIKU HIYO HIYO"

Uongozi wa mahakama umezungumza na wanahabari kwa lengo la kueleze mafanikio ya muhimili huo muhimu ambapo pamoja na mambo ya kupunguza idadi za kesi ambazo hazijapagiwa kusikilizwa, umetangaza mpango wa kujengwa kwa jengo la mahakama kuu Dodoma. Jaji Kiongozi Eliezer Mbuki Feleshi aliwapa wanahabari wasaa wakuuliza maswali ambayo pengine yanahitaji majibu ya kina.
Source : Global TV online
Kichwa kimetulia sana hiki, ni swala la muda tu.
 
Majukumu ya Jaji Kiongozi :​

N.B Jaji Kiongozi ni Principal Judge kwa lugha ya mahakama.​

Tanzania: Principal Judge Reminds Magistrates to Observe Fairness​

24 FEBRUARY 2021
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Faustine Kapama
THE Principal Judge of the High Court of Tanzania, Dr Eliezer Feleshi has directed Resident Magistrates to hear and determine cases fairly.
He reminded the magistrates to work according to the oaths they took that require them to observe justice and not make judgments based on race, religion, party, age or gender.
Dr Feleshi issued the directive, while opening training for 71 new magistrates held at the Institute of Judicial Administration (IJA) Lushoto in Tanga region.
The principal judge said that the decisions of the magistrates must be based on the law, the available evidence and court guidelines and not otherwise.

"Don't judge the cases on the basis of hatred, gossip, feelings, or impulses. Go and be part of providing solutions in areas of cases that are being complained of by the people in the primary courts," he stressed.
Dr Feleshi mentioned the areas are those related to cases involving inheritance or administration of estates, the division of matrimonial properties, care and custody of children as well as enforcements and execution of judgments.
He said magistrates should be careful and cautious as bad decisions on those areas are harmful to special groups involving children, widows, widowers and the elderly, as well as undermining public trust in the Judiciary.
In addition, Dr Feleshi reminded the judicial officials to refrain from actions that could tarnish the image of the Judiciary such as the use of abusive language, God-honoring people, wearing unethical clothing, indecency, slander and drunkenness.

He also urged them to refrain from delaying court sessions, to interfere with or interrogate litigants in excess while proceedings are in motion, to delay giving decisions and not to provide copies of judgments, issues which are completely contrary to the ethics of judicial services.
On the other hand, the principal judge urged the new magistrates to focus on the use of Information and Communication Technology (ICT) and the electronic systems used in courts so that they could move with the pace of global change.
He reminded the officers to adhere to the proper use of language in their daily work.
"Don't stop learning language skills and developing vocabulary as most cases heard in the Primary Courts use Kiswahili language, so it will give you a wider scope to promote the official Kiswahili language," he said.

Similarly, Dr Feleshi insisted the magistrates not to isolate themselves from the people and the governing authorities at the grassroots, village, ward and divisional levels under the pretext of protecting the independence of the judiciary.
He pointed out that the leaders of those respective areas are justices of peace and also very important stakeholders of the Judiciary.
The principal judge appealed to the Resident Magistrates to determine the cases within three months and set a target of completing 260 cases per year. He said that by doing so they would achieve the primary goal of the Judiciary of observing justice to all and in time.
On her part, the Deputy Principal of the College, Ms Mwanabaraka Mnyukwa, said they would accord the training great importance having recognised that the trust given to the new magistrates needed great professionalism and integrity.
She pointed out therefore, that provision of such training was an important part of making the magistrates well equipped so that they could fulfill that role ahead of them to perfection.
"Let us remember that judging is the work of God and in the world Judge and Magistrates are the ones who have been given that responsibility. So it is our responsibility to do what God wants us to do," stressed the deputy principal of the College.
A total of 71 new Resident Magistrates were sworn in on February 18, 2021 by the Chief Justice of Tanzania, Prof Ibrahim Juma at Karimjee Stadium in Dar es Salaam.
During the ceremony, the Chief Justice urged the new magistrates to focus on good governance, accountability, which is part of the life of judicial officers and also to be responsible in the whole concept of good resource management and timely justice, as a whole.
Haya maandishi ya kizungu wananchi wengi hatuyaelewi.
Baada ya Uteuzi wa Jaji Kiongozi Mpya Siyani Wakishirikiana na Mtendaji Mkuu wa Mahakamq Prof: Elisante wananchi tunaimani kuwa sasa Matumizi ya Lugha ya Kiswahili katika kutoa haki za wananchi kuanzia Mahakama za Wilaya hadi Mahakama za Rufaa yataharakishwa kwa masilahi ya wananchi wa Tanzania.
 
Kama hawatamuchia huyu Jaji aliyesikiliza kesi hii kuendelea nayo basi Jaji atakayepangiwa atadai hajui lolote kuhusu ushahidi wa kesi hii. Hivyo kesi kuanza upya kabisa na Mbowe na wenzie kuendelea kusota lupango kwa miezi mingine chungu nzima.
Nole iko njiani, Mbowe anaachiwa na DPP.
 
Feleshi alikuwa DPP, anamuibuwa vipi Jaji? By the way Jaji ni Presidential appointment.
Kamuulize yeye atakueleza kaibuliwa vipi, kitu usokijua ni bora ukaomba usaidiwe kujua kuliko kujifanya unajua kila kitu.
 
Jaji Siyani ni Mfano mzuri na kwa Majaji wengine.
ni mtu mtenda haki na mpenda haki, ni mtu asiye penda uonevu, asiye penda majungu wala fitina ni mtu mwenye maono,
mchapa kazi asiye choka.
Hakika ataisafisha mahakama na itaboreka zaidi.
Too early to say that
 
Back
Top Bottom