Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
CCM wanaogopa nini!!! Wakatwe hao tuendeleee alaaaa.
 
Jina la kijana mwigulu naamini lipo ni adimu kuwa na aina ya viongozi km yy ktk kizazi cha sasa,nampenda sana,namuamini,naamini atapita kweli km watatenda haki..,

kama unamuamini mpe dada yako amuoe na c kuwa rais wa jmt
 

Attachments

  • 1436533473381.jpg
    1436533473381.jpg
    17.6 KB · Views: 1,162
Habari za Lowasa kukatwa zina uhakika kiasi gani? Yaani ina maana Sumaye ameogopwa zaidi ya EL?
 
JINA la Edward Lowassa, mmoja wa wasaka urais kwa udi na uvumba, limeenguliwa katika hatua za awali za kinyang’anyiro hicho. Anaandika Saed Kubenea … (endelea).

"Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na mmoja wa viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinasema, jina la Lowassa limeondolewa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya viongozi".


​
“Ni kweli kuwa jina la Lowassa limeondolewa katika kinyang’anyiro hiki. Wakubwa wamekuja na msimamo na wameapa kuwa hawataki kumsikia mtu anayeitwa Lowassa akikatiza kuingia NEC ,” ameeleza mtoa taarifa wa gazeti hili.
Vikao vya uteuzi vya CCM – Kamati ya Maadili, Kamati Kuu (CC) na Halamashauri Kuu – tayari vimeanza mjini Dodoma mchana huu. Kikao cha NEC kinatarajiwa kuanza saa mbili usiku.
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema, ikiwa jina la Lowassa litaondolewa katika hatua hiyo ya awali, basi ndoto za mwanasiasa huyo kushika madaraka ya urais tangu mwaka 1995, zitakuwa zimezimwa.
Habari zinasema, kuzimwa kwa ndoto za Lowassa, kunafuatia taarifa kuwa mchakato wa uchujaji majina ya wasaka urais, kuendeshwa na idara ya usalama ya chama ambayo imesheheni “wabaya” wake.
 
EL asipoingia tano bora mbona nchi itazizima kama 2005 CCM Arusha ilivyozizima baada ya Batilda kumwagwa, watangaze basi ili mioyo yetu itulie

Yaan acha kabisa. Huu mnara wa vibaka uliokiteka chama chetu na udondoke leo.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom