Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
wewe ambaye sio mwana ccm lakini team lowasa? mbona hueleweki?
Hivyo hivyo mkuu akikatwa patachimbika tuuu....
wewe ambaye sio mwana ccm lakini team lowasa? mbona hueleweki?
Kuna mtoto wa Kikwete (Jina Kapuni) anasema Lowasa hata tano bora hayupo Raisi ni Jaji Augistino.... Na yuko very sure...
Sijui ni kweli ama vipi.. Ngoja tusubirie
Wanajua Rais wakati Ukawa hawajatoa jina la mgombea wao? Mbona bado mnafikra za kizamani namna hii? Kwani uchaguzi wenye gharama kubwa unafanyika wa nini October kama Rais kesha patikana? Si bora hizo pesa wangepewa wananchi wajinunulie magazeti wajipepe tuu?
Raisi ni Jaji Augustino Ramadhani makamu Lowassa
Mkuu mito njoo huku uone chombo kinavyokwenda mrama! Bora tulijiandaa mapema kutegemea yasiyotegemewa! Hii ndio CCM.
Kenya itazidi kutuacha mbali, masikini Tz
Kuna mtoto wa Kikwete (Jina Kapuni) anasema Lowasa hata tano bora hayupo Raisi ni Jaji Augistino.... Na yuko very sure...
Sijui ni kweli ama vipi.. Ngoja tusubirie
Maamuzi hayatafanywa na JK peke yake kumbuka
Atapinduliwa..
Ndio maamuzi hayo
Hata 10 bora hayumo
Kuna mtoto wa Kikwete (Jina Kapuni) anasema Lowasa hata tano bora hayupo Raisi ni Jaji Augistino.... Na yuko very sure...
Sijui ni kweli ama vipi.. Ngoja tusubirie
Kuwepo huko sijui mkuu.. Yule jamaa alikua hataki kwenda deep
TUONDOLEE FIKRA ZA KIZAMANI Tafadhali. HUYO atakuwa ni mgombea urais kwa tiketi ya CCM. Rais ni yule atakaeshinda uchaguzi mkuu.
Kwanini Mkuu
Lowasa ni malaika aliyetumwa na Mungu kutukomboa watanzania