Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Confirmed top five are:
1. Ret. Gen/Judge and Pastor August Ramadhan
2. Comrade Bernard Membe
3. Dr Asha-Rose Migiro
4. Uncle Makongoro Nyerere
5. Prof Mwandosya


Jina la Waziri Mkuu Pinda lazima liwepo na pia Bilal ili tuwe na wawili kutoka Znz.
 
Nilisikia mahali Sheikh Yahaya alishakufa na alimwachia mikoba mtoto wake sasa hawa wengine wnaokuja na tabiri za ajabu ajabu ni kwanini wsichukua kazi za mamlaka ya hali ya hewa.
 
Jina la kijana mwigulu naamini lipo ni adimu kuwa na aina ya viongozi km yy ktk kizazi cha sasa,nampenda sana,namuamini,naamini atapita kweli km watatenda haki..,
 
Nilisikia mahali Sheikh Yahaya alishakufa na alimwachia mikoba mtoto wake sasa hawa wengine wnaokuja na tabiri za ajabu ajabu ni kwanini wsichukua kazi za mamlaka ya hali ya hewa.
Ngongo; tano bora; 1. Mwandosya 2. Ramadhani 3. Billali 4. Pinda 5. Migiro
tatu bora; 1. Mwandosya 2. Ramadhani 4. Migiro
Raisi + Makamu; 1.Ramadhani 2. oMwandosya
Waziri mkuu; Migiro

NB; Karibu Raskazone jpili jioni unizawadie ka - guiness
 
Last edited by a moderator:
Kuna taarifa kuwa huyu mama yuko Dodoma, Je kaja kumsaidia mwanae kwenye kampeni?

Mwanae akishindwa atajisikiaje au atamuonaje JK? anahisi ni chama cha mumewe au cha watanzania? mbona mke wa Mwinyi na Mkapa hawapo Dodoma? kunani?
 
kuna taarifa kuwa huyu mama yuko dodoma,je kaja kumsaidia mwanae kwenye kampeni? mwanae akishindwa atajisikiaje au atamuonaje jk? anahisi ni chama cha mumewe au cha watanzania? mbona mke wa mwinyi na mkapa hawapo dodoma? kunani?

Mbona SOPHIA SIMBA yupo pia kumsaidia Lowasa?
 
Watu weeengi wanadai ooh LAIGWAN atakatwa jina ooh atachinjiwa baharini mara oooh atatoswa.Mtazamo wangu ni kwamba LAIGWAN hatakatwa jina ila anaweza asikidhi vigezo kitu kitakachopelekea kuenguliwa baada ya kushindwa na wagombea wengine, sababu hayupo peke yake.Kati ya watu 38 sio lazima awe mamvi sababu hata ukitoa mtihani darasani, lazima kuna wa kwanza na wa mwisho hivyo ikitokea mamvi akaenguliwa ni kwa sababu ya ubora wa wagombea wengine na kutokukidhi vigezo.
 
Out of Point kwani yeye ni nani wa kusema hivo? Mimi nimetoa prediction yangu na yeye basi atoe yake. Msomi siku zote anaheshimu maoni ya wenzake. He can take his judgement and have it with tea!!

Nadhani kakuelewa
 
Team, team, team!
Kila mgombea ana timu yake!
Timu Makongoro ndio hiyo.
 
Uongo umezidi mtandaoni sasa, mlisema Mama Maria Nyerere amefariki sasa mnaanza mengine.
 
Vyombo vya habari vitoe tuzo kwa mwanasiasa aliyewawezesha kuuza habari zaidi mwaka huu Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom