Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
January Makamba na Benard Membe wamepatikana na hatia ya kosa la kufanya kampeni kabla ya muda kinyume cha taratibu na kanuni za CCM.

Ngeleja na Lowassa wamekutwa na makosa matatu kila mmoja ambayo ni uadilifu, kutoa rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda.

Lowassa ameonekana kuwa na utovu mkubwa wa nidhamu kwani amedaiwa kusambaza fomu as udhamini kabla ya muda huku akihonga watu kuchukua kadi mpya za chama maeneo ya Zanzibar kinyume cha sheria.

Pia Lowassa na Membe wamedaiwa kukigawa vibaya chama pamoja na vyombo vya habari hali iliyotafsiriwa kuwa ni makosa kulingana na miiko ya CCM.

Kwa maana hiyo mashitaka yote yanapelekwa kamati kuu ya CCM kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi.

Leo usiku hatima ya hawa wote itajulikana. Sisi tutakuwepo kumulika kwa macho kama paka
___________
___________
UPDATES
Taarifa kutoka ndani ya kikao cha kamati ya maadili na usalama CCM zimebainisha kuwa tuhuma nzito zimetolewa na idara ya usalama wa taifa dhidi ya Edward Lowassa kuwa Lowassa aliigawa vibaya idara hiyo nyeti. Kufuatia tuhuma hizo, wazee ambao walikuwa viongozi waandamizi wa serikali wamependekeza ndani ya kikao hicho kuwa jina la Lowassa likatwe mara moja na asijadiliwe tena kamati kuu ya chama hicho.
=======
UPDATE 1:

Hatimae Safari Ya Lowasa Yafika Ukingoni

Ile Safari ya matumaini ya Mh Edward Lowasa sasa imefika ukingoni baada ya fununu [rumours] kwenye mitaa na vyumba vya habari na wanahabari Dar es Salaam na Dodoma kusheheni mijadala na minong'ono na hata maelezo yenye sifa zote kuwa sasa ile safari ya gwiji wa siasa za kwenye vyombo vya habari [media] imefika TAMATI.

Ni safari iliyokuwa na mvuto wa aina yake iliyosheheni mambo mengi yenye kuamsha maswali magumu yenye kuitaji majibu mazito. Ni safari ya matumaini ya Mh Edward Ngoyai Lowasa iliyoibua mazungumzo mengi yaliopelekea SIASA za NCHI kuzungumza habari za WATU na si habari za maswala [Issues].

Binafsi sikuwa mpenzi au shabiki wa safari ya matumaini kwa kuwa sikufanana nayo KIITIKADI NA FALSAFA YAKE.Ilikuwa safari iliyosheheni majina makubwa sana kwenye siasa za Tanzania mfano wa majina makubwa kama viongozi wakuu wa kichama wa Mikoa na Wilaya, Wafanyabiashara wakubwa na baadhi ya Mawaziri walio hudumu kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye awamu zote lakini wengi wao wakiwa ni wale ambao utumishi wao ulionekana kuwa na sintofahamu nyingi zilizoibua kukosa tunu ya utumishi ulio tukuka, yani utumishi wa bila mawaa.Kwa timu hiyo kuwa na watu wenye ukwasi mkubwa na wazoefu wa mambo ya Kitaifa safari hiyo inapoishia hapo pasipo kufika kwenye kilele basi kuna jambo ambalo Watanzania kwa ujumla wetu mara baada ya Wanaccm kumpata mgombea wao tarehe 12/07/2015 basi ni dhahili vyombo vya habari na social media zote zitapata kuchambua na hata kupata UKWELI ya yaliokuwa yanajili ndani ya safari hizo zilizokuwa zimezungukwa na mbwembwe nyingi sana.

Hakika kwa hali inavyoendelea kwenye viunga vya JIJI LA DODOMA safari hii sasa inaangaza kwa watu ambao ukisoma alama za nyakati wao wako katika kuhahakikisha wanapata kuungwa mkono na Wanaccm wapewe nafasi ya kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi ambayo pasipo na shaka wao hawana vikwazo vyovyote na zaidi na sifa ambazo zinawapa maksi kwa hali na mali kuwa kwa jinsi Taifa lilipofika hapa ukilinganisha tuliko tolewa na mwasisi wa Taifa hili Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na mpaka hapa tulipofika basi kuna jambo haliko sawa na linaitaji mtu makini sana ambae anasifa zote za kuhahakikisha Tanzania njema inaludi mikononi mwa Watanzania.

Kwangu binafsi na jicho langu ambalo nimeliwekeza zaidi na kwa dhati kabisa kwa mtia nia CHARLES MAKONGORO NYERERE naendelea kuamini kuwa jicho ilo linaangazwa pia na Watanzania walio wengi ambao wana muitaji kiongozi makini kuongoza Tanzania.Tanzania yenye HAKI SAWA na fursa zenye kuinua raia wote kimaendeleo na kupinga kwa dhati Rushwa na Ufisadi na kudumisha Uadilifu na Uzalendo wa Taifa.

Hivyo kufika mwisho kwa safari ya matumaini kunaibua mwanzo wa siasa nyingine mpya na hivyo zile siasa za mitandao [Makundi] kuwa na KIFO kisicho rasmi katika siku hizi chache zilizobaki kufika tarehe 12/07/2015.Hakuna Mtanzania yoyote kwenye Taifa letu asiyejua madhara [IMPACT] ya siasa za mitandao [makundi] ambazo zilinawili sana toka mwaka 1995 na hivyo kulifanya TAIFA kuegemea kwenye siasa za nani ana mfahamu nani na sio kuangalia uwezo wa binafsi [Content] wa mtu katika kutenda mambo yeney faida kwa Taifa.Hatimae JIPU limepata upasuaji .

KUPITIA VYOMBO VYA HABARI MAGAZETI YA LEO TAARIFA KAMA HIZI ZIFUATAZO ZITAWAPA YANAYOENDELEA DOM.
1: Uhuru
Front Page ''Waliokiuka Kanuni ''out''.-Hiki ni chombo kikubwa sana cha CCM

2:Rai
''Lowasa afitiniwa''

3: Shuhuda
''Kikwete Atajwa ''KUMMALIZA'' Lowasa.

4: Umma Tanzania
''Kiwewe Kambi Ya Lowasa''
UPDATE 2:
Daktari Rudolf awasili Dodoma kuangalia afya ya Lowassa

Daktari nguli kutoka ujerumani Dr. Karl Rudolf Ludwing amewasili Dodoma jana usiku kwa ajili ya kuangalia hali ya afya ya Lowassa aliepo huko kwaajili ya mchakato wa kupitishwa kugombea urais.

Taarifa zinadai kuwa daktari huyo mtaalam ambaye amekuwa akimtibu ndugu Lowassa katika kipindi cha nyuma, imembidi kuja Tanzania kwaajili ya mteja wake huyo baada ya kulipwa pesa aliyoitaka ili kuja Tanzania.

Hata hivyo daktari huyo ameahidi kumfanya lowassa aonekane mwenye nguvu hususani wakati huu ambapo pressure ipo juu.

Naamini wana jamvi mko salama na mmeamka na kuendelea na ujenzi wa Taifa.

Niingie moja kwa moja kwenye hoja ya msingi.

Usiku wa kuamkia leo kamati kuu ya CCM iliyokutana chini ya mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi ndg Dr Jakaya Kikwete ili kuchambua majina ya watangaza nia wa Urais ndani ya CCM.Habari za ndani kutoka kwenye kikao hicho zinasema jina la mtu maarufu Ngoyai Lowassa limeondolewa .Msemaji huyo alidokeza kuwa haikuwa kazi rahisi kwani ni wazi Lowassa alikuwa na watu wanaomuunga mkono alisema pia aliendelea kudokeza kuwa "unajua sio rahisi huyu jamaa alijipanga sana ilifikia sehemu akaachiwa mwenyekiti wa kikao na m/kiti wa chama atoe muongozo kwani misuguano ilizidi kwa wana kamati.Lakini baada ya mwenyekiti kuwa na msimamo basi uamuzi ulifikiwa na kwenda mbele.Leo majina matano (05) yatakabidhiwa kwa Halmashauri kuu NEC pamoja na taarifa fupi kwa kila mgombea .

Imekuwa ni siri sana kutangaza wazi nini kilifikiwa ndani ya kamati kuhofia vurugu kwa hiyo kazi kubwa ya sasa ni kuhakikisha wanaweka mambo sawa ili kuondoa mivutano.Halmashauri kuu itakutana ili kuchambua majina matano kuanzia saa 8 usiku wa leo.Msemaji huyo alisema ni kazi kubwa na ngumu kwa mh Kikwete kila mgombea anamtazama yeye hasa wale rafiki zake Lowassa,Ramadhani,Membe,Asha R,na wengine.Hapa nakwambia ukweli tutafikia wakati tuseme tutoe hata Zanzibar kwani huku Bara ni majanga alisema msemaji huyo aliyeoko viunga vya Dodoma.

Leo ni leo ndani ya Halmashauri kuu kuchambua majina matano yatakayo wasilishwa na kamati kuu iliyoketi hapo jana usiku,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,stay tuned,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,swali kubwa akina nani leo watapenya maana sasa ni chama kwanza umaarufu wa mtu baadae.

Ukiachia mbali mbio za Urais ndani ya Chama tawala CCM kuna wimbi kubwa limetanda ndani ya jimbo la Kigoma kaskazini hasa baada ya gwiji na mwanasiasa maarufu Zitto kabwe kusema hatagombea tena Ubunge kupitia jimbo hilo . Vita kubwa ni kati ya Peter S mbunge wa Jimbo la Kigoma mjini CCM na tetesi zilizoopo ni kuwa Peter ameamua kuondoka jimboni mwake kwenda kigoma kaskazini ni baada ya Zitto kusikika kuwa atasimama jimbo la Kigoma mjini sasa Peter atapambana na Acran Peter John Mhadhiri wa chuo kikuu SAUT-MWANZA kutoka chama cha demokrasia na maendeleo a.k.a UKAWA kama atasimamishwa na chama hicho.

Kazi kubwa ya watanzania ni kuchagua na kuamua kazi ya sasa ni ya vyama vya siasa sisi tusubiri lakini mliowanachama wa hivyo vyama waambieni wakuu wenu walete viongozi wanaotufaa watanzania wote.
 
Hatimae Safari Ya Lowasa Yafika Ukingoni

Ile Safari ya matumaini ya Mh Edward Lowasa sasa imefika ukingoni baada ya fununu [rumours] kwenye mitaa na vyumba vya habari na wanahabari Dar es Salaam na Dodoma kusheheni mijadala na minong'ono na hata maelezo yenye sifa zote kuwa sasa ile safari ya gwiji wa siasa za kwenye vyombo vya habari [media] imefika TAMATI.

Ni safari iliyokuwa na mvuto wa aina yake iliyosheheni mambo mengi yenye kuamsha maswali magumu yenye kuitaji majibu mazito. Ni safari ya matumaini ya Mh Edward Ngoyai Lowasa iliyoibua mazungumzo mengi yaliopelekea SIASA za NCHI kuzungumza habari za WATU na si habari za maswala [Issues].

Binafsi sikuwa mpenzi au shabiki wa safari ya matumaini kwa kuwa sikufanana nayo KIITIKADI NA FALSAFA YAKE.Ilikuwa safari iliyosheheni majina makubwa sana kwenye siasa za Tanzania mfano wa majina makubwa kama viongozi wakuu wa kichama wa Mikoa na Wilaya, Wafanyabiashara wakubwa na baadhi ya Mawaziri walio hudumu kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye awamu zote lakini wengi wao wakiwa ni wale ambao utumishi wao ulionekana kuwa na sintofahamu nyingi zilizoibua kukosa tunu ya utumishi ulio tukuka, yani utumishi wa bila mawaa.Kwa timu hiyo kuwa na watu wenye ukwasi mkubwa na wazoefu wa mambo ya Kitaifa safari hiyo inapoishia hapo pasipo kufika kwenye kilele basi kuna jambo ambalo Watanzania kwa ujumla wetu mara baada ya Wanaccm kumpata mgombea wao tarehe 12/07/2015 basi ni dhahili vyombo vya habari na social media zote zitapata kuchambua na hata kupata UKWELI ya yaliokuwa yanajili ndani ya safari hizo zilizokuwa zimezungukwa na mbwembwe nyingi sana.

Hakika kwa hali inavyoendelea kwenye viunga vya JIJI LA DODOMA safari hii sasa inaangaza kwa watu ambao ukisoma alama za nyakati wao wako katika kuhahakikisha wanapata kuungwa mkono na Wanaccm wapewe nafasi ya kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi ambayo pasipo na shaka wao hawana vikwazo vyovyote na zaidi na sifa ambazo zinawapa maksi kwa hali na mali kuwa kwa jinsi Taifa lilipofika hapa ukilinganisha tuliko tolewa na mwasisi wa Taifa hili Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na mpaka hapa tulipofika basi kuna jambo haliko sawa na linaitaji mtu makini sana ambae anasifa zote za kuhahakikisha Tanzania njema inaludi mikononi mwa Watanzania.

Kwangu binafsi na jicho langu ambalo nimeliwekeza zaidi na kwa dhati kabisa kwa mtia nia CHARLES MAKONGORO NYERERE naendelea kuamini kuwa jicho ilo linaangazwa pia na Watanzania walio wengi ambao wana muitaji kiongozi makini kuongoza Tanzania.Tanzania yenye HAKI SAWA na fursa zenye kuinua raia wote kimaendeleo na kupinga kwa dhati Rushwa na Ufisadi na kudumisha Uadilifu na Uzalendo wa Taifa.

Hivyo kufika mwisho kwa safari ya matumaini kunaibua mwanzo wa siasa nyingine mpya na hivyo zile siasa za mitandao [Makundi] kuwa na KIFO kisicho rasmi katika siku hizi chache zilizobaki kufika tarehe 12/07/2015.Hakuna Mtanzania yoyote kwenye Taifa letu asiyejua madhara [IMPACT] ya siasa za mitandao [makundi] ambazo zilinawili sana toka mwaka 1995 na hivyo kulifanya TAIFA kuegemea kwenye siasa za nani ana mfahamu nani na sio kuangalia uwezo wa binafsi [Content] wa mtu katika kutenda mambo yeney faida kwa Taifa.Hatimae JIPU limepata upasuaji .

KUPITIA VYOMBO VYA HABARI MAGAZETI YA LEO TAARIFA KAMA HIZI ZIFUATAZO ZITAWAPA YANAYOENDELEA DOM.
1: Uhuru
Front Page ''Waliokiuka Kanuni ''out''.-Hiki ni chombo kikubwa sana cha CCM

2:Rai
''Lowasa afitiniwa''

3: Shuhuda
''Kikwete Atajwa ''KUMMALIZA'' Lowasa.

4: Umma Tanzania
''Kiwewe Kambi Ya Lowasa''

Leo ndio leo. Ni siku ambayo majina matano ya watangazania wa CCM yatakayowasilishwa NEC yatajulikana. Kamati Kuu inayoketi leo itapendekeza kwa NEC majina matano kwa ajili ya kuyapitisha matatu. Jana, Kamati ya Maadili ilikutana na kufanya kazi ya kutukuka. Ilichambua historia ya kimaadili ya kila mtangazania;kashfa zake na kutoa mapendekezo Kamati Kuu.

Taarifa toka kwa chanzo cha kuaminika ndani ya Kamati ya Maadili zinaonesha kuwa,wapo watangazania ambao hawatajadiliwa na Kamati Kuu kutokana na kuchafuliwa na Ripoti ya Kamati ya Maadili. Ndiyo kusema, Kamati ya Maadili imeshawatafunia vya kutosha Wajumbe wa CC ambao wao watameza kiulaini leo hapa Dodoma. Kamati ya Maadili imewamulika watangazania toka walipokuwa viongozi wa umma na hata kwenye mchakato huu. Kila kitu kizuri na kibaya kimeainishwa na Kamati ya Maadili.

Mambo yamefika patamu. Ni leo. Kamati Kuu inamaliza kazi leo. Unajua kwanini? Wanaopendekezwa watawekwa kwa ubora wao.NEC itakata wawili wa chini. Huo ndio utaratibu. Wasiojua na wajue. Jana,takataka zilianikwa. Usafi ukasifiwa. Leo,ni kama kumsukuma mlevi tu. Wajumbe wapo tayari!

Mzee Tupatupa (kwasasa Dodoma)
 
* JINAMIZI LA NYUMBA ZA SERIKALI, KUITIA HASARA SERIKALI NA MSI ZATUA CC/NEC...

* NYARAKA MUHIMU NA ZA SIRI ZA MUSSA MAGUFULI, SUNDI MLOMO NA SEKELA MWANDOSYA KUTUMIWA NA WAJUMBE WA CC/NEC KUMALIZA KAZI....

Sasa ni wazi mbio za John Magufuli na Prof, Mwandosya zimefikia kikomo baada ya nyaraka muhimu ya madudu yao kupatikana.... Nyaraka hizo ziko tayari kabisa kutumiwa na wajumbe wa CC pamoja na wajumbe wa NEC (kama watapenya).....

Magufuli kwa miaka kadhaa sasa amekuwa akiandamwa na kashfa kubwa ya kuuza nyumba za serikali kiholela, pamoja na kuuza nyumba hizo, waziri Magufuli alidiriki kumuuzia mdogo wake anayefahamika kwa jina la Mussa Magufuli...

Nyaraka za Mussa Magufuli ambaye ni mdogo wake Magufuli zinaonyesha aliajiriwa kwa masharti ya muda kupitia Kumb. Na. GC: 165/467/01/109 na Wakala wa Majengo Tanzania, idara ya "Bussiness Support"... Huku akiwa mwajiriwa wa masharti ya muda na akiwa na siku 9 tu kazini tokea tarehe 26.09.2004 aliyoajiriwa alipewa nyumba 2, na waziri Magufuli katika plot No. 3034, 3082 kinyume na utaratibu, sheria na makubaliano ya serikali....

Sasa ni nyaraka hizo za FP 280 (Agreement for sale) zimenyakwa na leo zitawasilishwa ndani ya Kamati kuu, ili kuonyesha uovu na madudu yaliyotendwa na Magufuli akiwa waziri wa ujenzi...

"Unajua katika siasa utasikia kashfa nyingi sana, za kweli na uongo, ila tunavyopata nyaraka muhimu kama hizi mtu unajua uanzie wapi kujenga hoja... Na sio kusikia maneno ya mitaani mitaani tu"..... Amesikika mjumbe wa Kamati Kuu akiongea jana usiku...

Pamoja na hilo la Mussa Magufuli pia kuna nyaraka muhimu sana kuhusu Sundi Mlomo ambaye upataji wake nyumba naye ulighubikwa na mashaka zimenaswa na zitatumiwa ipasavyo kuonyesha jinsi gani watu wasio staili walimilikishwa nyumba kinyume na utaratibu.
Nyaraka hizo zenye kurasa zaidi ya 42 nazo zitatumiwa ipasavyo...

Katika nyaraka za awali nilizofanikiwa kuziona ni kwamba Stanley Manongi ambaye alikuwa mtumishi wa NSSF aliomba kuuziwa nyumba iliyopo mtaa wa Ubungo Camp yenye Namba UC/HS 8. Lakini barua ya tarehe 9.07.2005 iliyokuwa ikienda kwa wakala wa majengo ilionyesha waziri huyo alimnyanganya Manongi nyumba hiyo na kumpa msichana huyo (Sundi Malomo) ambaye wakati huo alikuwa ni mwanafunzi wa chuo na sio mwajiriwa wa serikali..

* Prof Mwandosya......

Pamoja na nyaraka hizo nzito za Magufuli kutua kwa wajumbe wa Kamati Kuu na wajumbe wa Halmashauri Kuu, vile vile nyaraka kabambe za Sekela Mwandosya zimenaswa na tayari ziko mikononi kwa wajumbe hao kama uthibitisho wa wazi na usio na chepe ya shaka katika uuzaji wa TTCL dhidi ya MSI....

Pamoja na nyaraka hizo pia kuna ushahidi tosha kabisa jinsi Sekela alivyokuwa analipiwa tuition fee na MSI, na mbaya zaidi katika Bank statement za Sekela zinaonyesha trasaction nyingi zilizokuwa zinaingia, kwa haraka haraka mwaka 2002 tu ziliingizwa zaidi ya dola za Kimarekani elfu 80 kwenye akaunti ya Sekela binti wa Mwandosya.... Na uingizaji wa fedha uliendelea kwa miaka mingine kama kawaida....

NB:.... Nimeambatanisha baadhi ya nyaraka hizo, pamoja na magazeti yalivyoibua madudu haya serikalini kipindi hicho....
 
DSN

From Wikipedia, the free encyclopedia

This article is about psychology. For other uses, see Rumor (disambiguation).
A rumor or rumour (see spelling differences) is "a tall tale of explanations of events circulating from person to person and pertaining to an object, event, or issue in public concern".[SUP][1][/SUP]

However, a review of the research on rumor conducted by Pendleton in 1998 found that research across sociology, psychology, and communication studies had widely varying definitions of rumor.[SUP][2][/SUP]

In the social sciences, a rumor involves some kind of a statement whose veracity is not quickly or ever confirmed. In addition, some scholars have identified rumor as a subset of propaganda.

Rumors are also often discussed with regard to "misinformation" and "disinformation" (the former often seen as simply false and the latter seen as deliberately false, though usually from a government source given to the media or a foreign government).[SUP][3][/SUP]

Rumors thus have often been viewed as particular forms of other communication concepts.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna namna vikao vya ccm vitachakachua ili yule mteule wa Mungu asipitishwe. Mungu amenena nami kwamba ameileta HAKI siasani, na anatuletea uongozi si utawala tena. Amesema hamuoni nilivyousambalatisha mtandao uliojinasibu kubinafsisha uongozi wa nchi yenu, lakini sasa kila mtu ananena lugha yake? Amemalizia kwamba miongoni mwa hao watiania 38 yumo Generali wa 'nyota' moja, Huyo ndiye! atakuja kwenu wananchi nanyi mumchague. Mdau tafakari!
 
Kwa jinsi hali ya siasa inavyoendelea Dodoma, taarifa za uhakika ni kwamba ushindani umebakia kati ya pande kuu mbili, upande wa Kwanza ni wa team lowassa na upande wa pili ni wa team Ridhiwani. Tuki assume kwamba mgombea yoyote wa CCM kiti cha urais atashinda Urais Mwezi Oktoba, je Kati ya wagombea wa pande hizi mbili, na kama option ni kuchagua either or (assumption held):

*Wewe Binafsi unadhani upande upi ni nafuu kwa maslahi ya taifa letu?
 
Leo ndio leo.Ni siku ambayo majina matano ya watangazania wa CCM yatakayowasilishwa NEC yatajulikana. Kamati Kuu inayoketi leo itapendekeza kwa NEC majina matano kwa ajili ya kuyapitisha matatu. Jana, Kamati ya Maadili ilikutana na kufanya kazi ya kutukuka. Ilichambua historia ya kimaadili ya kila mtangazania;kashfa zake na kutoa mapendekezo Kamati Kuu.

Taarifa toka kwa chanzo cha kuaminika ndani ya Kamati ya Maadili zinaonesha kuwa,wapo watangazania ambao hawatajadiliwa na Kamati Kuu kutokana na kuchafuliwa na Ripoti ya Kamati ya Maadili.Ndiyo kusema,Kamati ya Maadili imeshawatafunia vya kutosha Wajumbe wa CC ambao wao watameza kiulaini leo hapa Dodoma. Kamati ya Maadili imewamulika watangazania toka walipokuwa viongozi wa umma na hata kwenye mchakato huu. Kila kitu kizuri na kibaya kimeainishwa na Kamati ya Maadili.

Mambo yamefika patamu. Ni leo. Kamati Kuu inamaliza kazi leo. Unajua kwanini? Wanaopendekezwa watawekwa kwa ubora wao.NEC itakata wawili wa chini. Huo ndio utaratibu. Wasiojua na wajue. Jana,takataka zilianikwa. Usafi ukasifiwa. Leo,ni kama kumsukuma mlevi tu. Wajumbe wapo tayari!

Mzee Tupatupa (kwasasa Dodoma)
Yaani umefanya kama alivyofanya Zito ZUberi Kabwe.... Alikuja na mbwembwe nyingiii za kutaja majina ya walio na fedha CHAFU nje, lakini akaishia kuto list ya walio na fedha ETI sis ndo tuchambue za nani halali na za nani haramu...

UNGETAJA USAFI NA UCHAFU UNAOUSEMA...

BTW hiyo kama ya maana haitajwi popote kwenye katiba ya CCM.........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom