Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Mkuu mwanzo naona walikuwa na uamuzi tayari lakini baada ya kufika site na kuona vitisho na ubabe ule uamuzi wao mgumu umeyeyuka kama samli kwenye jua.. Jina limeshatoka kwenye chupa.. Inawezekana leo ndo ukawa mwanzo wa mwisho wa chama tawala..

Yaliyotokea 2005 ndo haya yanayotokea leo..

ukiona hivyo tatizo ni mwenyekiti..haeleweki ..usikute analazimisha mambo!!!....
 
Mkuu @VUTA-NIKUVUTE, mimi mwenyewe nashangaa na wala siamini! Jana badala ya vikao vya kamati kuu kufanyika wakaanza kuwahoji Kingunge na Madabida! Wa nini? Hao ni wakuacha maaana Kingunge ameonyesha kushupaa kufa kupona ndo wamuogope? Dodoma kwa sasa mtu unaweza kupigiwa risasi!Ni kiza vikao vinahama kutoka ukumbi hadi ukumbi! Wanamuogopa nani? Nimeamini CCM ni zaidi ya ijulikanavyo kwenye jamii! Watu wanafanya vikao vya kugawanavyeo na wanaitwa wahusika ndipo maamuzi yafanyike kweli wamefika huko?

Watu wanaingia kamati kuu wanajua fulani ndiye rais, makamu ni fulani, waziri mkuu ni fulani! Hadi mawaziri wanajulikana baadhi yao! Shame!! Nchi hii siyo kampuni binafsi la kikundi cha watu! Over!!
 
mi nilipoona yame ma tweet ya mwenyekiti ni kajua huu ni usanii anapumbaza watu akili...na kwa kuwa huwa hana maamuzi ndo hivyo anapelekeshwa kama alivosema butiku juzi.....najua atabadilisha ratiba ya mambo mpaka ahakikishe alichonuia kinafanikiwa....
 
Wakuu, hapa Dodoma hali ni tete! Lowassa amewatisha watu wakatishika! Lowassa amekuwa dume la mbegu ghafla mbele ya CC! Akipumua CC yote inakumbwa na kimbunga! Kingunge naye ameelekea kushinda kwa kishindo.

Mnaotegemea kikao cha CC hesabuni kuwa CC walishaifanya Kingunge na Kinana jana usiku! Labda itokee miujiza kwa sasa ila 'JAMAA' kawajambisha wakajamba! Jamaa anawika na kusikika kila kona ya Dodoma! Mwalimu hawezi kupumzika kwa amani kamwe!
 
G Sam usikate tamaa ndugu yangu tunasubiri updates kutoka kwa Nape Nnauye Saa 9 mchana. Vile vile usiache kutujuza hali halisi nje ya ukumbi.
 
Last edited by a moderator:
Kuna taarifa kuwa huyu mama yuko Dodoma, Je kaja kumsaidia mwanae kwenye kampeni?

Mwanae akishindwa atajisikiaje au atamuonaje JK? anahisi ni chama cha mumewe au cha watanzania? mbona mke wa Mwinyi na Mkapa hawapo Dodoma? kunani?

Mkapa na Mwinyi hana MTOTO anayegombea
 
Wakuu, hapa Dodoma hali ni tete! Lowassa amewatisha watu wakatishika! Lowassa amekuwa dume la mbegu ghafla mbele ya CC! Akipumua CC yote inakumbwa na kimbunga! Kingunge naye ameelekea kushinda kwa kishindo.

Mnaotegemea kikao cha CC hesabuni kuwa CC walishaifanya Kingunge na Kinana jana usiku! Labda itokee miujiza kwa sasa ila 'JAMAA' kawajambisha wakajamba! Jamaa anawika na kusikika kila kona ya Dodoma! Mwalimu hawezi kupumzika kwa amani kamwe!

kwahiyo tuache kusubiri. ENL kashinda mpambano .. ? kweli rushwa ni noma.. na ujanja woote ccm.. imeshindwa mbele yake.. ? duuh kazi wanayo waasi ..PRESS YOYOTE YA NAPE ITAKAMILISHA HIZI HABARI ZAKO NGOJA TUSUBIRI
 
Wakuu, hapa Dodoma hali ni tete! Lowassa amewatisha watu wakatishika! Lowassa amekuwa dume la mbegu ghafla mbele ya CC! Akipumua CC yote inakumbwa na kimbunga! Kingunge naye ameelekea kushinda kwa kishindo.

Mnaotegemea kikao cha CC hesabuni kuwa CC walishaifanya Kingunge na Kinana jana usiku! Labda itokee miujiza kwa sasa ila 'JAMAA' kawajambisha wakajamba! Jamaa anawika na kusikika kila kona ya Dodoma! Mwalimu hawezi kupumzika kwa amani kamwe!

Mkuu mito njoo huku uone chombo kinavyokwenda mrama! Bora tulijiandaa mapema kutegemea yasiyotegemewa! Hii ndio CCM.
 
Last edited by a moderator:
11350811_777652622352731_4070032125815723128_n.pngMwenyekiti, Rais Jakaya Kikwete; Makamu Mwenyekiti Bara, Philip Mangula; Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein; Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana; Naibu Katibu Mkuu, Vuai Ali Vuai Zanzibar; Naibu Katibu Mkuu Rajabu Luhwavi Bara); Dk.Pindi Chana na Shamsi Vuia Nahodha...
 
Wanajua Rais wakati Ukawa hawajatoa jina la mgombea wao? Mbona bado mnafikra za kizamani namna hii? Kwani uchaguzi wenye gharama kubwa unafanyika wa nini October kama Rais kesha patikana? Si bora hizo pesa wangepewa wananchi wajinunulie magazeti wajipepe tuu?
 
kwani zile pesa zilizotumika kwenye tume ya warioba pamoja na katiba ya ccm , zimetokea wapi na zimeenda wapi ???
 
Acha fujo ww!! labda kama wanamfahamu mgombea wa urais kupitia ccm na sio rais wa jamuhuri ya muungano wa tz, wtz walishaamka hicho chama hawakitaki tena kimewapa mashida kibao
 
Kweli mkuu labda huyo mleta mada angesema mwakirishi wa ccm washamjua lkn siyo kutwambia eti rais
 
kweli ila nikiwaangalia naona kama watamleta nyerere au sokoine mwingine vile ,ebu tusubili tuone,
 
ccm wasidhani uchaguzi wa mwaka huu ni mchezo. andaeni washambuliaji wa kufunga magoli ya mikono..
 
Kuna mtoto wa Kikwete (Jina Kapuni) anasema Lowasa hata tano bora hayupo Raisi ni Jaji Augistino.... Na yuko very sure...

Sijui ni kweli ama vipi.. Ngoja tusubirie
 
Maamuzi hayatafanywa na JK peke yake kumbuka
 
January Makamba na Benard Membe wamepatikana na hatia ya kosa la kufanya kampeni kabla ya muda kinyume cha taratibu na kanuni za CCM.

Ngeleja na Lowassa wamekutwa na makosa matatu kila mmoja ambayo ni uadilifu, kutoa rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda.

Lowassa ameonekana kuwa na utovu mkubwa wa nidhamu kwani amedaiwa kusambaza fomu as udhamini kabla ya muda huku akihonga watu kuchukua kadi mpya za chama maeneo ya Zanzibar kinyume cha sheria.

Pia Lowassa na Membe wamedaiwa kukigawa vibaya chama pamoja na vyombo vya habari hali iliyotafsiriwa kuwa ni makosa kulingana na miiko ya CCM.

Kwa maana hiyo mashitaka yote yanapelekwa kamati kuu ya CCM kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi.

Leo usiku hatima ya hawa wote itajulikana. Sisi tutakuwepo kumulika kwa macho kama p

=======
UPDATE 1:

UPDATE 2:
Unachanganya mambo ya urais na ubunge wa kigoma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom