Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Ili tudumu katika uhuru na umoja yatupasa kushikamana pasipo kujali tofauti zetu.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika.
 
Mnaosubiri majina matano kutangazwa leo mnapoteza muda.

Wanachofanya kwa sasa ni delaying technics, majina hayo yatatangazwa kesho wakati wa mkutano mkuu na mwenyekiti mwenyewe.

Wanafanya hivyo ili kuwafanya wale waliongulia wasipate muda wa kujipanga na mashambulizi au kuamishia hasira zao kwa wagombea wasiotakiwa na vigogo wa chama.
 
Kama hizo tuhuma zingekuwa zimetolewa na kukubaliwa basi hadi sasa majina yangekuwa yashaitwa mapema sana
 
Yaani huko kufuturu walikosema mpaka mda huu??? wanakula vitu gani jamani…Au wanafanya sherehe ya kuwa kata majina wabaya wao???!!!Wakumbuke huu ni mwezi wa Ramadhani hamna kufanya shangwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom