Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Augustine Ramadhni, Bernard Membe, Pombe Magufuli, Asha Migiro, Mizengo Peter.

Chana mkeka, mhindi haliwi kifala hivyo. Benard Membe amepewa points nyingi na mhindi sababu anajua hawezi kupita.

Hapo kwa BKM toa huyo na umweke Braza Mako.
 
jf imepoteza credibility yake kwakweli....tumekosa uhalisia wa mambo todate khaaa!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ebhana Sijawahi Kufurahishwa Humu Na Mwana JF Kama Wewe Tokea Niingie Humu Kwani Kwa Kumtaja Huyo Bingwa Wa Kurapu Congo Nzima Haswa Katika Live Shows Za Kundi Zima Na Ninalolipenda Na Linalonikosha La Wenge Musica BCBG NIMEFURAHI Na You Made Day Mkuu. Uko Sahihi Mkuu Anaitwa Le Animateur Champione De Congo Gentamycine Huku Jina Lake Kamili Likiwa Ni Pitshou Lisimo. Ukienda Katika Shows Zozote Za Wenge BCBG Akianza Tu Kurapu ( Kughani ) Iwe Isiwe Mkuu Lazima Tu Utainuka Kitini Na Kuanza Kucheza Na Sasa Congo Kinshasa Nzima Hadi Angola, Burundi, Rwanda, Ivory Coast, Tanzania, South Africa, Belgium Na France Mtindo Unaochezwa Na Kupendwa Ni Wa MBUNDA,BILOKO Na ROTAROTA. Huyo Rapa Ni Kila Kitu Kwangu Mkuu Kwani NINAMPENDA Kuliko Maelezo. Akhsante!

Uko deep sana mkuu, nimekukubali baada ya kutaja hvyo vyuma (mbunda, biloko na aaaiiiiii rotarota!
 
Bora mkalale Tu, kama hakuna update yoyote mliopo ktk chanzo. Nishachoka na blaa blaa. Best choice is to sleep now.
 
Wakuu G Sam. Vuta Nikuvute na Tandale One, mnatakiwa kufunga updates hadi kesho.

Vinginevyo watu wengine wanaandika huku wakiwa hoi kwa kusubiri.

Rudini kesho ili tuendelee.
 
Hivi mmeshaona kuna picha zinaonesha taarifa ya usalama ya ccm?

Mi nimeona wasap sema nashindwa kuweka hapa
 
My prediction:

1. Mizengo Pinda
2. Mohamed Gharib Bilal
3. Bernard Membe
4. Asha Rose Migiro
5. Augustino Ramadhani

This is the list of merit, fikiria!
 
Inaweza kuwa list mbovuuu pia. Balozi Ally Karume anaweza ingia.


Naona visiwani watapewa nafasi
 
sema ww si utuweke kwa ujumla wetu et ss wanaichi sanduku la kura ndo litaamua hata kama akipita lowasa au mwingine yeyote kutoka ccm
 
sasa hivi asubuhi ila pia wanahaki hawa wadau kuchukua mda mrefu watu 38 kuchagua watu 5 sio kazi rahisi hasa ukiangalia nafasi ni ya urais wa JMT.
hawawezi kufanya hii kazi mchana sababu wapo na shughuli za serikali.
Kila lakheri kwa watia nia....
 
Mwanzoni wakati nasoma hii nilifikiri watu wenye akili wataendelea hapa sasa naona tofauti, mtoa post, hiyo ni habari mpasuko au analysis?
 
Nape alivyo na mbwembwe kama Lowassa amekatwa angeirusha kuanzia Twitter huko, Facebook, Insta, JF na kwenye mbao zote za matangazo hapa Dodoma. Kwa ukimya huu hadi muda wa Daku unapita wenye akili timamu tunaelewa kinachoendelea
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom