Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Breaking news: Lowassa apeta Maadili ,Membe, na Makongoro wanaswa na tuhuma za Rushwa.

Taarifa za kutoka ndani za kikao cha Maadili kinachoendelea hivi sasa mjini Dodoma kimeonyesha njia Salama kwa baadhi ya Makada wa CCM na pia kuwa kichungu kwa Wengine. Makada wa ccm waliopeta kwa urahisi ni Edward Lowassa, Gharibu Bilal na Asha Rose Migiro.

Makada walio kutana na kikwazo cha kamati ya Maadili ni Bernad Membe ambaye Amekutwa na tuhuma za Rushwa zisizo na kificho katika mtanange wa kusaka Udhamini. Taarifa ya Usalama na TAKUKURU ambao ni walikwa zimefanana bila hiana kwa Baadhi ya Wagombea ambao walidiriki kutumia Rushwa kupata wadhamini wameanikwa bila kificho mkoa kwa mkoa, Wagombea hao ni Bernad Membe , January Makamba , Mwigulu Nchemba, Samweli Sitta, Makongoro Nyerere, Jaji Ramadhan na Magufuli.

Aidha Mwenyekiti wa Chama Amekuwa mkali kuliko matarajio ya wajumbe walivyo dhani kuwa itakuwa, Nape na Mangula wameonekana kuwa wapole mpaka sasa kwani report ya usalama na TAKUKURU inaonyesha kuwatisha na kuwatia Simanzi kinyume na Matarajio kwa mgombea wao.

Nipo hapa Dodoma Agwambo Shahiba wa John Okello nitakuletea kila kinachoendelea hapa Dodoma.
Nimecopy na kupest

Ubarikiwe sana mkuu Lowasa ndio rais ajae jina lake haliwezi kukatwa kamwe.
 
Kwa nini Makongoro Nyerere? Kwani urais nchi hii kumbe kweli ni wa kifalme. Kisha atakuja Hussein Mwinyi, Kisha A.ma.ni Karume au mdogo wake, halafu Kikwete mbunge wa Chalinze. Tunangojea mtoto wa Mkapa wala mlolongo hauishi. watanzania kweli malimbwata tu tumelishwa

watu kama ninyi mnatakiwa kuelimishwa. Hivi kwa mfano mtu akiwa anasifa zote za kua kiongozi, eti kwa sababu ametoka familia ya rais basi hastail kuchaguliwa! mbona marekani hawa angalii vitu kama hivi na ndio state iliyo endelea kiumi duniani. Tafakari kwanza kabla ya kutokwa na povu
 
Acha Uwongo Wako Wewe POPOMA Haupo Dodoma Na Hata Kama Upo Dodoma Basi Kwa Sasa Utakuwa Unachunga Tu Ng'ombe Za Familia Huko Mashambani. Kwa Taarifa Yako Tu Kikao Bado Kinaendelea Na Mpaka Sasa Hakuna Anayejua Nini Kinaendelea Humo Ndani Kuna Kuna USIRI Mkubwa Na Wajumbe Wamekula Kiapo Cha Kutovujisha Chochote Kila Kwa Sasa Hadi Baadae ILA Haswa Kesho Mchana Ambapo Mwenyekiti Wa Taifa Atampa Mamlaka Nape Kuyataja Majina Kwani Kuna Uwezekano Hata Kikao Hiki Cha Leo Kikaendelea Hadi Usiku Mkali Ili Kutoa Haki Kwa Wagombea. Na Labda Kwa Kukusaidia Kwakuwa Umeanzisha Uzi Huu Ukijifanya Unajua Nini Kinaendelea Wakati Ukweli Ni Kwamba Hujui Na Unataka Tu Kupata Nini Kinaendelea Mkutanoni Kwa Faida Yako Tu Ni Kwamba Kamati Ya Maadili Imeshauri Kuwa Kutokana Kuna Makundi Makubwa Mawili Ya Lowassa Na Membe Huku Pakiwa Na Shutuma Dhidi Yao Wawili Kuwa Wametumia Sana Pesa Zao Kuhonga Watu Wawili Hao Hata Mmoja Wao Asinuse 5 Bora Ili Kukiokoa Chama Na Mdahalo Wa Jana Wa Mwalimu Nyerere Foundation UMEWAOGOPESHA Wengi Na Huwezi Amini Umeleta INFLUENCE Kubwa Sana Kwa Wajumbe Na Wengi Wanaogopa Laana Ya Nyerere Isije Ikawatafuna Na Hotuba Zake Zinachezwa Mara Kwa Mara. Narudia Kusisitiza Kuwa Katika 5 Bora Si Lowassa au Membe Watakuwemo Na Ukiona Wamewaweka Basi Ujue Wanawazuga Tu Wanachama ILA Kuelekea Kutafuta Wale 3 Bora Safari Yao Itakuwa IMEISHIA Hapo. kuhusu Suala La Rushwa Si Kweli Na Umetudanganya Mkuu Kwani Jana Na Leo Muda Huu PCCB Wameendelea Kusisitiza Kuwa Hakuna Mtu Yoyote Aliyekamatwa Akitoa Rushwa au Amehusika Na Rushwa Huku Dodoma. Muda Mwingine Tuache Kupotoshana Katika Masuala Haya NYETI Kwani Hakusaidii Na Hakuleti Tija Yoyote. Tulieni Mnapikiwa Rais Wenu Wa Awamu Ya Tano Ambaye Naamini Hata UKAWA Wenyewe HAWATAKUWA Na Tatizo Nae Kwani Hata Wao WANAMPENDA Na WANAMKUBALI 99.99%.

mkuu umenena sana, uwe unatupa updates
 
Hayo maneno alisema JK majira kama haya 10 years ago. That is what I wrote. What are you complaining of. Nimetukana wapi? JK siyo kaka yangu. Sijui unasema nini. Mimi nasubiri matokea ya mchujo kama wewe. Mimi ni mtazamaji tu. Nasubiri kufahamu nani atakuwepo katika ya watano bora. Ningekuwa nafanya kampeni ya Mako ningekuwa Dodoma sasa hivi.Mmi sina sina sera. Katiba yangu ni Urantia Book.Kuna matatizo Dodoma. CC itawachuja wale watu . Kama mtu hapendi choice ya watano watakaopitishwa na CC,je,atakuwa anavunja Katiba ya CCM? That is what has to be determined.
 
Kama ni mako kwa nn usimtaje moja kwa moja?
Hakuna namna vikao vya ccm vitachakachua ili yule mteule wa Mungu asipitishwe. Mungu amenena nami kwamba ameileta HAKI siasani, na anatuletea uongozi si utawala tena. Amesema hamuoni nilivyousambalatisha mtandao uliojinasibu kubinafsisha uongozi wa nchi yenu, lakini sasa kila mtu ananena lugha yake? Amemalizia kwamba miongoni mwa hao watiania 38 yumo Generali wa 'nyota' moja, Huyo ndiye! atakuja kwenu wananchi nanyi mumchague. Mdau tafakari!
 
Mnahangaika sana. Mlikuwa wapi siku zote hizi mpaka mnaibuka leo?

Hilo swali 'mlikuwa wapi' linatakiwa kujibiwa na CCM na Serikali yake. Walikuwa wapi wakati hayo yakifanyika na hata kuripotiwa na vyombo vya habari.

Hapo ndipo CCM wanafanana na wajenzi wa Mnara wa Babeli.

Vv
 
Acha Uwongo Wako Wewe POPOMA Haupo Dodoma Na Hata Kama Upo Dodoma Basi Kwa Sasa Utakuwa Unachunga Tu Ng'ombe Za Familia Huko Mashambani. Kwa Taarifa Yako Tu Kikao Bado Kinaendelea Na Mpaka Sasa Hakuna Anayejua Nini Kinaendelea Humo Ndani Kuna Kuna USIRI Mkubwa Na Wajumbe Wamekula Kiapo Cha Kutovujisha Chochote Kila Kwa Sasa Hadi Baadae ILA Haswa Kesho Mchana Ambapo Mwenyekiti Wa Taifa Atampa Mamlaka Nape Kuyataja Majina Kwani Kuna Uwezekano Hata Kikao Hiki Cha Leo Kikaendelea Hadi Usiku Mkali Ili Kutoa Haki Kwa Wagombea. Na Labda Kwa Kukusaidia Kwakuwa Umeanzisha Uzi Huu Ukijifanya Unajua Nini Kinaendelea Wakati Ukweli Ni Kwamba Hujui Na Unataka Tu Kupata Nini Kinaendelea Mkutanoni Kwa Faida Yako Tu Ni Kwamba Kamati Ya Maadili Imeshauri Kuwa Kutokana Kuna Makundi Makubwa Mawili Ya Lowassa Na Membe Huku Pakiwa Na Shutuma Dhidi Yao Wawili Kuwa Wametumia Sana Pesa Zao Kuhonga Watu Wawili Hao Hata Mmoja Wao Asinuse 5 Bora Ili Kukiokoa Chama Na Mdahalo Wa Jana Wa Mwalimu Nyerere Foundation UMEWAOGOPESHA Wengi Na Huwezi Amini Umeleta INFLUENCE Kubwa Sana Kwa Wajumbe Na Wengi Wanaogopa Laana Ya Nyerere Isije Ikawatafuna Na Hotuba Zake Zinachezwa Mara Kwa Mara. Narudia Kusisitiza Kuwa Katika 5 Bora Si Lowassa au Membe Watakuwemo Na Ukiona Wamewaweka Basi Ujue Wanawazuga Tu Wanachama ILA Kuelekea Kutafuta Wale 3 Bora Safari Yao Itakuwa IMEISHIA Hapo. kuhusu Suala La Rushwa Si Kweli Na Umetudanganya Mkuu Kwani Jana Na Leo Muda Huu PCCB Wameendelea Kusisitiza Kuwa Hakuna Mtu Yoyote Aliyekamatwa Akitoa Rushwa au Amehusika Na Rushwa Huku Dodoma. Muda Mwingine Tuache Kupotoshana Katika Masuala Haya NYETI Kwani Hakusaidii Na Hakuleti Tija Yoyote. Tulieni Mnapikiwa Rais Wenu Wa Awamu Ya Tano Ambaye Naamini Hata UKAWA Wenyewe HAWATAKUWA Na Tatizo Nae Kwani Hata Wao WANAMPENDA Na WANAMKUBALI 99.99%.

Mkuu hoja zako nimezipenda sn.upo systematic
 
habari zilizotufikia hivi punde lowasa hajitoa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi . atatangaza leo saa 9. anaona hata tendewa haki na.
 
Swali tunalo na sijui kwanini,kama wananchi tutegemee kiongozi safi ndano ya CCM. Haiwezekani!

CCM wote ni wachafu hakuna aliyemsafi. Na shida sio watu bali muundo na ufanyaji wa kazi serikalini umekaa na kutengeneza mwanya na uovu.

Nawahakikishieni hata Chadema wakiingia serikali kwa system kama hii hakuna kitakachofanyika.

Kama wapinzani wakiingia Ikulu na utashi wa kufumua mfumo fisadi na kuweka mfumo mpya, mianya ya ufisadi ambayo mingi imetengenezwa makusudi itafumuliwa.

Vv
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom