Wajumbe wa KAMATI KUU YA CCM ni:
1. Jakaya Kikwete
2.Dr. Ally Mohamed Shein
3. Philip Mangula
4. Abdulrahman Kinana
5.Dr.Mohamed Gharib Bilal
6.Mizengo Pinda
7.Balozi Seif Ali Idd
8. Anne Makinda
9. Hadija Abood
10. Pandu Ameir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12 Vuai Ali Vuai
13.Nape Nnauye
14. Muhammed Seif Khatib
15. Zakia Meghji
16.Asha-Rose Migiro
17. Sophia Simba
18. Sadifa Juma Khamis
19. Abdalah Bulembo
20. Jenister Muhagama
21.Willium Lukuvi
22. Steven Wasira
23. Dr. Emmanuel Nchimbi
24.Dr. Pindi Chana
25. Jerry Slaa
26..Adam Kimbisa
27. Shamsi Vuai Nahodha
28. Hussein Mwinyi
29. Maua Daftari
30. Samia Suluhu Hassan
31. Dr. Salim Ahmed Salim
32. Prof. Makame Mbarawa.
Kati ya hao wajumbe, Team Lowassa ni namba 5, 17, 18, 19, 23, 25, 26
Kuweka kumbukumbu sahihi kwa mujibu wa taarifa ambazo zimeshaandikwa sana kwenye mitandao ya kijamii, Namba 23 na 25 ndiyo walioandaliwa kukinukisha kwenye Kamati hii endapo jina la Lowassa litakatwa. 23 atassmama na kuhoji sababu za Lowassa kukatwa na 25 ataunga mkono hoja na hapo patakuwa hapatoshi. Ikubukwe pia kuwa 23 ndiye aliyejinasibu kuwa anaweza kummiliki Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete na kwamba anajua madhaifu yake na kwa maana hiyo Mwenyekiti wa CCM hatakuwa na hoja ya msingi ya Lowassa kukatwa
Swali ni je, kwa uchache wao, Team Lowassa wataweza kweli kuidhibiti Kamati Kuu na Lowassa kupita?
