Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
WEWE mfuasi wa Lowassa kazi yako inaisha leo urudi kijijini kwenu sitimbi na boss wako anaenda ICU

Unaongea kitu huna uwakika. Lowassa kafanya madudu leta ushahidi. Kama ameiba kaiba kwa akili .Ona hawa wanajiita wasomi walivyoshikwa.
 
Hizo fununu zifanyieni kwanza kazi ili mpate uhakika ndipo mlete uzi uliojaa, haya uswahilini yanaitwa majungu. Lete kitu kilichokamilika acha kumpigia chapuo mlevi na kujipambanua kambi uliyoko.
 
Swali tunalo na sijui kwanini,kama wananchi tutegemee kiongozi safi ndano ya CCM. Haiwezekani!

CCM wote ni wachafu hakuna aliyemsafi. Na shida sio watu bali muundo na ufanyaji wa kazi serikalini umekaa na kutengeneza mwanya na uovu.

Nawahakikishieni hata Chadema wakiingia serikali kwa system kama hii hakuna kitakachofanyika.
 
G Sam

Taarifa hii ina uhalisia wa asilimia kubwa
 
Last edited by a moderator:
Daktari nguli kutoka ujerumani Dr. Karl Rudolf Ludwing amewasili Dodoma jana usiku kwa ajili ya kuangalia hali ya afya ya Lowassa aliepo huko kwaajili ya mchakato wa kupitishwa kugombea urais.

Taarifa zinadai kuwa daktari huyo mtaalam ambaye amekuwa akimtibu ndugu Lowassa katika kipindi cha nyuma, imembidi kuja Tanzania kwaajili ya mteja wake huyo baada ya kulipwa pesa aliyoitaka ya jumla ya tshs bilioni 73 ili kuja Tanzania.

Hata hivyo daktari huyo ameahidi kumfanya lowassa aonekane mwenye nguvu hususani wakati huu ambapo pressure ipo juu.

My take.
Ni jambo zuri kulinda afya yake ila du hizo pesa mbona nyingi. Pili si angeenda tu ujerumani kutibiwa au ndio anaepuka aibu juu ya afya yake!
 
Mnatapatapa sana wakuu. Si mkae kimya mnaona muda uliobaki bado mwingi kujua kama kakatwa au laah. Magazeti mengi safari hii yanauza kwa kutumia jina la lowasa na sio membe au mako. Kisiasa mnamjenga nyie wenyewe kwa kutumia jinalake kama kitegauchumi.
 
Watanzania hawahitaji Safari ya Matumaini wanahitaji safari ya Uhakika,,,pumbavu akafie mbele kuleeeeeeeeeeeeeeeee
 
* JINAMIZI LA NYUMBA ZA SERIKALI, KUITIA HASARA SERIKALI NA MSI ZATUA CC/NEC...

* NYARAKA MUHIMU NA ZA SIRI ZA MUSSA MAGUFULI, SUNDI MLOMO NA SEKELA MWANDOSYA KUTUMIWA NA WAJUMBE WA CC/NEC KUMALIZA KAZI...

1. Kama hizi kashfa zilijulikana siku nyingi je imekuwaje zinawasilishwa leo?
2. Hao ulioonyesha kashfa zao wameendelea kuteuliwa kushika nyazifa kubwa serikalini je waliowateua hawakuyajua hayo?
3. Unaweza kutuambia ni hatua gani za kinidhamu zimeishawahi kuchukuliwa kwa watu hawa?
4. Kutokana na haya maswali yangu ni dhahili tatizo ni CCM na hakuna msafi ndani ya CCM hivyo kwa hiki ulichokiweka hapa na mnavyoendela kuviweka humu mitandaoni mnatupa mwanga sisi wananchi kuwa ndani ya CCM hakuna msafi na hatutakiwi kamwe kuchagua kiongozi yeyote ndani ya chama hiki.
 
Acheni umbea, Mimi niko Dodoma na niko karibu na hivyo vikao lakini hili uliloleta hapa halipo kabisa.

CCM ina wenyewe tuacheni, nyie si mna UKIWA.

Mandla.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom