Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Ni makundi haya haya ndio yalimuweka huyu kiumbe ikulu

Watanzania sio wasahaulifu,,asijitoe kabisa huyu,pole sana mzee EL,mwenzako amekusaliti..mmekuwa mkipiga dili pamoja for so long na sasa amekugeuka
hulka ya Mswahili, hujisahulisha na anapopata matako hulia mbwata
 
JK hana ubavu wa kumkata Lowasa kamwwe.Kingunge kashamwambia kwamba Lowasa akikatwa CCCM itapoteza..

Kingunge ndio nani ndani ya CCM? huyu ni mganga njaa kama wengine kwani angekuwa ni mmoja wa wanaoheshimika ndani ya CCM asingejionyesha hadharani kuegemea katika kundi la Lowasa
 
)nyi mafundi wa fununu..mtayameza vipi maneno yenu haya pale mtakapoambiwa kuwa..MGOMBE WA URAIS KWA TIKETI YA CCM 2015 NI EDWARD NGOTYAI LOWASAAA.....WATU CHALIIIIIII
 
)nyi mafundi wa fununu..mtayameza vipi maneno yenu haya pale mtakapoambiwa kuwa..MGOMBE WA URAIS KWA TIKETI YA CCM 2015 NI EDWARD NGOTYAI LOWASAAA.....WATU CHALIIIIIII

What? Lowasa? GOD forbid.
 
Si rahis kwa lowasa kukatwa rejea ushind wake kwenye falsafa ya kujivua gamba lowasa ana nguvu ya ushawishi wananchi wanamuunga mkono ndio maana wanajaa kuliko mgombea yoyote vyombo vya habari vinaandika habar zake kuliko mgombea yoyote
 
Wale wote waliofanya kampeni kabla ya wakati hawana budi watolewe kama kweli ccm inataka kurudisha hadhi yake kama tasisisi iliyojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi kwa uongozi wake:shock:
 
Si kwa tiket ya ssm my b kwa chama kingine... hv kweli hyo jamaa ana akili edo rais kweli??

Alizotupiga zinatosha na siku akija mtu ambae anahitaji kufuatilia atazirudisha fasta

Jamaa hawezi kuwa rais ndani ya ccm akatafuta chama cha kumpeleka magogoni.ufisadi aliofanya umetosha kumruhusu kugombea ni kuiweka nchi rehani.
 
Breaking news: Lowassa apeta Maadili ,Membe, na Makongoro wanaswa na tuhuma za Rushwa.

Taarifa za kutoka ndani za kikao cha Maadili kinachoendelea hivi sasa mjini Dodoma kimeonyesha njia Salama kwa baadhi ya Makada wa CCM na pia kuwa kichungu kwa Wengine. Makada wa ccm waliopeta kwa urahisi ni Edward Lowassa, Gharibu Bilal na Asha Rose Migiro.

Makada walio kutana na kikwazo cha kamati ya Maadili ni Bernad Membe ambaye Amekutwa na tuhuma za Rushwa zisizo na kificho katika mtanange wa kusaka Udhamini. Taarifa ya Usalama na TAKUKURU ambao ni walikwa zimefanana bila hiana kwa Baadhi ya Wagombea ambao walidiriki kutumia Rushwa kupata wadhamini wameanikwa bila kificho mkoa kwa mkoa, Wagombea hao ni Bernad Membe , January Makamba , Mwigulu Nchemba, Samweli Sitta, Makongoro Nyerere, Jaji Ramadhan na Magufuli.

Aidha Mwenyekiti wa Chama Amekuwa mkali kuliko matarajio ya wajumbe walivyo dhani kuwa itakuwa, Nape na Mangula wameonekana kuwa wapole mpaka sasa kwani report ya usalama na TAKUKURU inaonyesha kuwatisha na kuwatia Simanzi kinyume na Matarajio kwa mgombea wao.

Nipo hapa Dodoma Agwambo Shahiba wa John Okello nitakuletea kila kinachoendelea hapa Dodoma.
Nimecopy na kupest
 
Mkuu Ritz nikama tulijiuliza pamoja swali hili!
Mkuu wangu jcb.

Hiki pindi inabidi tuwe makini sana ukiwa unameza habari kwa ushabiki utajikuta unaongia chaka.

Nusu sasa uliyopita kila mtu alikuwa anakuja na majina yake kutoka Dodoma wakati hata mkutano haujaanza.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
DSC00427.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom