JK hana ubavu wa kumkata Lowasa kamwwe.Kingunge kashamwambia kwamba Lowasa akikatwa CCCM itapoteza..
Katika hali ya kutaka kuteka nchi hii mafisadi wametenga Billioni 900,wamemkabidhi jasusi APSON MWANGONDA wamsafishe fisadi wao Lowasa.
Pesa hizi zipo zinagawiwa kwa baadhi ya wanausalama wasio waaminifu na wasaliti wakubwa wa nchi hii.
Sasa watu wa Takukuru na Usalama wanamtetea na kumwondolea kashifa zinazojulikana wazi kwa watanzania na kumfanya aonekane kuwa siyo mwizi, mla Rushwa, na mtu wa kujilimbikizia mali.
Pesa hizi zinamweka mbele bila aibu:-
1. Edward Lowasa.
2. Dr. Asha Rose Migiro.
3. Dr. Ghalibu Bilali.
Aidha taarifa hiyo inayoandaliwa inataka kuwafanya wasafi kuwa wachafu,Walengwa ni:-
1. Makongoro Nyerere.
2. Jaji Ramadhani Augustino.
3. Wasira Steven.
Tunaomba vyombo vya usalama muelewe hali ya nchi yetu na msikubaliane na upuuzi wa kuweka viongozi kwa maslahi ya wachache.
Thibitini wale wanausalama ambao sio waaminifu, ambao wamepokea fedha ili wauze taifa letu kwa wachache.
Akhsante Mkuu Kwa Compliment Yako. Tupo Pamoja!
Unautapia ubongo huwezi kuelewa unadhani unajua kumbe hamna kitu. Wanzana woote 45milioni hakuna anayeonekana kuwa na sifa ila waliomo ndani ya koo za kifalme? Amka bro, ubongo unavuja utaisha hivi hivi. Hata Ugriki walilishwa limbwata muda mrefu kama wewe tu, lakini walipoamka kwa sababu mtu fulani kutoka kwenye ukoo tofauti kabisa usiokwa a mazoea jina alipoingia nyumba kubwa akawazindua wagriki wote kwamba sasa ndio saa ya ukombozi. Huhitaji kuambiwa nini kinaendeleawatu kama ninyi mnatakiwa kuelimishwa. Hivi kwa mfano mtu akiwa anasifa zote za kua kiongozi, eti kwa sababu ametoka familia ya rais basi hastail kuchaguliwa! mbona marekani hawa angalii vitu kama hivi na ndio state iliyo endelea kiumi duniani. Tafakari kwanza kabla ya kutokwa na povu
Kingunge yupi,kile kizee kilichopewa vijicent na fisadi Ngoyai kikakafanya mambo yasiyolingana na umri wake kabisa. Kizee hiki kwa kweli kimejiabisha sana,hakina heshima tena mbele ya jamii ya Watanzania.Ingekuwa vema kama kingekaa kimya.
january makamba na benard membe wamepatikana na hatia ya kosa la kufanya kampeni kabla ya muda kinyume cha taratibu na kanuni za ccm.
Ngeleja na lowassa wamekutwa na makosa matatu kila mmoja ambayo ni uadilifu, kutoa rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda.
Lowassa ameonekana kuwa na utovu mkubwa wa nidhamu kwani amedaiwa kusambaza fomu as udhamini kabla ya muda huku akihonga watu kuchukua kadi mpya za chama maeneo ya zanzibar kinyume cha sheria.
Pia lowassa na membe wamedaiwa kukigawa vibaya chama pamoja na vyombo vya habari hali iliyotafsiriwa kuwa ni makosa kulingana na miiko ya ccm.
Kwa maana hiyo mashitaka yote yanapelekwa kamati kuu ya ccm kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi.
Leo usiku hatima ya hawa wote itajulikana. Sisi tutakuwepo kumulika kwa macho kama paka
=======
update 1:
Update 2:
Aisee kweli ndani ya CCM hakuna hata MSAFI MMOJA
Magufuri na nyumba za serikali kumpatia hawara yake Sundi Malomo na Mdogo wake Mussa Magufuri wakati walikuwa sio waajiriwa wa serikali in the first place.
Prof Mwandosya na Mtoto wake Sekela kwenda kusomeshwa S. Africa baada ya kuwauzia MSI, TTCL kwa bei ya kutupwa! Tena MSI ndio wakawa wanamuwekea pesa katika account yake (Sekela)
Katika wanaojifunza kuandika uongo wewe unaongoza!! Sasa wewe umepata wapi taarifa kuwa Lowassa na Membe hawatakuwapo katika tano bora?!
Bado hawajamkata lkn walivyo na usongo nae lazima akatwe tu!Duu jamaa kwani wamemkata?
Nitajitahidi ILA Uniombee Tu Mkuu Kwani Mazingira Yaliyopo Huku Tokea Jana Siyo Rafiki Kivile Isipokuwa UZOEFU Na MBINU Tu Ndizo Zinatusaidia.