Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Sio maofisini tu hata majumbani unyumba imekuwa ni shida kutokana na watu kuwa kwenye vikao, kushinda na kukesha kwenye mitandao na vyombo vya habari kufuatilia watakaoliwa vichwa

Hahaha....
 
Mifano mingine bana.

Ungejibu then nikupe data kwa nini niliuliza hivyo. Huyu mzee lowasa kamuharibia sifa yote aliyokuwa nayo.Mwaka 1995 kingunge alisimama kwenye kamati kuu na kusema uadilifu wa lowasa unatia mashaka na mali alizonazo zinatia shaka kwa umri alionao na utumishi wake serikalini kipindi hicho alikuwa mtumishi tu wa chama.
 
Jamanii waacheni wa mkate leo sisi tunawakata october kwenye sanduku arafu wote chalii...
 
Wakuu,

Haya ni maono yangu na mawazo yangu juu ya nani ataibula kidedea kwenye huu mchakato mkali kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Lazima tukubaliane kwamba ufisadi ndani ya CCM ni sugu na hakuna aliyemsafi.Kuanzia mwenyekiti wake Kikwete na wengine wote kwenye safu ya uongozi ndani ya chama,iweje wamuhukumu Lowassa pekee yake na kwa lipi haswa?

Naomba nisieleweke vibaya,ila sioni wa kuongoza nchi hii isipokuwa Lowassa kwa sasa.Kwanza ni chaguo la watu wengi,na anajua kuchapa kazi.
Ukawa wanajua wazi Lowassa ni kete ngumu kumeza na watashindwa vibaya Lowassa akipita,japokuwa wengi wetu tungependa kutoana CCM wanarudi kwenye usukani tena.

Kwa kuhitimisha naweza kusema,mabadiliko ya kweli haywezi kutoka ndani ya CCM.Pamoja Lowassa anaweza kutaka kubadilisha mambo mengi lakni bado ile dhambi ya ufisadi na rushwa na mambo mengi iko ndan ya damu ya hawa watu.Tuombe tu Mungu atuongoze na kutupitisha kwenye huu mchakato salama na uchaguzi uende salama.

ahsanteni.

Mambo mnaanzisha wenyewe MUNGU anahusikaje? Ukilima bila mbolea ujue utavuna nini!
 
Ma CCM safari hii yasipopata ukichaa yatakuwa na bahati.
 
Kaazi kweli kweli. Kwani ufisadi wa Lowasa unaweza kuhalalishwa kwa kuwachafua akina Magufuli na Mwandosya?

lowassa kaingiaje tena humu?yeye anayo ya kwake richmond wewe tatizo lako nini?kwa hiyo ya lowassa ya override ya wengine kila mtu na msalaba wake
 
Wakuu,

Haya ni maono yangu na mawazo yangu juu ya nani ataibula kidedea kwenye huu mchakato mkali kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Lazima tukubaliane kwamba ufisadi ndani ya CCM ni sugu na hakuna aliyemsafi.Kuanzia mwenyekiti wake Kikwete na wengine wote kwenye safu ya uongozi ndani ya chama,iweje wamuhukumu Lowassa pekee yake na kwa lipi haswa?

Naomba nisieleweke vibaya,ila sioni wa kuongoza nchi hii isipokuwa Lowassa kwa sasa.Kwanza ni chaguo la watu wengi,na anajua kuchapa kazi.
Ukawa wanajua wazi Lowassa ni kete ngumu kumeza na watashindwa vibaya Lowassa akipita,japokuwa wengi wetu tungependa kutoana CCM wanarudi kwenye usukani tena.

Kwa kuhitimisha naweza kusema,mabadiliko ya kweli haywezi kutoka ndani ya CCM.Pamoja Lowassa anaweza kutaka kubadilisha mambo mengi lakni bado ile dhambi ya ufisadi na rushwa na mambo mengi iko ndan ya damu ya hawa watu.Tuombe tu Mungu atuongoze na kutupitisha kwenye huu mchakato salama na uchaguzi uende salama.

ahsanteni.

Nashukuru kuwa umeanza na kusema ni mawazo yako hivyo sina chuki na wewe Kwa mawazo yako ila usichoshe watu Kwa mawazo naweza kuita ni ya kipuuzi, unaposema hakuna mwingine wa kuongoza hii nchi zaidi ya fisadi laowasa wewe ni Nani? Baki na upotofu wako kichwani subiri uchaguzi upite
 
Leo kuna watu wataenda kuzindukia mhimbili kwani pressure zimewazidi dom na mtaani pia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
NI suala la kutulia kidogo na kutumia akili badala ya matako katika kufikiri. Ikiwa habari hii ya Sekela Mwandosya ilitoka mwaka 2002, na Mwandosya akagombea kuteuliwa Uraisi ndani ya CCM mwaka 2005 na kupitishwa hadi tatu bora za mwisho, iweje leo tena iwe ni habari ya kumzuia Mwandosya?

Ina maana Mwandosya alipogombea kuteuliwa mwaka 2005 na kupitishwa hadi ngazi ya mwisho na vikao vya CCM habari hii iliyotoka magazetini 2002 ilikuwa bado haijafanyiwa utafiti kujua ukweli wa mambo? Na alipitishwaje juu ya wingu jeusi kama hili ikiwa kulikuwa na ukweli ndani yake?

Hii si lolote bali kampeni chafu ambazo ni wale wasio na akili watazitilia maanani.

Swali la muhimu hapa je hizo tuhuma ni za kweli regardless ni za mwaka gani Mkuu
 
Kaazi kweli kweli. Kwani ufisadi wa Lowasa unaweza kuhalalishwa kwa kuwachafua akina Magufuli na Mwandosya?

kumbe serikali ya ccm dhaifu sana, inaacha mafisadi tu wana enjoy mtaani
 
Leo huyo kingunge ndio ameshika bango kuwa Lowasa anafaa kuwa rahisi. Huyu ni mzima kweli au hizo nafasi anazoahidiwa na mafungu ya hela yanamfanya asahau kauli yake.
ni mtizamo wake mimi naona atakuwa mzima tu labda wewe ndo nina mashaka nawe since kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo na maoni kadri ya utashi wake na si dhambi
 
Kwa Mnachotaka Kufanya ,Amtakaa Mkasahau, Hao Unawahita Takataka Ndio Watakaleta Uzuni na Majuto Ndani ya Chama Chenu.Mtamkumbuka Mzee Kingunge alichowataadhalisha Jana. Malizaneni Dodoma "UKAWA" Wanawasubiri "SITE".
Panapostahili H hauweki bali unaiweka pasipostahili.
Uandishi huu unaleta ukakasi sana wakati wa kusoma na pia unabadili maana husika.

Ulipaswa kuandika hivi
1.Hamtakaa
2.Unaowaita
3.Watakaoleta
4.Huzuni
5.Alichowatahadharisha
 
Kwa nini Makongoro Nyerere? Kwani urais nchi hii kumbe kweli ni wa kifalme. Kisha atakuja Hussein Mwinyi, Kisha A.ma.ni Karume au mdogo wake, halafu Kikwete mbunge wa Chalinze. Tunangojea mtoto wa Mkapa wala mlolongo hauishi. watanzania kweli malimbwata tu tumelishwa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom