Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Wakati Kamati Kuu ya CCM inakutana leo mjini dodoma, Mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho kikwete ame-tweet hivi.
View attachment 266732




Ni makundi haya haya ndio yalimuweka huyu kiumbe ikulu

Watanzania sio wasahaulifu,,asijitoe kabisa huyu,pole sana mzee EL,mwenzako amekusaliti..mmekuwa mkipiga dili pamoja for so long na sasa amekugeuka
 
Makongoro Nyerere wali asifikiriwe kwani alipokuwa mbunge wa Arusha alilidhalilisha jiji kwa kulala night club, kunywa pombe kupindukia na kufanya vingi vya ajabu ajabu
 
Tetesi za humu nyingi porojo

CCM wote na CC yao wako live azam two now wanazindua ukumbi wao

Hakika naimiss ile jf iliyokuwa na uthubutu wa kusema KWELI na hiyo kweli ikadhihirika bayana, Naam hapa palikuwa mahala pa kupata taarifa zilizosheni ukweli lakini sasa ni hatariii!!
 
Habari za kuaminika ni kuwa madaktari wa hospitali ya mkoa ya Dodoma wameambiwa wakae tayari tayari kupokea wagonjwa watakaotokana na mshtuko wa maamuzi ya vikao vya ccm vinavyoendelea hapa mkoani!

Inaelekea kutakuwa na maamuzi magumu.
 
Ni makundi haya haya ndio yalimuweka huyu kiumbe ikulu

Watanzania sio wasahaulifu,,asijitoe kabisa huyu,pole sana mzee EL,mwenzako amekusaliti..mmekuwa mkipiga dili pamoja for so long na sasa amekugeuka
Na wewe unaamini hiyo account ya Twitter ni ya JK?

Teh teh teh
 
  • Thanks
Reactions: jcb
mdau hizo b73 ni nyingi sana aisee..

Kwa kujaribu kukwepa kifo na aibu MKUU kama unayo utaitoa tu maana nadhani alitakiwa aende yeye jerman lakini kukwepa aibu na hali ya kisiasa inayomkabili akamtaka dk ndiye aje sasa kama inavyojua dk ni mtu muhimu halafu ukizingatia ni dk bingwa kule kwao ikabidi angalie masilahi ya kuiacha nchi yake bila uwepo wake ndiyo akamkung'uta mamvi b.73
 
Hizi update za Daktari kuja kuangalia afya ya mgonjwa wake zina maana gani?
kichwa cha habari na maudhui ya huu uzi na hii update haviendani
 
Wakuu,

Haya ni maono yangu na mawazo yangu juu ya nani ataibula kidedea kwenye huu mchakato mkali kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Lazima tukubaliane kwamba ufisadi ndani ya CCM ni sugu na hakuna aliyemsafi.Kuanzia mwenyekiti wake Kikwete na wengine wote kwenye safu ya uongozi ndani ya chama,iweje wamuhukumu Lowassa pekee yake na kwa lipi haswa?

Naomba nisieleweke vibaya,ila sioni wa kuongoza nchi hii isipokuwa Lowassa kwa sasa.Kwanza ni chaguo la watu wengi,na anajua kuchapa kazi.
Ukawa wanajua wazi Lowassa ni kete ngumu kumeza na watashindwa vibaya Lowassa akipita,japokuwa wengi wetu tungependa kutoana CCM wanarudi kwenye usukani tena.

Kwa kuhitimisha naweza kusema,mabadiliko ya kweli haywezi kutoka ndani ya CCM.Pamoja Lowassa anaweza kutaka kubadilisha mambo mengi lakni bado ile dhambi ya ufisadi na rushwa na mambo mengi iko ndan ya damu ya hawa watu.Tuombe tu Mungu atuongoze na kutupitisha kwenye huu mchakato salama na uchaguzi uende salama.

ahsanteni.
 
kanunue panadol kabisa, maana haitakua siku nzuri kwako leo
 
Kinyume chake ni Kuvunjika kwa CCM vipande vipande ... Uzuri wa team Lowassa ni viongozi wa Dola!!! this time Ngoma Inogole kwa sanaaaaaa ....
 
Naungana na wewe kwa asilimia mia moja kuwa Lowassa ni kiongozi mzuri kuongoza Pesa na si Utu wa watu. Hongereni sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom