Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Hakuna namna vikao vya ccm vitachakachua ili yule mteule wa Mungu asipitishwe. Mungu amenena nami kwamba ameileta HAKI siasani, na anatuletea uongozi si utawala tena. Amesema hamuoni nilivyousambalatisha mtandao uliojinasibu kubinafsisha uongozi wa nchi yenu, lakini sasa kila mtu ananena lugha yake? Amemalizia kwamba miongoni mwa hao watiania 38 yumo Generali wa 'nyota' moja, Huyo ndiye! atakuja kwenu wananchi nanyi mumchague. Mdau tafakari!

unataka kutuambia huyo mteule wa mungu ni atatoka chama cha mafisadi tu? je huku upande wa pili ndio hakuna mteule ?
 
KAMATI ya maadili iliyokutana jana jioni hapa mjini Dodoma pamoja na mambo mengine ilishtushwa na uozo wa Waziri wa Mambo ya nje Ndugu Benard Kamilius Membe

Kutokana na vyanzo vyetu vya uhakika,wapambe wa Membe walioko ndani ya kamati ya maadili walilenga kuendeleza mkakati wao mchafu dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani mh Edward Lowassa

Wapambe wa Membe ndani ya kamati hiyo walikuwa na agenda moja tu 'jina la Lowassa liondolewe katika hatua za awali‘ili kumtengenezea njia Membe

Hata hivyo,mkakati wao huo mchafu uligonga mwamba baada ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Rais Kikwete kuomba mafaili ya Usalama na takukuru yawekwe hadharani ili kumaliza ubishi

Baada ya wajumbe kupitia mafaili ya Wagombea wote cha kushangaza ni kwamba Mh Membe aligundulika kuwa na faili chafu kuliko wagombea wote

Jambo hilo liliwashtua Wapambe wa Membe kwani Mtu wao huyo amekutwa na tuhuma nzito zinazomuondolea sifa za kuwa miongoni mwa Wagombea

Zifuatazo ni Skendo kuu tano nzito za Membe zilizojadiliwa katika kamati ya Maadili

1.Kashfa ya mabilioni ya Ghadaffi

2.Tuhuma kwamba aliwaua mabalozi wawili wa Libya na kwamba asasi zote za kimataifa zinatambua kuhusika kwake

'Asasi zote za kimataifa zinatambua kuhusika kwa Bwana Membe katika mauaji ya kinyama ya Mabalozi wawili wa Libya nchini Tanzania ili kufukia tuhuma dhidi yake kuhusiana na Mabilioni ya Gadaffi'Mwisho wa kunukuu

Jambo hili kwa mujibu wa wana kamati limechafua taswira ya Tanzania katika jumuiya ya kimataifa

3.Ufisadi wa zaidi ya bilioni 200 kupitia vitambulisho vya Taifa

4.Chuki dhidi yake kutoka kwa Wazinzibari kwamba amekuwa akisaini mambo yanayowahusu

5.Faili la Takukuru limemlima vilivyo ndugu Membe kutokana na tabia yake chafu ya kutumia mabilioni ya Gadaffi kama rushwa ya siasa

Sasa ni dhahiri Wapambe wa Membe wamekosa hoja na wasiwasi umetanda kuwa pengine mtu wao huyo anaweza kupigiwa kura za hasira na wajumbe wa Nec kama jina lake litapitishwa na Kamati Kuu
 
Daaa jmn sasa ntakosa kitengo akienguliwa mzee lowasa
 
Pokea Tu Unachopewa Mkuu Na Sidhani Kama Mimi Kuwepo Dodoma au Kigali au Dar Kuna Mantiki Sana Kwako Wewe. Ukishajua Itakusaidiaje?
Wewe ndo yule rapa wa Wenge BCBG? Mavitu yako hatari sana kwenye live shows..
 
Wewe ndo yule rapa wa Wenge BCBG? Mavitu yako hatari sana kwenye live shows..

Ebhana Sijawahi Kufurahishwa Humu Na Mwana JF Kama Wewe Tokea Niingie Humu Kwani Kwa Kumtaja Huyo Bingwa Wa Kurapu Congo Nzima Haswa Katika Live Shows Za Kundi Zima Na Ninalolipenda Na Linalonikosha La Wenge Musica BCBG NIMEFURAHI Na You Made Day Mkuu. Uko Sahihi Mkuu Anaitwa Le Animateur Champione De Congo Gentamycine Huku Jina Lake Kamili Likiwa Ni Pitshou Lisimo. Ukienda Katika Shows Zozote Za Wenge BCBG Akianza Tu Kurapu ( Kughani ) Iwe Isiwe Mkuu Lazima Tu Utainuka Kitini Na Kuanza Kucheza Na Sasa Congo Kinshasa Nzima Hadi Angola, Burundi, Rwanda, Ivory Coast, Tanzania, South Africa, Belgium Na France Mtindo Unaochezwa Na Kupendwa Ni Wa MBUNDA,BILOKO Na ROTAROTA. Huyo Rapa Ni Kila Kitu Kwangu Mkuu Kwani NINAMPENDA Kuliko Maelezo. Akhsante!
 
Mie niliishia kuwa mpenzi wao enzi hizoo Wenge ikiwa pamoja na Atalaku wao akiwa Roberto Ekokota.

Baadaye walipogawanyika, nikaishia kuwa Mpenzi wa Bill Clinton upande wa Werrason na upande wa JB Mpiana nikawa Big fun wa Tutu Kalunji. Lazima nikiri kuwa Tutu Kalunji ndiyo naamba moja kwangu kwani huyu jamaa ukiacha kufokafoka kwake, pia ni mwimbaji. Wengi watakumbuka wimbo wa Ndombolo wa BCBG ulivyotamba enzi hizo huku Gitaa akicharaza Mboka Liya, ilikuwa mateso matupu. https://www.youtube.com/watch?v=EOb0c6JNLYY

Turudi kwenye Topic.....

Ebhana Sijawahi Kufurahishwa Humu Na Mwana JF Kama Wewe Tokea Niingie Humu Kwani Kwa Kumtaja Huyo Bingwa Wa Kurapu Congo Nzima Haswa Katika Live Shows Za Kundi Zima Na Ninalolipenda Na Linalonikosha La Wenge Musica BCBG NIMEFURAHI Na You Made Day Mkuu. Uko Sahihi Mkuu Anaitwa Le Animateur Champione De Congo Gentamycine Huku Jina Lake Kamili Likiwa Ni Pitshou Lisimo. Ukienda Katika Shows Zozote Za Wenge BCBG Akianza Tu Kurapu ( Kughani ) Iwe Isiwe Mkuu Lazima Tu Utainuka Kitini Na Kuanza Kucheza Na Sasa Congo Kinshasa Nzima Hadi Angola, Burundi, Rwanda, Ivory Coast, Tanzania, South Africa, Belgium Na France Mtindo Unaochezwa Na Kupendwa Ni Wa MBUNDA,BILOKO Na ROTAROTA. Huyo Rapa Ni Kila Kitu Kwangu Mkuu Kwani NINAMPENDA Kuliko Maelezo. Akhsante!
 
labda awe RAIS wa nyumbani kwenu lakini si JMT.Pia niwajulishe wana jamvi kuwa leo nimepata "KISU" kadi ya mpiga kura ili October nikatekate mbogamboga (ccm)maana nimezichoka sanaaa! mimi naamini kuwa kumpata mgombea safi ndani ya ccm,ni sawa na kumtafuta mwanamke BIKIRA ndani ya wodi ya wazazi! huu ni mwaka wa mabadiliko,tunatakiwa kuangalia na kuchagua TAASISI na si MTU.
 
atakua raisi wa wasafi
 
Leo ikibidi tutakesha. Kikao cha CC,kile cha mchujo,kitaanza muda mfupi ujao. CC itaongozwa na Mwenyekiti na Rais wa JMT,Jakaya M. Kikwete. Mwenyekiti amekwenda kupumzika kidogo baada ya hotuba yake Bungeni. Wajumbe wengine wa CC wapo around hapa Uwanja mpya.

Updates zote zitaletwa hapa. Liwike,lisiwike kutakucha!Mkuu TandaleOne nimekuona mahali kada mwenzangu. Tupo pamoja!

Mzee Tupatupa (kwasasa Dodoma)
 
Last edited by a moderator:

nimeona mdada wa tbc one akihaidi kua viwanja vya ccm soon......does it mean itarushwa live or??
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom