Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Siku ya Leo tutasikia mengi sana. Mi silali leo nakesha kama popo ili nijue kadi yangu nitaitumia hapo October au Lah
 
* JINAMIZI LA NYUMBA ZA SERIKALI, KUITIA HASARA SERIKALI NA MSI ZATUA CC/NEC...

* NYARAKA MUHIMU NA ZA SIRI ZA MUSSA MAGUFULI, SUNDI MLOMO NA SEKELA MWANDOSYA KUTUMIWA NA WAJUMBE WA CC/NEC KUMALIZA KAZI....
...

Umepotea tafuta kingine, sehemu unayosema Mussa na Sundi waliuziwa nyumba si kweli kwa kuwa kulikuwa na Makontena na baadae yalivunjwa ikajengwa nyumba akapewa mtumishi wa Umma kwa sasa pale Makontena yale hayapo Tena.

Huyo Musa alienda TBA kufanya field ya shule ya masters degree. Na kwa kifupi hawa wote hawana nyumba za serikali wanaishi maisha ya kawaida kabisa.

Pole sana umepotea tafuta kingine.
 
Hiyo tar 12 ifike mapema tu kelele zipungue kazi hazifanyiki maofisini...
Sio maofisini tu hata majumbani unyumba imekuwa ni shida kutokana na watu kuwa kwenye vikao, kushinda na kukesha kwenye mitandao na vyombo vya habari kufuatilia watakaoliwa vichwa
 
Asante infomania huyu Lizaboni kichaa yani watu wamepeleka ushahidi wa Maguguli mpaka Jakaya kashika kichwa huyu kenge analeta siasa

Tatizo Lizaboni mahaba yamemzidia kweli kwa mmoja wa wagombea! yaani kampofusha macho kabisaaa, mahaba niue hayo!
 
Salaam wana safari ya matumaini, wake kwa waume!

Tunaelewa ukubwa wa shauku mliyo nayo kwa sasa kuhusu hatma ya nahodha wa safari ya matumaini, Edward Lowassa!

Tunapenda kuwajulisheni rasmi kwamba mambo yanaendelea vizuri kabisa. Msitishike na propaganda za akina Nape Nnauye na wengine wanaotumika kwa ajili ya kushambulia kambi yetu! Hatuna utamaduni wa kuchafuana ama kusema hadharani. Ni mwongozo tuliojiwekea tangu awali. Hatutaki kumchafua mtu yeyote yule, acha game iwe fair kwa wote! Wao wanahangaika kutuchafua bila uthibitisho wowote, hata hatuhangaiki nao. Tunawachora tu na kuwadharau. Tupo kimyaaaaaaaa tunafanya yetu! We dont want to loose our focus. Our focus ni kushinda sio kuchafuana! We are very firm to our focus!

Our army is stronger than ever! Our soldiers are more committed than ever! Propaganda ni nyingi sana, rafu ni nyingi sana. Lakini msitishike wala msiogope! Mungu wa watanzania ndio ngao na silaha yetu! Endeleeni kuwa watulivu popote pale mlipo, mambo yanaenda vizuri sana! We are taking a game very seriously! Kila idara tumekaba! Tulieni! Tuachieni kazi moja tu ya kuhakikisha Lowassa anapeperusha bendera ya CCM!

Tunawaasa mrejee kuangalia ule wosia wa Baba wa Taifa iliyorushwa jana na ITV baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku! Baba wa Taifa kamaliza kila kitu jana. Mzee wetu ameongea kama vile anafahamu nini kinachoendelea kwenye siasa za CCM kwa sasa!

Andaeni mataji ya kutuvalisha, very soon tutawakabidhini kazi mliyotutaka tufanye! Moja tu, ya kuhakikisha Edward Lowassa anapeperusha bendera ya CCM urais JMT 2015!

Hatutawaangusheni, mmetuamini sana! Ahsanteni kwa kutuamini!
 
Hapo sawa, Rais lazima awe Lowassa bwana...Mimi kwa kweli nampenda Lowassa sana...anajua kufuatilia mambo anayoagiza na ni mtu wa vitendo zaidi ya maneno...ni kweli kuwa wamemchafua sana...hata humu wameajiriwa watu maalumu wa kumshambulia....tupo pamoja.
 
Mnanikera sana mnavyo mjumuisha nyerere kwenye battle zenu. Nyerere angekuwa hai hata kulitaja jina lake angewakatalia
 
Sio maofisini tu hata majumbani unyumba imekuwa ni shida kutokana na watu kuwa kwenye vikao, kushinda na kukesha kwenye mitandao na vyombo vya habari kufuatilia watakaoliwa vichwa
Ni hapo sasa, unyumba uyumbe na kichwa kiliwe!!
 
Hapo sawa, Rais lazima awe Lowassa bwana...Mimi kwa kweli nampenda Lowassa sana...anajua kufuatilia mambo anayoagiza na ni mtu wa vitendo zaidi ya maneno...ni kweli kuwa wamemchafua sana...hata humu wameajiriwa watu maalumu wa kumshambulia....tupo pamoja.

Wasikusumbue hao wachafuaji, wao wapo mitandaoni sisi tupo field!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom