Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

Status
Not open for further replies.
Angalia hayo mataji yasigeuke yakavikwa juu ya msalaba
 
* ....

NB:.... Nimeambatanisha baadhi ya nyaraka hizo, pamoja na magazeti yalivyoibua madudu haya serikalini kipindi hicho....

Haya magazeti yote uliyoambatanisha mbona kama ni yale ya BASHE (aka msemaji wa Low!!???
 
Salaam wana safari ya matumaini, wake kwa waume!

Tunaelewa ukubwa wa shauku mliyo nayo kwa sasa kuhusu hatma ya nahodha wa safari ya matumaini, Edward Lowassa!

Tunapenda kuwajulisheni rasmi kwamba mambo yanaendelea vizuri kabisa. Msitishike na propaganda za akina Nape Nnauye na wengine wanaotumika kwa ajili ya kushambulia kambi yetu! Hatuna utamaduni wa kuchafuana ama kusema hadharani. Ni mwongozo tuliojiwekea tangu awali. Hatutaki kumchafua mtu yeyote yule, acha game iwe fair kwa wote! Wao wanahangaika kutuchafua bila uthibitisho wowote, hata hatuhangaiki nao. Tunawachora tu na kuwadharau. Tupo kimyaaaaaaaa tunafanya yetu! We dont want to loose our focus. Our focus ni kushinda sio kuchafuana! We are very firm to our focus!

Our army is stronger than ever! Our soldiers are more committed than ever! Propaganda ni nyingi sana, rafu ni nyingi sana. Lakini msitishike wala msiogope! Mungu wa watanzania ndio ngao na silaha yetu! Endeleeni kuwa watulivu popote pale mlipo, mambo yanaenda vizuri sana! We are taking a game very seriously! Kila idara tumekaba! Tulieni! Tuachieni kazi moja tu ya kuhakikisha Lowassa anapeperusha bendera ya CCM!

Tunawaasa mrejee kuangalia ule wosia wa Baba wa Taifa iliyorushwa jana na ITV baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku! Baba wa Taifa kamaliza kila kitu jana. Mzee wetu ameongea kama vile anafahamu nini kinachoendelea kwenye siasa za CCM kwa sasa!

Andaeni mataji ya kutuvalisha, very soon tutawakabidhini kazi mliyotutaka tufanye! Moja tu, ya kuhakikisha Edward Lowassa anapeperusha bendera ya CCM urais JMT 2015!

Hatutawaangusheni, mmetuamini sana! Ahsanteni kwa kutuamini!

Lakini baba wa taifa alisema Lowassa ni corrupt!! na ni mjinga!! alimwambia pia Kawawa usiwe mjinga kama Lowassa!! alieyasema maneno haya katibu mwaka wa wa baba wa taifa yuko mafichoni hadi muda huu....team Lowassa inataka kumuua!!! Ni faisadi tu!
 
Kama amuamini.someni. Nyakati


presidaaa kazi kwako ama twende.na..lowassa ama.mbaki.na.chama chenu..kazi kwako mwenyekiti
 
* NYARAKA MUHIMU NA ZA SIRI ZA MUSSA MAGUFULI, SUNDI MLOMO NA SEKELA MWANDOSYA KUTUMIWA NA WAJUMBE WA CC/NEC KUMALIZA KAZI....

Sasa ni wazi mbio za John Magufuli na Prof, Mwandosya zimefikia kikomo baada ya nyaraka muhimu ya madudu yao kupatikana.... Nyaraka hizo ziko tayari kabisa kutumiwa na wajumbe wa CC pamoja na wajumbe wa NEC (kama watapenya).....

* Prof Mwandosya......

Pamoja na nyaraka hizo nzito za Magufuli kutua kwa wajumbe wa Kamati Kuu na wajumbe wa Halmashauri Kuu, vile vile nyaraka kabambe za Sekela Mwandosya zimenaswa na tayari ziko mikononi kwa wajumbe hao kama uthibitisho wa wazi na usio na chepe ya shaka katika uuzaji wa TTCL dhidi ya MSI....

Pamoja na nyaraka hizo pia kuna ushahidi tosha kabisa jinsi Sekela alivyokuwa analipiwa tuition fee na MSI, na mbaya zaidi katika Bank statement za Sekela zinaonyesha trasaction nyingi zilizokuwa zinaingia, kwa haraka haraka mwaka 2002 tu ziliingizwa zaidi ya dola za Kimarekani elfu 80 kwenye akaunti ya Sekela binti wa Mwandosya.... Na uingizaji wa fedha uliendelea kwa miaka mingine kama kawaida....

NB:.... Nimeambatanisha baadhi ya nyaraka hizo, pamoja na magazeti yalivyoibua madudu haya serikalini kipindi hicho....

NI suala la kutulia kidogo na kutumia akili badala ya matako katika kufikiri. Ikiwa habari hii ya Sekela Mwandosya ilitoka mwaka 2002, na Mwandosya akagombea kuteuliwa Uraisi ndani ya CCM mwaka 2005 na kupitishwa hadi tatu bora za mwisho, iweje leo tena iwe ni habari ya kumzuia Mwandosya?

Ina maana Mwandosya alipogombea kuteuliwa mwaka 2005 na kupitishwa hadi ngazi ya mwisho na vikao vya CCM habari hii iliyotoka magazetini 2002 ilikuwa bado haijafanyiwa utafiti kujua ukweli wa mambo? Na alipitishwaje juu ya wingu jeusi kama hili ikiwa kulikuwa na ukweli ndani yake?

Hii si lolote bali kampeni chafu ambazo ni wale wasio na akili watazitilia maanani.
 
1.justice Ramadhani
2.Dr Bilali
3.Dr Migiro
4.Pinda
5.wasira or makongoro{hapa bado panawaumiza kichwa}
 
1.justice Ramadhani
2.Dr Bilali
3.Dr Migiro
4.Pinda
5.wasira or makongoro{hapa bado panawaumiza kichwa}
sasa tano bora hiyo wapi sema 4 bora,but lowassa wapi?je sitta
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom