Hivi mnafikiri hata Jk mwenyewe anajua kinachoendelea? Jamaa wamemuwekea ukuta kiasi kwamba sitoshangaa suala la Rostam na Mengi bado hajalisikia! Ni wa mwisho kujua kinachoendelea, msiniulize kwanini.
I hope unatania kuwa JK hajui kinachoendelea ila sitakuuliza kwanini.