TETESI: Serikali yatishia gazeti la KULIKONI

Hivi mnafikiri hata Jk mwenyewe anajua kinachoendelea? Jamaa wamemuwekea ukuta kiasi kwamba sitoshangaa suala la Rostam na Mengi bado hajalisikia! Ni wa mwisho kujua kinachoendelea, msiniulize kwanini.

I hope unatania kuwa JK hajui kinachoendelea ila sitakuuliza kwanini.
 
... hizi bado ni tetesi, hadi pale serikali itakapotangaza rasmi,

Hapana, hapana bana, tafadhali. Tetesi ni taarifa ambayo huna hakika nayo. Wewe umesema "chanzo chako ndani ya serikali" kimekupasha habari. Kwa hiyo usiseme ni tetesi kwa vile eti bado sio taarifa rasmi iliyotolewa na serikali. Taarifa isiyo rasmi na tetesi ni vitu viwili tofauti. Kwako wewe hii haiwezi kuwa tetesi.

Wote tu waswahili bana, sidhani kama tunaweza kuchengana chengana kwa lugha hii. Sasa hii ni "tetesi" au una hakika nayo lakini sio habari rasmi bado?

Na huyo "chanzo" na mwandishi wa KULIKONI na Halisi ni watu tofauti au tunazungumzia "utatu mtakatifu"?
 
ligi hizo sasa!
 
Hivi mnafikiri hata Jk mwenyewe anajua kinachoendelea? Jamaa wamemuwekea ukuta kiasi kwamba sitoshangaa suala la Rostam na Mengi bado hajalisikia! Ni wa mwisho kujua kinachoendelea, msiniulize kwanini.

Kama ni kweli, basi hatuna Kiongozi hapo, labda kama kaenda kufanya picnic pale Luthuli street.
 
ligi hizo sasa!

Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.

Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.

Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.
 
Hii "tahariri iliyoikera serikali" ni response ya KULIKONI kwa kile SERIKALI serikali ilichosema jana, Jumatatu, tarehe 11, kupitia Naibu Waziri Bendera, hivyo hii makala ni ya leo, Jumanne tarehe 12.

Leo hii hii KULIKONI wametoa makala, na leo hii hii serikali ikatoa tishio, na leo hii hii "mtoa habari wa JF ndani ya serikali" akainasa data na kukuletea, na leo hii ukaja bandika "tetesi" hapa..du, vyanzo vyako vikali. "Tetesi"...

Kama wewe ni mvivu na unachukua miaka kufanya mambo, wenzio wako sharp na hiyo ndio tofauti kati yako na wao.Sioni ajabu yeyote kwa mambo yote uliyoyaorodhesha kufanyika siku moja! Watu slow slow ndio wanachelewesha maendeleo ya nchi yetu.
 
Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.

Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.

Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.
vipi mzee mbona unaonekana unaweweseka, tulia hutakiwi kutishia watu. kwa sababu humjui yeye ni nani sikujui wewe ni nani hunijui mimi ni nani na nafanya nini.
 
hutakiwi kutishia watu.

Nimemtisha nani, wapi? Mbona unaogopa kabla hujatishwa? Nimeseme kama unaleta kitu ulichoambiwa na chanzo chako huwezi kukiita rumor. Kama wewe mwenyewe humuamini chanzo chako kwa nini utuletee rumor hapa?

Ni rumor au ni kweli mna hakika mmeambiwa kwamba serikali imetoa warning?
 
vipi mzee mbona unaonekana unaweweseka, tulia hutakiwi kutishia watu. kwa sababu humjui yeye ni nani sikujui wewe ni nani hunijui mimi ni nani na nafanya nini.
Lakini ninavyosoma inaelekea wapo wanaojuana humu ndani. Hata kama wewe humjui mtu, labda yeye anakujua
 
Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.

Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.

Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.

Duh! Ha ha haaa ho ho hooooo bwaha ha ha haaa!
 
Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.

Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.

Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.

Unajichanganya hadi inachekesha..... bwa ha ha hahaha ha

Mara ohhh tetesi kisha unageuka...."hatutaki kubugia maji ya shurubati".

Miafrika (yenye minenoneno na longolongo nyingi) ndivyo ilivyo
 
Yaani bada ya Rostam na Mengi kuchemsha, magazeti kuchemsha, serikali nayo inakuja kuchemsha pia?

Ya kweli haya?
 
Ni wazi watanzania walio wengi tumeshachoka na serikali isiyo na dira angavu, yaani mimi sielewi "what is this government is for"Hii yote inatokana na viongozi waliokuja madarakani kwa rushwa na ufisadi ndio maana wanashindwa kuwajibishana, Mi sijaona mfano wa serikali yetu ambayo mtu kama RA anakuwa juu yake. Kama waziri aliye na dhamana ya habari ajui nini kinatokea TBC je huyu anatufaa kweli?. Hawa viongizi wetu wanatakiwa kujipanga kabla ya kuja press na kutoa upuuzi wao, maana matarajio yetu kutoka serikalini sio tulichokisia siku ile " Iam very disappointed with this issue, tanzanian we need an instant medicine to kill this disease".
 
Hivi mnafikiri hata Jk mwenyewe anajua kinachoendelea? Jamaa wamemuwekea ukuta kiasi kwamba sitoshangaa suala la Rostam na Mengi bado hajalisikia! Ni wa mwisho kujua kinachoendelea, msiniulize kwanini.

Hapa nakubaliana na wewe hasa ukiskiliza mwisho" tia maji tia maji"

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=aiuEmI2i2rw]YouTube - MPOTO feat BANANA nikipata nauli (www.nahoza.ning.com)[/ame]
 
Sawa kabisa, unachunguza, dadisi, swalisha, chambua, hoji, thibitisha every darn thing kinachosemwa na serikali, waleta data, wapinzani, waandishi, wazabuni, prosecutors, waheshimiwa, wanavijiji na wanahalisi.

Tumeshaamka sasa hivi Watanzania. Hatuamini amini tena na kubugia kila tunachopewa kama maji ya sharubati.

Huwezi kuja kusema umeambiwa siri na leak source mmoja huko lakini ni tetesi mpaka serikali itamke. Aidha umeambiwa au hujaambiwa, tetesi.

You sound like the guy I once knew: Kuhani. I wonder what happened to him?
 
vipi mzee mbona unaonekana unaweweseka, tulia hutakiwi kutishia watu. kwa sababu humjui yeye ni nani sikujui wewe ni nani hunijui mimi ni nani na nafanya nini.

-...................
Mbona mna kwepesha mada halisi na muhimu kwa kuanza kuchambua lugha.Kama mnataka maana ya neno 'tetesi' nendeni kwenye jukwaa husika.
Whether is gossip,rumours or propanda tuangalie theme iliyopo.
Je inaukweli kwa kuangalia je GAZETI HILO LIMETOA TAHARIRI HIYO,kama ndio je nini inaweza kuwa hatua ya serikali kwa kipindi hiki baada ya TAMKO LAKE LA JANA?NINI MADHARA YAKE KWA VYOMBO VYA HABARI,WANAHABARI NA WANANCHI.
mimi nataka kulia/kutapika aah hata sijui nifanyeje
 
Back
Top Bottom