Chunga maneno yako yasije kukutokea puani,kwani aliyekueleza ni ndugu yake,au kapigiwa simu toka India! alikopelekwa kwa matibabu,mbona hata waajiri wake hawajatangaza msiba,usimzushie mtu umauti kama hauna uhakika wala siyo jambo la kuulizia humu forums:A S 465:
Utajisikiaje akija jamaa hapa kwenye forum na kusema kunatetesi bibikuku amafariki utajisikiaje? Tena labda ulikuwa unaumwa, utajisikiaje ww?
Ajisikieje wakati kauliza jamani,kwani taarifa ya msiba mtu anaposikia si huwa anauliza kupata uhakika??
Hata mimi nimesikia leo LAKINI SIO KUTHIBITISHA na kwa bahati mbaya aliyeniambia namuamini kwa nae yupo India amesindikiza Mgonjwa wake lakini nikawasiliana na mwenzao mmoja katika kundi lao amesema hawajapata hiyo taarifa, nikaona ninyamaze kwanza maana sijui niulize wapi tena japo mtoa habari wangu anadai ni kweli.
Sina nia ya kupotosha.