Tetesi: Ni kweli Vengu amefariki??

eh wana jf wakali,jamaa ameuliza tu..

Hata mie mkuu najiuliza hapa nilipo hawa wananchi wa Jf wakoje? Mbona jamaa wanataka kumtoa macho wakati jamaa anaulizia kwa yule aliye na taarifa! Kwani kuna ubaya gani kuuliza eti nimesikia fulani kafariki mwenzangu una taarifa zozote? Jamani hebu tuwe na kiasi! Kama huna taarifa si unakaa kimya! Eboo!
 
Jamani msimwonee muuliza swali. Hajasema ana Uhakikika. Kauliza swali hili mwenye uhakika ampe data.
 
Jamani embu kuweni waelewa wa mambo, huyu ameuliza hajasema kuwa yeye ndio amesema ila ameambiwa na kusikia hivyo anatakakujua ukweli kama kuna anaefahamu lolote mtufahamishe na sio kumzodoa, kuuliza sio ujinga
 
MOD kwa nini usiwe unasambaza ban kwa watu wanaozusha vifo vya watu tena uanze na yule aliyesema Mwandosya amevuta then huyu awe wa pili kwa kuanzia.
Usilete taarifa za kifo kama hauna uhakika,uliwai sikia wapi TETESI ya kifo cha mtu?
 
hata mie nimesikia hii kitu lakini tusubiri wenye uhakika. nimemtafuta seki jioni nzima nikamkosa ili nijue ukweli
 
Kuna na watu humu nahis si wazima! Mshkaj kauliza,kwan uksikia mtu kafa kuuliza dhambi,au kwavile superstar?

Kumbuka kila nafsi itaonja umauti aya matitle ni apa apaa!
Na uzuri kasema mwenye uhakika atujuze!kama hujui PIGA KIMYAAA @%*#!!
Ukweli utaujulikana tu
 
jamani nimesikia tetesi kuwa vengu yule msanii wa ze komedy kuwa hatunaye. Nimezipata habari hizi kwa mtu aliyenithibitishia. Lakini kupata uthibitisho zaidi nimelileta kwenu jamvini kwa mwenye taarifa za ndani zaidi atueleze.

ushauri wa bure
usipende kuwa wa kwanza kutangaza habari hasa za majonzi usizokuwa na uhakika nazo.
Jizuie kuwa msemaji wa kila ulichokisikia/ulichohisi.
Jizoeshe kuthibitisha kwa kusikia au kuona, usiulize hadharani. Kuwa mwangalifu ulimi utakuponza!
 
Hata mie mkuu najiuliza hapa nilipo hawa wananchi wa Jf wakoje? Mbona jamaa wanataka kumtoa macho wakati jamaa anaulizia kwa yule aliye na taarifa! Kwani kuna ubaya gani kuuliza eti nimesikia fulani kafariki mwenzangu una taarifa zozote? Jamani hebu tuwe na kiasi! Kama huna taarifa si unakaa kimya! Eboo!

Ukiona hivyo ujue huyo mtu ana frustration za maisha na siku hizi wako wengi sana humu JF....
 
Ajisikieje wakati kauliza jamani,kwani taarifa ya msiba mtu anaposikia si huwa anauliza kupata uhakika??

Hata mimi nimesikia leo LAKINI SIO KUTHIBITISHA na kwa bahati mbaya aliyeniambia namuamini kwa nae yupo India amesindikiza Mgonjwa wake lakini nikawasiliana na mwenzao mmoja katika kundi lao amesema hawajapata hiyo taarifa, nikaona ninyamaze kwanza maana sijui niulize wapi tena japo mtoa habari wangu anadai ni kweli.
Sina nia ya kupotosha.

hii zali atakuwa kadondoshewa shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii,..
 
Utajisikiaje akija jamaa hapa kwenye forum na kusema kunatetesi bibikuku amafariki utajisikiaje? Tena labda ulikuwa unaumwa, utajisikiaje ww?

Kifo ni kitu cha kawaida kwa binadamu, hata ukizuahiwa ww wala ucpanic mkuu.
 
Jaman ameuliza tu mbona mnamzodoa hivyo kama ugomvi?? Wa2 wengine wa Jf cjui wana stress zao nyingine??
 
Back
Top Bottom