(TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

(TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

Hati huwa haibadilishwi kienyeji, kama hati ilibadilishwa na ilikuwa na jina la mmewe lazima mwanaume angeshirikishwa.
Wanaojua ukweli ni hao wawili tu.
Ungejua kwanza hiyo nyumba/kiwanja kimenunuliwa lini.

Kingine siyo wenye nyumba wote huwa interested kushughulika na hati za nyumba wao alimradi wanaishi na hawana mipango ya kuchukua mikopo so ktk situation kama hii mwanamke akiwahi ardhi kule vipengele vya uombaji hati vinauliza hali ya ndoa ya muombaji but havimlazimishi aseme ana ndoa so akikamata gamba mkononi shida ni kwa wewe mwanaume kwenda kulibadilisha.
 
Hiyo nyumba wanasema tayari ilikuwa na hati, mwanamke ndio akaenda kubadilisha hati. Mchakato wa kubadilisha hati una taratibu zake ndio maana siamini taarifa zake.
 
Bella Urassa, ambaye ni dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.

Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili.

Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe.

Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe

Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa hivyo washughulike na aliyechukua mkopo.

Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi.

Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa.

NOTE:

1. Ni kweli 100% kuwa Jane alifanya hila na njama za kubadili umiliki wa mali ya mumewe kwa nia ovu ya kumdhulumu. Na hata Jane alijua si halali ndio maana alikuwa na hofu kuwa mwanaume asingechukulia poa huo upumbavu.

2. Ni kweli 100% kuwa familia ya Jane ilikuwa ina taarifa zote za nia ovu ya Jane ya kutaka kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba lakini hawakumkemea wala kumshauri aache hiyo tamaa.

3. Ni kweli 100% kuwa Jane alishajipanga si tu kuachana na mumewe bali pia kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba ndio maana alishawataarifu ndugu zake mapema kuwa hata akifa asiende kuzikwa nyumbani kwao mumewe.

4. Unawezaje kumtetea Jane kuwa hakupanga kumdhulumu mune wake mali na huenda hata alikuwa katika mipango ya kumuua mumewe ni vile tu amewahiwa. Kwa nini ahakikishe katika hati hiyo hakuna jina la mume wake? Si ni kwa sababu alijua mume wake atapoteza maisha siju za karibuni iwe kwa saratani au kuuawa?

Mwenyekiti mnanipa wakati mgumu sana kuwatetea ninyi wanawake.

Punguzeni tamaa! Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikiishakukomaa huzaa mauti.

Si Jane tu alikuwa na tamaa bali hata ndugu zake walikuwa na tamaa ndio maana licha ya kuwa na taarifa za Jane kumdhulumu mume wake hawakumzuia wala kumshauri aachane na mpango huo hatari. Matokeo yake wamepokea maiti.

#C&P from well believed sources!
Kuna maswali ya kujifikilisha kidogo naomba tusaidiane huenda tukapata majibu mapema wana jamii..
Jenifer aliondoka kwenyee nyumba yao aliyokuwa akiishi na mume nakuenda kuishi kwa ndugu yake kwa cku kadhaa kabla ya tukio la mauaji..
Kweka nae alikuwa akijiuguza huko Moshi kwa wakati huo..
Cku ya tukio inasemekana Kweka alipgiwa cm na majilani kuwa mkewe kaja kwenye nyumba yao ambayo kwa wakati huwo waliwa wakiishi watoto na msichana wa kazi...
Swali la kujiuliza inawezekanaje Kweka aludi Dar kwa masaa machache to baada ya Jenifer kuludi kwenye nyumba yao tena si kwa kukaa ila kuwaletea chakula watoto..Inawezekana kuna mawasiliano kati ya Kweka na ndugu wa Jenifer ambao hawakulizishwa na mchakato wa Jenifer ila hawakujiweka wazi yani Kweka alipata taalifa cku kadhaa nyuma yakuwa Jenifer ni lini ataenda kuwaona watoto hivyo alitoka Moshi mapema..
Hili tatizo la kiafya alilokuwa nalo kweka linatona na nini??
Isije ikaw ni sumu ambayo inaathili polepole mpaka pale tatizo linapokuwa kubwa..
Na kama ni ivyo nani anaeweza kuwa mshukiwa wa Kweka kulishwa sumu??
Ninawaza to lakini..
 
Hiyo nyumba wanasema tayari ilikuwa na hati, mwanamke ndio akaenda kubadilisha hati. Mchakato wa kubadilisha hati una taratibu zake ndio maana siamini taarifa zake.
Nyumba ilikuwa na hati ulimsikia mtu kutoka wizarani akisema hayo au umemsikiliza yule housegirl wake?

Kwa vyovyote vile scenario niliyoiandika pale juu ina-make sense coz kwa asili ya kazi ya Kweka (engineer) hakuwa na case ya kukopa mpaka afikie kutafuta hati ila mke kwa kutaka kwake kukopa ndiyo alimuwahi jamaa akabeba hati.
 
Hawa wanaharakati wa KICHAGA unawatambua ?
 
Attachments

  • HUHfs_4bYAAqMgF.jpg
    HUHfs_4bYAAqMgF.jpg
    433.5 KB · Views: 1
Nyumba ilikuwa na hati ulimsikia mtu kutoka wizarani akisema hayo au umemsikiliza yule housegirl wake?

Kwa vyovyote vile scenario niliyoiandika pale juu ina-make sense coz kwa asili ya kazi ya Kweka (engineer) hakuwa na case ya kukopa mpaka afikie kutafuta hati ila mke kwa kutaka kwake kukopa ndiyo alimuwahi jamaa akabeba hati.
Acha kutetea ujinga,afungwe tuu
 
Bella Urassa, ambaye ni dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.

Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili.

Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe.

Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe

Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa hivyo washughulike na aliyechukua mkopo.

Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi.

Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa.

NOTE:

1. Ni kweli 100% kuwa Jane alifanya hila na njama za kubadili umiliki wa mali ya mumewe kwa nia ovu ya kumdhulumu. Na hata Jane alijua si halali ndio maana alikuwa na hofu kuwa mwanaume asingechukulia poa huo upumbavu.

2. Ni kweli 100% kuwa familia ya Jane ilikuwa ina taarifa zote za nia ovu ya Jane ya kutaka kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba lakini hawakumkemea wala kumshauri aache hiyo tamaa.

3. Ni kweli 100% kuwa Jane alishajipanga si tu kuachana na mumewe bali pia kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba ndio maana alishawataarifu ndugu zake mapema kuwa hata akifa asiende kuzikwa nyumbani kwao mumewe.

4. Unawezaje kumtetea Jane kuwa hakupanga kumdhulumu mune wake mali na huenda hata alikuwa katika mipango ya kumuua mumewe ni vile tu amewahiwa. Kwa nini ahakikishe katika hati hiyo hakuna jina la mume wake? Si ni kwa sababu alijua mume wake atapoteza maisha siju za karibuni iwe kwa saratani au kuuawa?

Mwenyekiti mnanipa wakati mgumu sana kuwatetea ninyi wanawake.

Punguzeni tamaa! Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikiishakukomaa huzaa mauti.

Si Jane tu alikuwa na tamaa bali hata ndugu zake walikuwa na tamaa ndio maana licha ya kuwa na taarifa za Jane kumdhulumu mume wake hawakumzuia wala kumshauri aachane na mpango huo hatari. Matokeo yake wamepokea maiti.

#C&P from well believed sources!
Mwamba nampa salute sana kwa kuisambaratisha hiyo kenge
 
Wanaume sisi ni wapole sana na wakarimu sana kwa wanawake tunao wapenda.

Tunaweza kukuhonga chochote au kukupa chochote. Ukitulia na kuonyesha upendo ule wa kweli.

But the moment, tamaa imekuingia na ukatu provoke to the point ya kutudhulumu au kutaka kutuua.

Tukiwahi kujua, my dear you are finished!
Vice versa is true
 
Hiyo nyumba wanasema tayari ilikuwa na hati, mwanamke ndio akaenda kubadilisha hati. Mchakato wa kubadilisha hati una taratibu zake ndio maana siamini taarifa zake.
Na ni mgumu asikwambie mtu! Kuna wengi walishashindwa. Kwangu kuna mtu alitoa pesa kwenye kesi ili ashinde. Baada ya kupewa ushindi mtiti upo kwenye kufuta hati ili iandikwe jina lake imekwamia hapo! Kwa hiyo hapa hata mimi sijakubali, isingekuwa rahisi hivyo!
 
Back
Top Bottom