The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,402
- 16,486
Ila wanawake sijui wameumbwa je
Sito shangaa na taratibu za DNA zifanyikeKuna harufu ya mke kumbambikia watoto mume hapo ....uenda mume Alianza kutilia shake watoto au baadhi ya watoto
Watu walishazoea kuua kila tatizo wanalitatua kwa kuaanaKwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe
Kasome Nyuzi z Robert Mtibeli cha ujingaBado sio sababu ya kumuua, wanaoumia sasa ni watoto,hasira hasara
Kama hayo yaliyosemwa ni kweli basi kweli jamaa amepiga comeback ya kibabe japo inagharimuKifupi mwamba angechelewa kidogo tu angetangulizwa yeye…
Kwahiyo mwanamke alijua jamaa muda wowote anavuta akaona atengeneze mazingira 😄ama hakika NDOA NI UTAPELIAsingetangulizwa kwa kuuliwa ,jamaa ana cancer inamsumbua..Anaweza kuvuta muda wowote ,hapo ilikuwa timing .
Kingine ,huyo msela alikuwa na moves za kwenda kwao mara kwa mara ,so Urassa alijua ukweni wangeleta tabu siku akitangulia...Yaani kila mmoja alikuwa anasoma hatua za mwenzie,mapenzi yalishakwisha.
Hilo la watoto kuumia achana nalo kwani angetangulia mwamba wasingeumia? Hii tamaa ya mali hiiBado sio sababu ya kumuua, wanaoumia sasa ni watoto,hasira hasara
Kuna michezo mjini wewe Huwezi aminiHati huwa haibadilishwi kienyeji, kama hati ilibadilishwa na ilikuwa na jina la mmewe lazima mwanaume angeshirikishwa.
Wanaojua ukweli ni hao wawili tu.
Ni ngumu kwa sheria za sasa za ardhi, mchezo unaweza kufanyika ila ni ngumu kama mmoja wa wahusika yupo hai.Kuna michezo mjini wewe Huwezi amini
Ndiyo nionavyo kwa nini mke afute kabisa umiliki wa mumewe na kuweka wake na watoto hapa kuna siri nzito uenda huyo mke alisha kusudia kuweka wazi kuwa watoto siyo wa huyo jamaa au alijua hiyo siri itavujau baada ya kifo cha mumewe hivyo wakitumia majina ya watoto kisha mume akifa na baadae kuonekana watoto siyo wa huyo mume maana yake mali zote za huyo mume zitachukuliwa na ndugu.Sito shangaa na taratibu za DNA zifanyike
Angeweza kupata haki yake bila kumuua,issue kama hizi unatuliza kichwa kwanza kabla hujafanya maamuziKasome Nyuzi z Robert Mtibeli cha ujinga
Sasa hawana mama wala baba na mali imeondokaHilo la watoto kuumia achana nalo kwani angetangulia mwamba wasingeumia? Hii tamaa ya mali hii
Sikupingi.... Hadi pursuit of power.. watu wapo tayari kuua maelfu ili wabaki kwenye vitu vyao.The pursuit of possessions can turn human greed into merciless bloodshed.
Umeadimika sana humu ndugu 🤌🤌😃Aiseeee.
This is true story;Kifupi mwamba angechelewa kidogo tu angetangulizwa yeye…
Nipo ndugu yangu.Umeadimika sana humu ndugu 🤌🤌😃