(TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

(TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

Wanaume sisi ni wapole sana na wakarimu sana kwa wanawake tunao wapenda.

Tunaweza kukuhonga chochote au kukupa chochote. Ukitulia na kuonyesha upendo ule wa kweli.

But the moment, tamaa imekuingia na ukatu provoke to the point ya kutudhulumu au kutaka kutuua.

Tukiwahi kujua, my dear you are finished!
Mtafute YESU KRISTO achana na mambo usiyoyajua
 
file_00000000b41082078f00bfa78a875429.png
 
Bella Urassa, ambaye ni dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.

Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili.

Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe.

Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe

Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa hivyo washughulike na aliyechukua mkopo.

Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi.

Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa.

NOTE:

1. Ni kweli 100% kuwa Jane alifanya hila na njama za kubadili umiliki wa mali ya mumewe kwa nia ovu ya kumdhulumu. Na hata Jane alijua si halali ndio maana alikuwa na hofu kuwa mwanaume asingechukulia poa huo upumbavu.

2. Ni kweli 100% kuwa familia ya Jane ilikuwa ina taarifa zote za nia ovu ya Jane ya kutaka kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba lakini hawakumkemea wala kumshauri aache hiyo tamaa.

3. Ni kweli 100% kuwa Jane alishajipanga si tu kuachana na mumewe bali pia kumdhulumu mwanaume mali zake ikiwemo nyumba ndio maana alishawataarifu ndugu zake mapema kuwa hata akifa asiende kuzikwa nyumbani kwao mumewe.

4. Unawezaje kumtetea Jane kuwa hakupanga kumdhulumu mune wake mali na huenda hata alikuwa katika mipango ya kumuua mumewe ni vile tu amewahiwa. Kwa nini ahakikishe katika hati hiyo hakuna jina la mume wake? Si ni kwa sababu alijua mume wake atapoteza maisha siju za karibuni iwe kwa saratani au kuuawa?

Mwenyekiti mnanipa wakati mgumu sana kuwatetea ninyi wanawake.

Punguzeni tamaa! Tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikiishakukomaa huzaa mauti.

Si Jane tu alikuwa na tamaa bali hata ndugu zake walikuwa na tamaa ndio maana licha ya kuwa na taarifa za Jane kumdhulumu mume wake hawakumzuia wala kumshauri aachane na mpango huo hatari. Matokeo yake wamepokea maiti.

#C&P from well believed sources!
Swali liko palepale, ile nyumba ni ya nani?
Haiingii akilini eti vitu mmetafuta wote from no whr mke aanze ku demand jina la mume litolewe???hii inakataa

Huyo dada na mi nimemsikia ila sijasikia mahali kataja kuwa nyumba ni mali halali ya mume
 
Duh! Watafiti wa matrimonial violence duniani kote wakafanyie tafiti zao Moshi. Huko ni wazamivu wa hizi mambo shetani akasome!
 
Kuwa na tamaa ya mali sio mbaya, kikubwa tafuta mali ukiwa kwenu! sio mpaka uolewe au uoe. Narudi tafuta mali hukiwa pekeyako ili ziwe za peke yako. Kuolewa sio shortcut ya kumiliki mali

Kwa miaka mingi kumekuwepo na taarifa za wanawake wa kabila hilo kuua wanaume kwa ajili ya kumiliki mali.Tukio hili limeonyesha ule uhalisia na sio hisia na simulizi za kusadikika. Kwamba ukitaka kufa ukiwa kwenye ndoa basi.

Malezi ya watu wa huko yamewageuza wanawake kuwa wanaume.Kwamba kijinsia ni mwanamke kitabia ni mwanaume anayejiona yeye ni wa kipekee, ana haki zote, na anapaswa kuheshimiwa;hana huruma na mtu, Akisemwa au kukosolewa, hukasirika haraka, hulipiza kisasi, au anageuza kibao ili aonekane yeye ndiye aliyeonewa;Huona watu wengine kama nyenzo za kumfikia yeye anachokitaka au kumpa hadhi ya kijamii(hapa hutafuta ndoa kwa nguvu);Hujali sana jinsi anavyoonekana kwa jamii na anapenda kujilinganisha au kushindana na wengine;Hapendi kufuata sheria za mahusiano ya kawaida na mara nyingi huwakosea heshima au kuwahangaisha wale walio karibu naye.

Ukimpitisha mtoto wa mtu kwenye njia hizi, kifo ni halali yako.
 
Labda hajawahi kujionea
Watu wanangoja passport miezi miwili ila Kuna wanaopata ndani ya week.
Cheti Cha kuzaliwa ukitaka ndani ya siku tatu unapata ila fuata utaratibu utakipata baada ya mwezi

Labda uhurumiwe tu
Nimewahi kuona pikipiki iliyoibwa mkuranga ikaja kuuzwa mtwara ina kadi mbili...Aisee Kuna watu wana dunia yakwao
 
Wanaume sisi ni wapole sana na wakarimu sana kwa wanawake tunao wapenda.

Tunaweza kukuhonga chochote au kukupa chochote. Ukitulia na kuonyesha upendo ule wa kweli.

But the moment, tamaa imekuingia na ukatu provoke to the point ya kutudhulumu au kutaka kutuua.

Tukiwahi kujua, my dear you are finished!
Hii ni nature ya binadamu, hata wanawake ni hivyo hivyo. Hata wanawake huwa hawabadiliki tu from no where kwa wanaume wanaowapenda mpaka wawe provoked.
 
Back
Top Bottom