Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

Wewe mwendawazimu hustahili kubishana na yeyote mwenye akili timamu.

Bakia na uhayawani wako, maana ndiyo pekee ulichobakia nacho.
Nasemaje, hataruhusiwa mtu yeyote kuharibu hii nchi.....hata awe CHIBA namna gani!! Shwaiiin
 
Inajulikana mbona kuwa yule nae ni mgonjwa,huwa anazimia wakt mwingine.
Vp akili iko TIMAMU kweli,?🤔🤔....kuna ULAKINI mahari unaonekana hata kwa kuongea kwake...😔🥲
 
Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana wanaunga mkono No REFORM no ELECTION, je watafanya reforms zozote? Mchimbaji akamjibu kuwa, haiwezekani kabisa kufanya reforms zozote, kwa sababu wakifanya reforms ambazo TAL anataka, ni sawa na kutangaza kuwa wameondoka rasmi kutawala nchi.

Yule jamaa yangu akamwuliza kuwa kwa vile wamefanya mema mengi kama ambavyo huwa wanatangaza, kwa nini kufanya reforms iwe ni ticket ya kuondoka madarakani. Mchimbaji akamjibu kuwa, 'kumbe wewe huelewi? sisi huyu wa kwetu kwanza ni mgonjwa, pili kutoka upande ule na yale mambo yaliyotokea, kama yale ya bandari, tayari ni disadvantage, lakini jingine kubwa hana uwezo mzuri wa kujieleza, sasa ukifanya na reforms, unaona kuna uwezekano wa kushindana na TAL?'.

Yule jamaa yangu akamwuliza, 'sasa kama ni hivyo, na TAL anazidi kuwafungua watu, na wengi kuonekana kumwunga mkono, mtafanyaje kupambana naye?'. Mchimbaji akamjibu, ndiyo maana naenda Songea. Kule naenda kuelekeza vyombo vya dola. Pale mjini Songea hatafanya mkutano. Tukimdhibiti yeye, na kila atakayeinuka, tukaweza kuongeza nguvu na kuwasaidia wale wanaopingana naye ndani ya chama chake, tutafanikiwa kuwafanya wakubali kushiriki uchaguzi bila mabadiliko au wasusie, lakini wasizuie. Wakisusia itakuwa vizuri zaidi.

Ile tarehe 4, yule ndugu yangu alivyonisimlia, nilipuuza. Lakini baada ya leo TAL kukamatwa kabla ya mkutano wa Songea mjini, na hivyo TAL hataweza kuhutubia huo mkutano kama Mchimbaji alivyonena, nimeanza kuamini yale niliyoambiwa, kumbe ulikuwa ndiyo ukweli wenyewe.

Mambo muhimu niliyoyapata katika conversation ya hawa wawili:
1) Mgombea mmojawapo wa nafasi ya juu ni mgonjwa, huenda asiweze kuzunguka nchi nzima.
2) TAL inajulikana kuwa kwenye mazingira huru, wagombea wengine hawaambulii chochote
3) Mbinu pekee waliyobakiza dhidi ya NO REFORM NO ELECTION ni kuwakamata viongozi.

TUOMBE:
Mungu wetu muweza wa yote, tunaomba umjalie ulinzi wa pekee mtetezi wa haki za watu wako, Tundu Lisu. Tunaomba uwashangaze wale wafuasi wa ibilisi walio kinyume cha haki wanaokesha kupanga uovu dhidi ya wanaoitafuta haki. Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, tunaomba mkono wako wenye nguvu uwafikie na uwaangamize wote walio kinyume cha watafutao haki katika Taifa hili la Tanzania. Tunaomba, hata wakipora haki kwaajili ya tamaa ya madaraka, ukawaoneshe kuwa walikuwa wajinga, sawa na yule mkulima aliyesema kuwa sasa amefanikiwa kupata mavuno mengi, kilichobakia ni kula na kunywa, nawe ukamwambia umpumbavu wewe kwa kuwa leo naihitaji roho yako. Kwaajili ya neno hilo, tunaomba, wote wanadhulumu haki ili wajitwalia madaraka kwa kulazimisha, wakaonekane wapumbavu kwa sababu kamwe hawatayafurahia wala kuyafaidi madaraka waliyoyapata kwa dhuluma. Tunayaleta maombi yetu kwako, kwa Jina la BABA, Tunayaleta maombi yetu kwako kwa jina la Mwana, Tunayaleta maombi yetu kwako, Kwa jina la Roho Mtakatifu, AMINA.

Kila anayetaka haki katika nchi yetu, baada ya kujitakasa kwa toba, asali sala hii au inayofanana na hii katika content kwa kadiri ya imani yake, kwa siku 10 mfululizo , Mungu wetu aliye wa haki, husikia sauti za watu wake, hakika atatenda kwa kadiri ya hekima yake.
Huu ni utoto
 
Nyumbu ndo kajiona katoa hadithi nzuuuri hapa mwenyewe!!!
Huyo mpumbavu wenu, na misifa yake ya kijinga ya kuwatukana wenzie na kutishia usalama wa hii nchi, lazima watu wadeal nae.
Sasa anatishia kwa njia gani yaani kusema no reform no election ndiyo kutishia usalama wa nchi
 
Nyumbu ndo kajiona katoa hadithi nzuuuri hapa mwenyewe!!!
Huyo mpumbavu wenu, na misifa yake ya kijinga ya kuwatukana wenzie na kutishia usalama wa hii nchi, lazima watu wadeal nae.
Wewe afadhali nyumbu wanavukaga mto mara! wewe ni ngedere unayevizia vya kukwiba tu!!
 
Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana wanaunga mkono No REFORM no ELECTION, je watafanya reforms zozote? Mchimbaji akamjibu kuwa, haiwezekani kabisa kufanya reforms zozote, kwa sababu wakifanya reforms ambazo TAL anataka, ni sawa na kutangaza kuwa wameondoka rasmi kutawala nchi.

Yule jamaa yangu akamwuliza kuwa kwa vile wamefanya mema mengi kama ambavyo huwa wanatangaza, kwa nini kufanya reforms iwe ni ticket ya kuondoka madarakani. Mchimbaji akamjibu kuwa, 'kumbe wewe huelewi? sisi huyu wa kwetu kwanza ni mgonjwa, pili kutoka upande ule na yale mambo yaliyotokea, kama yale ya bandari, tayari ni disadvantage, lakini jingine kubwa hana uwezo mzuri wa kujieleza, sasa ukifanya na reforms, unaona kuna uwezekano wa kushindana na TAL?'.

Yule jamaa yangu akamwuliza, 'sasa kama ni hivyo, na TAL anazidi kuwafungua watu, na wengi kuonekana kumwunga mkono, mtafanyaje kupambana naye?'. Mchimbaji akamjibu, ndiyo maana naenda Songea. Kule naenda kuelekeza vyombo vya dola. Pale mjini Songea hatafanya mkutano. Tukimdhibiti yeye, na kila atakayeinuka, tukaweza kuongeza nguvu na kuwasaidia wale wanaopingana naye ndani ya chama chake, tutafanikiwa kuwafanya wakubali kushiriki uchaguzi bila mabadiliko au wasusie, lakini wasizuie. Wakisusia itakuwa vizuri zaidi.

Ile tarehe 4, yule ndugu yangu alivyonisimlia, nilipuuza. Lakini baada ya leo TAL kukamatwa kabla ya mkutano wa Songea mjini, na hivyo TAL hataweza kuhutubia huo mkutano kama Mchimbaji alivyonena, nimeanza kuamini yale niliyoambiwa, kumbe ulikuwa ndiyo ukweli wenyewe.

Mambo muhimu niliyoyapata katika conversation ya hawa wawili:
1) Mgombea mmojawapo wa nafasi ya juu ni mgonjwa, huenda asiweze kuzunguka nchi nzima.
2) TAL inajulikana kuwa kwenye mazingira huru, wagombea wengine hawaambulii chochote
3) Mbinu pekee waliyobakiza dhidi ya NO REFORM NO ELECTION ni kuwakamata viongozi.

TUOMBE:
Mungu wetu muweza wa yote, tunaomba umjalie ulinzi wa pekee mtetezi wa haki za watu wako, Tundu Lisu. Tunaomba uwashangaze wale wafuasi wa ibilisi walio kinyume cha haki wanaokesha kupanga uovu dhidi ya wanaoitafuta haki. Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, tunaomba mkono wako wenye nguvu uwafikie na uwaangamize wote walio kinyume cha watafutao haki katika Taifa hili la Tanzania. Tunaomba, hata wakipora haki kwaajili ya tamaa ya madaraka, ukawaoneshe kuwa walikuwa wajinga, sawa na yule mkulima aliyesema kuwa sasa amefanikiwa kupata mavuno mengi, kilichobakia ni kula na kunywa, nawe ukamwambia umpumbavu wewe kwa kuwa leo naihitaji roho yako. Kwaajili ya neno hilo, tunaomba, wote wanadhulumu haki ili wajitwalia madaraka kwa kulazimisha, wakaonekane wapumbavu kwa sababu kamwe hawatayafurahia wala kuyafaidi madaraka waliyoyapata kwa dhuluma. Tunayaleta maombi yetu kwako, kwa Jina la BABA, Tunayaleta maombi yetu kwako kwa jina la Mwana, Tunayaleta maombi yetu kwako, Kwa jina la Roho Mtakatifu, AMINA.

Kila anayetaka haki katika nchi yetu, baada ya kujitakasa kwa toba, asali sala hii au inayofanana na hii katika content kwa kadiri ya imani yake, kwa siku 10 mfululizo , Mungu wetu aliye wa haki, husikia sauti za watu wake, hakika atatenda kwa kadiri ya hekima yake.
🚮🚮
 
Hakuna mabadiliko yanayoletwa kirahisi na watawala.

Ndani ya CCM kuna shida sana Tanzania .
kuna Kundi linaloamini katika Azimio la Zanzibar na lile kundi la Azimio la Arusha .

Kundi la Azimio la Arusha ni mabingwa wa propaganda na kujenga CCM lakini kundi la Azimio la Zanzibar ni mabingwa wa kupiga dili na kuwatanguliza wale wa kundi la pili huko Ahera madukani ili walinde dili zao na kurithisha familia zao madaraka.
Sokoine,
Horace Kolimba.
JK Nyerere
Mkapa
JPM
Mrema
Lowasa
Mengi
Ndesamburo
Deo Filikunjombe
Mtikila
Dr,.Mvungi.

Kuna zimwi linatumika kuwamaliza Watanganyika wote maarufu.

Bila reform hata Hao wanaodhani wapo salama hawapo salama . Kuna wapiga dili wapo nyuma ya pazia wanaweka wanayemtaka na ku,wacha au kumwondoa wasiyemtaka kwenye maslahi yao
Samia anasema nonsense
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom