Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

TUOMBE:
Mungu wetu muweza wa yote, tunaomba umjalie ulinzi wa pekee mtetezi wa haki za watu wako, Tundu Lisu. Tunaomba uwashangaze wale wafuasi wa ibilisi walio kinyume cha haki wanaokesha kupanga uovu dhidi ya wanaoitafuta haki. Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, tunaomba mkono wako wenye nguvu uwafikie na uwaangamize wote walio kinyume cha watafutao haki katika Taifa hili la Tanzania.
Amina Mtumishi wa Mungu
 
Sina tabia ya kuwaombea wanasiasa, lakini nitafunga na kumwombea Tundu Lissu.

Naamini yupo hai kwa kusudi maalumu la Mungu, lazima litimie. Yeyote atakayejaribu kumzuia 'atazuiwa yeye'.

Ni kweli, watahangaika sana, lakini kila watakalofanya, litamwinua zaidi.
 
Tofaitisha maombi ya Mwijaku ni ya kutegemea Bunduki za Polisi.
Maombi kwa Lisu ni ya kumtegemea Mungu wa haki maana Lisu na wanachama waki hawana silaha wanamtumaini Mungu awapiganie ili kuleta haki katika Taifa .
Bwana ni Mwema siku zote.
 
Upupu tu uliojaa akilini mwako ndiyo ulichoandika

Fuatilia yaliyokuwa yanatokea Kenya ,Zambia na Malawi ndio utajua watawala ni watu wa namna gani linapokuja suala la maslahi yao yanayotokana na madaraka.

Ni wazi kuwa watawala wanapoona amani Ipo bila haki ya wapiga kura kuchagua wanajikita kwenye kupora mali za umma na kuunda vikosi vya mauaji ili kulinda mali zao kwa mgongo wa amani.

Hivi unaonaje nchi yenye kodi na tozo nyingi kama Tanzania watu wabunge wanaongezewa mishahara na posho na pension za wenza wa watawala mabilionea wakati huo huo hospitalini hakuna pamba na vifaa vya wanawake kujifungulia ?
Kwa roho yako mbaya kuliko ya kiumbe kinachoitwa shetani unadhani pangekuwa na haki ya wananchi kuchagua wabunge na madiwani na rais wanayemtaka hayo yangekuwepo? Tatizo kubwa la ajira hivi mbunge angefanya mchezo na wapiga kura wakati anajua kuwa watamnyima kura?
Unaonaje mama yako na baba yako wakiugua figo halafu unawapeleka muhimbili kisha wanaambiwa kufanyiwa Dialyssis kila waki utoe laki saba wakati mashine zimenunuliwa kwa pesa za umma zinazotokana na kodi na tozo yaani hata kama ana bima inabidi atoe pesa mfukoni.. Yaani mgonjwa wa figo ni pesa au kifo na hakuna mtawala anayejali maana hakuna cha kumfanya . Watawala wanafanya kama huruma tu lakini hawana cha kuwaza kuwa wananchi wanaweza kuwatoa kwenye kura.?
Wakati Tanganyika Dialysis ni gharama kubwa Zanzibar gharama yake ni sawa ni bure.
 
Watu wanatekwa na kupotea polisi hamuonekani na ndio kazi yenu kulinda wananchi!!! mnatia aibu sana nyie kutishia watu na kusumbua kwanini msiache wanasiasa wafanye siasa???
 
Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana wanaunga mkono No REFORM no ELECTION, je watafanya reforms zozote? Mchimbaji akamjibu kuwa, haiwezekani kabisa kufanya reforms zozote, kwa sababu wakifanya reforms ambazo TAL anataka, ni sawa na kutangaza kuwa wameondoka rasmi kutawala nchi.

Yule jamaa yangu akamwuliza kuwa kwa vile wamefanya mema mengi kama ambavyo huwa wanatangaza, kwa nini kufanya reforms iwe ni ticket ya kuondoka madarakani. Mchimbaji akamjibu kuwa, 'kumbe wewe huelewi? sisi huyu wa kwetu kwanza ni mgonjwa, pili kutoka upande ule na yale mambo yaliyotokea, kama yale ya bandari, tayari ni disadvantage, lakini jingine kubwa hana uwezo mzuri wa kujieleza, sasa ukifanya na reforms, unaona kuna uwezekano wa kushindana na TAL?'.

Yule jamaa yangu akamwuliza, 'sasa kama ni hivyo, na TAL anazidi kuwafungua watu, na wengi kuonekana kumwunga mkono, mtafanyaje kupambana naye?'. Mchimbaji akamjibu, ndiyo maana naenda Songea. Kule naenda kuelekeza vyombo vya dola. Pale mjini Songea hatafanya mkutano. Tukimdhibiti yeye, na kila atakayeinuka, tukaweza kuongeza nguvu na kuwasaidia wale wanaopingana naye ndani ya chama chake, tutafanikiwa kuwafanya wakubali kushiriki uchaguzi bila mabadiliko au wasusie, lakini wasizuie. Wakisusia itakuwa vizuri zaidi.

Ile tarehe 4, yule ndugu yangu alivyonisimlia, nilipuuza. Lakini baada ya leo TAL kukamatwa kabla ya mkutano wa Songea mjini, na hivyo TAL hataweza kuhutubia huo mkutano kama Mchimbaji alivyonena, nimeanza kuamini yale niliyoambiwa, kumbe ulikuwa ndiyo ukweli wenyewe.

Mambo muhimu niliyoyapata katika conversation ya hawa wawili:
1) Mgombea mmojawapo wa nafasi ya juu ni mgonjwa, huenda asiweze kuzunguka nchi nzima.
2) TAL inajulikana kuwa kwenye mazingira huru, wagombea wengine hawaambulii chochote
3) Mbinu pekee waliyobakiza dhidi ya NO REFORM NO ELECTION ni kuwakamata viongozi.

TUOMBE:
Mungu wetu muweza wa yote, tunaomba umjalie ulinzi wa pekee mtetezi wa haki za watu wako, Tundu Lisu. Tunaomba uwashangaze wale wafuasi wa ibilisi walio kinyume cha haki wanaokesha kupanga uovu dhidi ya wanaoitafuta haki. Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, tunaomba mkono wako wenye nguvu uwafikie na uwaangamize wote walio kinyume cha watafutao haki katika Taifa hili la Tanzania. Tunaomba, hata wakipora haki kwaajili ya tamaa ya madaraka, ukawaoneshe kuwa walikuwa wajinga, sawa na yule mkulima aliyesema kuwa sasa amefanikiwa kupata mavuno mengi, kilichobakia ni kula na kunywa, nawe ukamwambia umpumbavu wewe kwa kuwa leo naihitaji roho yako. Kwaajili ya neno hilo, tunaomba, wote wanadhulumu haki ili wajitwalia madaraka kwa kulazimisha, wakaonekane wapumbavu kwa sababu kamwe hawatayafurahia wala kuyafaidi madaraka waliyoyapata kwa dhuluma. Tunayaleta maombi yetu kwako, kwa Jina la BABA, Tunayaleta maombi yetu kwako kwa jina la Mwana, Tunayaleta maombi yetu kwako, Kwa jina la Roho Mtakatifu, AMINA.

Kila anayetaka haki katika nchi yetu, baada ya kujitakasa kwa toba, asali sala hii au inayofanana na hii katika content kwa kadiri ya imani yake, kwa siku 10 mfululizo , Mungu wetu aliye wa haki, husikia sauti za watu wake, hakika atatenda kwa kadiri ya hekima yake.
Amin
 
Mungu ndiye mwamuzi wa haki,safari hii wala haki haiko mbali sana
itatokea kama jua la asubuhi,yule rais wa misri alishangaa majeshi na polisi wanalinda raia.
 
Nyumbu ndo kajiona katoa hadithi nzuuuri hapa mwenyewe!!!
Huyo mpumbavu wenu, na misifa yake ya kijinga ya kuwatukana wenzie na kutishia usalama wa hii nchi, lazima watu wadeal nae.
Ndio maana hamna siku mtaendelea , kufungana midomo ndio akili yenu ilipoishia , watu wamekufa kupigania uhuru then tumeishia na mikoloni meusi isiyo na akili kama hii
 
We kibwengo huu uchafu wako mtumie umpendaye. Thread ya kishamba ulojiandikia chumbani kwako. Hv unawezaje kuandika matope km haya?
Tulia dawa iwaingie vizuri, CCM imetishwa na Chadema kukubalika kwa kishindo imeamua kutumia bunduki na mabomu . Bila msaada wa polisi CCM ni urojo tu.
 
Nyumbu ndo kajiona katoa hadithi nzuuuri hapa mwenyewe!!!
Huyo mpumbavu wenu, na misifa yake ya kijinga ya kuwatukana wenzie na kutishia usalama wa hii nchi, lazima watu wadeal nae.
Nyumbu ni yule mumeo anayeshindwa kukutia mimba mwaka wa saba huu.
 
Inajulikana mbona kuwa yule nae ni mgonjwa,huwa anazimia wakt mwingine.
Ni nani huyo huwa anazimia ??! 🤣
Hii Dunia ukiiangalia kwa jicho la hekima unaiona kuwa Ni Kazi Bure tu hamna lolote humu !

Mtu anashupaza shingo kutafuta utajiri kweli kweli kisha akisha upata utajiri wa Kweli kweli tayari na magonjwa makubwa makubwa yanakuwa yamesha piga kambi mwilini mwake 😳 !
Duh 🙄 ! Asalaleeeh.

Ndio maana Wazungu huwa wanazijenga Nchi zao ili watu wao wote wafurahie kule kuwapo kwao hai kwenye hizo Nchi zao 😳 !

Wao huwa hawana tamaa za utajiri wa kujilimbikizia mimali 🙌👍

Au nasema uongo ndugu zanguniii ???!
 
Hakuna mabadiliko yanayoletwa kirahisi na watawala.

Ndani ya CCM kuna shida sana Tanzania .
kuna Kundi linaloamini katika Azimio la Zanzibar na lile kundi la Azimio la Arusha .

Kundi la Azimio la Arusha ni mabingwa wa propaganda na kujenga CCM lakini kundi la Azimio la Zanzibar ni mabingwa wa kupiga dili na kuwatanguliza wale wa kundi la pili huko Ahera madukani ili walinde dili zao na kurithisha familia zao madaraka.
Sokoine,
Horace Kolimba.
JK Nyerere
Mkapa
JPM
Mrema
Lowasa
Mengi
Ndesamburo
Deo Filikunjombe
Mtikila
Dr,.Mvungi.

Kuna zimwi linatumika kuwamaliza Watanganyika wote maarufu.

Bila reform hata Hao wanaodhani wapo salama hawapo salama . Kuna wapiga dili wapo nyuma ya pazia wanaweka wanayemtaka na ku,wacha au kumwondoa wasiyemtaka kwenye maslahi yao
Kama nimekuelewa hivi
 
Ndio maana hamna siku mtaendelea , kufungana midomo ndio akili yenu ilipoishia , watu wamekufa kupigania uhuru then tumeishia na mikoloni meusi isiyo na akili kama hii
Yaani unataka sisi tuendeshwe na mtu mwenye familia ulaya?!!!! Atawaendesha huko unyumbuni kwenu wapumbavu nyie!
 
Nyumbu ndo kajiona katoa hadithi nzuuuri hapa mwenyewe!!!
Huyo mpumbavu wenu, na misifa yake ya kijinga ya kuwatukana wenzie na kutishia usalama wa hii nchi, lazima watu wadeal nae.
Screenshot_20250409_170157_X.jpg

Vipi huu si ukweli?
 
Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana wanaunga mkono No REFORM no ELECTION, je watafanya reforms zozote? Mchimbaji akamjibu kuwa, haiwezekani kabisa kufanya reforms zozote, kwa sababu wakifanya reforms ambazo TAL anataka, ni sawa na kutangaza kuwa wameondoka rasmi kutawala nchi.

Yule jamaa yangu akamwuliza kuwa kwa vile wamefanya mema mengi kama ambavyo huwa wanatangaza, kwa nini kufanya reforms iwe ni ticket ya kuondoka madarakani. Mchimbaji akamjibu kuwa, 'kumbe wewe huelewi? sisi huyu wa kwetu kwanza ni mgonjwa, pili kutoka upande ule na yale mambo yaliyotokea, kama yale ya bandari, tayari ni disadvantage, lakini jingine kubwa hana uwezo mzuri wa kujieleza, sasa ukifanya na reforms, unaona kuna uwezekano wa kushindana na TAL?'.

Yule jamaa yangu akamwuliza, 'sasa kama ni hivyo, na TAL anazidi kuwafungua watu, na wengi kuonekana kumwunga mkono, mtafanyaje kupambana naye?'. Mchimbaji akamjibu, ndiyo maana naenda Songea. Kule naenda kuelekeza vyombo vya dola. Pale mjini Songea hatafanya mkutano. Tukimdhibiti yeye, na kila atakayeinuka, tukaweza kuongeza nguvu na kuwasaidia wale wanaopingana naye ndani ya chama chake, tutafanikiwa kuwafanya wakubali kushiriki uchaguzi bila mabadiliko au wasusie, lakini wasizuie. Wakisusia itakuwa vizuri zaidi.

Ile tarehe 4, yule ndugu yangu alivyonisimlia, nilipuuza. Lakini baada ya leo TAL kukamatwa kabla ya mkutano wa Songea mjini, na hivyo TAL hataweza kuhutubia huo mkutano kama Mchimbaji alivyonena, nimeanza kuamini yale niliyoambiwa, kumbe ulikuwa ndiyo ukweli wenyewe.

Mambo muhimu niliyoyapata katika conversation ya hawa wawili:
1) Mgombea mmojawapo wa nafasi ya juu ni mgonjwa, huenda asiweze kuzunguka nchi nzima.
2) TAL inajulikana kuwa kwenye mazingira huru, wagombea wengine hawaambulii chochote
3) Mbinu pekee waliyobakiza dhidi ya NO REFORM NO ELECTION ni kuwakamata viongozi.

TUOMBE:
Mungu wetu muweza wa yote, tunaomba umjalie ulinzi wa pekee mtetezi wa haki za watu wako, Tundu Lisu. Tunaomba uwashangaze wale wafuasi wa ibilisi walio kinyume cha haki wanaokesha kupanga uovu dhidi ya wanaoitafuta haki. Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, tunaomba mkono wako wenye nguvu uwafikie na uwaangamize wote walio kinyume cha watafutao haki katika Taifa hili la Tanzania. Tunaomba, hata wakipora haki kwaajili ya tamaa ya madaraka, ukawaoneshe kuwa walikuwa wajinga, sawa na yule mkulima aliyesema kuwa sasa amefanikiwa kupata mavuno mengi, kilichobakia ni kula na kunywa, nawe ukamwambia umpumbavu wewe kwa kuwa leo naihitaji roho yako. Kwaajili ya neno hilo, tunaomba, wote wanadhulumu haki ili wajitwalia madaraka kwa kulazimisha, wakaonekane wapumbavu kwa sababu kamwe hawatayafurahia wala kuyafaidi madaraka waliyoyapata kwa dhuluma. Tunayaleta maombi yetu kwako, kwa Jina la BABA, Tunayaleta maombi yetu kwako kwa jina la Mwana, Tunayaleta maombi yetu kwako, Kwa jina la Roho Mtakatifu, AMINA.

Kila anayetaka haki katika nchi yetu, baada ya kujitakasa kwa toba, asali sala hii au inayofanana na hii katika content kwa kadiri ya imani yake, kwa siku 10 mfululizo , Mungu wetu aliye wa haki, husikia sauti za watu wake, hakika atatenda kwa kadiri ya hekima yake.
Kwa hiyo hapo Wanaamini ndio wamejibu hoja za Lissu na wananchi?
 
Back
Top Bottom