Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

Aisee! Naona hayo maombi yako ni sawa na yale aliyofanya Mwijaku akiwa hija Makka! Tofauti yake,Wakati Mwijaku anaomba dua Allah awaangamize wale wanaotetea No Reforms No Election,wewe umeomba Mungu awaangamize wale wanaopinga No Reforms No Election!

Ngoja tuone.
Bila shaka maombi ya Mwijaku yatapita kwa sababu aliombea akiwa eneo takatifu.
 
Watu wanatekwa na kupotea polisi hamuonekani na ndio kazi yenu kulinda wananchi!!! mnatia aibu sana nyie kutishia watu na kusumbua kwanini msiache wanasiasa wafanye siasa???
 
Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    43.6 KB · Views: 16
Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana wanaunga mkono No REFORM no ELECTION, je watafanya reforms zozote? Mchimbaji akamjibu kuwa, haiwezekani kabisa kufanya reforms zozote, kwa sababu wakifanya reforms ambazo TAL anataka, ni sawa na kutangaza kuwa wameondoka rasmi kutawala nchi.

Yule jamaa yangu akamwuliza kuwa kwa vile wamefanya mema mengi kama ambavyo huwa wanatangaza, kwa nini kufanya reforms iwe ni ticket ya kuondoka madarakani. Mchimbaji akamjibu kuwa, 'kumbe wewe huelewi? sisi huyu wa kwetu kwanza ni mgonjwa, pili kutoka upande ule na yale mambo yaliyotokea, kama yale ya bandari, tayari ni disadvantage, lakini jingine kubwa hana uwezo mzuri wa kujieleza, sasa ukifanya na reforms, unaona kuna uwezekano wa kushindana na TAL?'.

Yule jamaa yangu akamwuliza, 'sasa kama ni hivyo, na TAL anazidi kuwafungua watu, na wengi kuonekana kumwunga mkono, mtafanyaje kupambana naye?'. Mchimbaji akamjibu, ndiyo maana naenda Songea. Kule naenda kuelekeza vyombo vya dola. Pale mjini Songea hatafanya mkutano. Tukimdhibiti yeye, na kila atakayeinuka, tukaweza kuongeza nguvu na kuwasaidia wale wanaopingana naye ndani ya chama chake, tutafanikiwa kuwafanya wakubali kushiriki uchaguzi bila mabadiliko au wasusie, lakini wasizuie. Wakisusia itakuwa vizuri zaidi.

Ile tarehe 4, yule ndugu yangu alivyonisimlia, nilipuuza. Lakini baada ya leo TAL kukamatwa kabla ya mkutano wa Songea mjini, na hivyo TAL hataweza kuhutubia huo mkutano kama Mchimbaji alivyonena, nimeanza kuamini yale niliyoambiwa, kumbe ulikuwa ndiyo ukweli wenyewe.

Mambo muhimu niliyoyapata katika conversation ya hawa wawili:
1) Mgombea mmojawapo wa nafasi ya juu ni mgonjwa, huenda asiweze kuzunguka nchi nzima.
2) TAL inajulikana kuwa kwenye mazingira huru, wagombea wengine hawaambulii chochote
3) Mbinu pekee waliyobakiza dhidi ya NO REFORM NO ELECTION ni kuwakamata viongozi.

TUOMBE:
Mungu wetu muweza wa yote, tunaomba umjalie ulinzi wa pekee mtetezi wa haki za watu wako, Tundu Lisu. Tunaomba uwashangaze wale wafuasi wa ibilisi walio kinyume cha haki wanaokesha kupanga uovu dhidi ya wanaoitafuta haki. Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, tunaomba mkono wako wenye nguvu uwafikie na uwaangamize wote walio kinyume cha watafutao haki katika Taifa hili la Tanzania. Tunaomba, hata wakipora haki kwaajili ya tamaa ya madaraka, ukawaoneshe kuwa walikuwa wajinga, sawa na yule mkulima aliyesema kuwa sasa amefanikiwa kupata mavuno mengi, kilichobakia ni kula na kunywa, nawe ukamwambia umpumbavu wewe kwa kuwa leo naihitaji roho yako. Kwaajili ya neno hilo, tunaomba, wote wanadhulumu haki ili wajitwalia madaraka kwa kulazimisha, wakaonekane wapumbavu kwa sababu kamwe hawatayafurahia wala kuyafaidi madaraka waliyoyapata kwa dhuluma. Tunayaleta maombi yetu kwako, kwa Jina la BABA, Tunayaleta maombi yetu kwako kwa jina la Mwana, Tunayaleta maombi yetu kwako, Kwa jina la Roho Mtakatifu, AMINA.

Kila anayetaka haki katika nchi yetu, baada ya kujitakasa kwa toba, asali sala hii au inayofanana na hii katika content kwa kadiri ya imani yake, kwa siku 10 mfululizo , Mungu wetu aliye wa haki, husikia sauti za watu wake, hakika atatenda kwa kadiri ya hekima yake.
Wabongo hupenda kusikiliza hekaya kama hizi uhalisia wao hawana!
 
Umewahi kumsikia Suharto kwa madili
Hawa wa Africa cha mtoto
Kasome utamjua
Hata kwenye $6b gold scam alikuwemo na wanae
Mzee aliamua kuwa kuwa biashara zote ziwe chini yake na kila dili lazima lipite kwake

Madili yalienda hovyo baada ya watoto kuwa wanagombania madili mbele ya baba yao (Rais)na mama watoto

Sasa hao wananchi ndio walikuwa na shida
 
We kibwengo huu uchafu wako mtumie umpendaye. Thread ya kishamba ulojiandikia chumbani kwako. Hv unawezaje kuandika matope km haya?
Wewe CHAWA unapata wapi ujasiri wa kumuita binadamu kibwengo! Kama unaona thread ni ya kishamba, nini kimekuleta sasa kuja kutuletea haya matapishi yako? Au ndiyo kusema umejikuta unawashwa washwa!!
 
Yaani unataka sisi tuendeshwe na mtu mwenye familia ulaya?!!!! Atawaendesha huko unyumbuni kwenu wapumbavu nyie!

Wewe ni mwehu, huna akili. Watu wapo hapa, unasema eti familia zao zipo Ulaya. Je, ingekuwa kama ilivyokuwa akina Mandela au Mugabe ambao kuna wakati walikuwa wanaendesha mapambano wao wakiwa nje ya mataifa yao, wewe hayawani ungesemaje?

Ninyi majizi na machawa wadhulumaji wa haki, msio na faida yoyote Duniani, pigeni kelele za kiwendawazimu, lakini haki itapatikana.
 
Kwa hiyo hapo Wanaamini ndio wamejibu hoja za Lissu na wananchi?
Ndipo uwezo wa akili yao, ulipoishia. Wauaji na wadhulumaji wa haki, huwa ni watu ambao wana laana, hawawezi kuwa na akili. Hapo Mchimbi atakuwa anajisifu mbele ya bibi Kizmkaz kuwa amefanya jambo kubwa na kuwa sasa bibi Kizimkaz anakubalika!!
 
Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana wanaunga mkono No REFORM no ELECTION, je watafanya reforms zozote? Mchimbaji akamjibu kuwa, haiwezekani kabisa kufanya reforms zozote, kwa sababu wakifanya reforms ambazo TAL anataka, ni sawa na kutangaza kuwa wameondoka rasmi kutawala nchi.

Yule jamaa yangu akamwuliza kuwa kwa vile wamefanya mema mengi kama ambavyo huwa wanatangaza, kwa nini kufanya reforms iwe ni ticket ya kuondoka madarakani. Mchimbaji akamjibu kuwa, 'kumbe wewe huelewi? sisi huyu wa kwetu kwanza ni mgonjwa, pili kutoka upande ule na yale mambo yaliyotokea, kama yale ya bandari, tayari ni disadvantage, lakini jingine kubwa hana uwezo mzuri wa kujieleza, sasa ukifanya na reforms, unaona kuna uwezekano wa kushindana na TAL?'.

Yule jamaa yangu akamwuliza, 'sasa kama ni hivyo, na TAL anazidi kuwafungua watu, na wengi kuonekana kumwunga mkono, mtafanyaje kupambana naye?'. Mchimbaji akamjibu, ndiyo maana naenda Songea. Kule naenda kuelekeza vyombo vya dola. Pale mjini Songea hatafanya mkutano. Tukimdhibiti yeye, na kila atakayeinuka, tukaweza kuongeza nguvu na kuwasaidia wale wanaopingana naye ndani ya chama chake, tutafanikiwa kuwafanya wakubali kushiriki uchaguzi bila mabadiliko au wasusie, lakini wasizuie. Wakisusia itakuwa vizuri zaidi.

Ile tarehe 4, yule ndugu yangu alivyonisimlia, nilipuuza. Lakini baada ya leo TAL kukamatwa kabla ya mkutano wa Songea mjini, na hivyo TAL hataweza kuhutubia huo mkutano kama Mchimbaji alivyonena, nimeanza kuamini yale niliyoambiwa, kumbe ulikuwa ndiyo ukweli wenyewe.

Mambo muhimu niliyoyapata katika conversation ya hawa wawili:
1) Mgombea mmojawapo wa nafasi ya juu ni mgonjwa, huenda asiweze kuzunguka nchi nzima.
2) TAL inajulikana kuwa kwenye mazingira huru, wagombea wengine hawaambulii chochote
3) Mbinu pekee waliyobakiza dhidi ya NO REFORM NO ELECTION ni kuwakamata viongozi.

TUOMBE:
Mungu wetu muweza wa yote, tunaomba umjalie ulinzi wa pekee mtetezi wa haki za watu wako, Tundu Lisu. Tunaomba uwashangaze wale wafuasi wa ibilisi walio kinyume cha haki wanaokesha kupanga uovu dhidi ya wanaoitafuta haki. Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, tunaomba mkono wako wenye nguvu uwafikie na uwaangamize wote walio kinyume cha watafutao haki katika Taifa hili la Tanzania. Tunaomba, hata wakipora haki kwaajili ya tamaa ya madaraka, ukawaoneshe kuwa walikuwa wajinga, sawa na yule mkulima aliyesema kuwa sasa amefanikiwa kupata mavuno mengi, kilichobakia ni kula na kunywa, nawe ukamwambia umpumbavu wewe kwa kuwa leo naihitaji roho yako. Kwaajili ya neno hilo, tunaomba, wote wanadhulumu haki ili wajitwalia madaraka kwa kulazimisha, wakaonekane wapumbavu kwa sababu kamwe hawatayafurahia wala kuyafaidi madaraka waliyoyapata kwa dhuluma. Tunayaleta maombi yetu kwako, kwa Jina la BABA, Tunayaleta maombi yetu kwako kwa jina la Mwana, Tunayaleta maombi yetu kwako, Kwa jina la Roho Mtakatifu, AMINA.

Kila anayetaka haki katika nchi yetu, baada ya kujitakasa kwa toba, asali sala hii au inayofanana na hii katika content kwa kadiri ya imani yake, kwa siku 10 mfululizo , Mungu wetu aliye wa haki, husikia sauti za watu wake, hakika atatenda kwa kadiri ya hekima yake.
Hapo namba Moja hapo maana yake kusini kuchele aiseh!na nyota ing'aayo kutokea Brazil itaongezeka ukubwa na kutoa mwanga wa jua kama Edmund mystic alivyotabiri mapema mwaka huu!!
 
Watu wanatenda kama vile wana ufunguo wa uzima na kuzimi. Wakiona wana uwezo wa kuwaamuru polisi watekeleze ushetani wowote wanaoutaka, nao wanatii, wanaona wana uwezo hata wa kuwaambia mapolisi wazuie hata ukuu wa Mungu. Wanatenda kila aina ya uovu dhidi ya wanadamu wenzao, wanapora haki zao zote, halafu mkono wa aliye mkuu, muweza wa yote, anawaambia wapumbavu ninyi, maana mnahangaika na vitu ambavyo hamtafaidi kama mlivyofikiria.

Lakini kwa vile wamenyimwa ufahamu, na shetani akiwa amewashikilia, wataendelea na ushetani wao ili unabii utimie, kama ilivyokuwa nyakati za Farao wa Misri.
 
Polisi wamemchukua Lisu kwa nguvu inabidi pia aachiwe kwa nguvu sio kwa kumuomba Mungu. Ifike mahali tumuachie Mungu mambo ya juu zaidi ya uwezo wetu.
 
Wewe ni mwehu, huna akili. Watu wapo hapa, unasema eti familia zao zipo Ulaya. Je, ingekuwa kama ilivyokuwa akina Mandela au Mugabe ambao kuna wakati walikuwa wanaendesha mapambano wao wakiwa nje ya mataifa yao, wewe hayawani ungesemaje?

Ninyi majizi na machawa wadhulumaji wa haki, msio na faida yoyote Duniani, pigeni kelele za kiwendawazimu, lakini haki itapatikana.
Mpumbavu we, kina Mandela walikuwa walikuwa wanatafutwa na serikali za makaburu na huko nje waliishi kama wakimbizi tu wa kisiasa na sio raia......hata hawakufikiria na hawakutaka tu kubadilisha uraia.

Huyo chiba wenu amemfukuza nani hapa zaidi ya yeye kuhangaika kutuletea ukibaraka wake.
 
Wewe mwendawazimu hustahili kubishana na yeyote mwenye akili timamu.

Bakia na uhayawani wako, maana ndiyo pekee ulichobakia nacho.
 
Haijalishi mtzusha nn nyie nyumbu watiifu wa lissu, akileta za kuleta anaswekws ndani dakika mbili tu.
Halafu inasaidia nini? Mtabana mtaachia. Uwezo wa kumuweka ndani milele, hamna! Na mkifanya hivyo ndiyo mtakuwa mmejichimbia wenyewe kaburi lenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom