Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Binti wa chenge anaingiaje kwenye suala hili? hii inaonyesha jinsi watanzania wengine walivyo na fikra mbovu. Unataka binti awe rahisi ili iweje? wewe tafuta masiha mshikaji acha masuala ya ngono mana huko ndiko unakoelekea. ukimwi utakuua kaka
mbona mkali hivyo..? simba na ukali wake alipewa kikombe cha chai akanywa (kulikuwa na picha hiyo pale maeneo ya Posta kwenye jengo fulani sikumbuki)...