Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

walisema apinzani ni sleeping ghost huamka kipindi cha uchaguzi tena wapo mjini(kitabu chamsekwa) tena wako mjini. Hawana pesa leo hii wameamka kujinadi wanaitwa wauaji nashindwa kumwelewa TEndwa na CCm wenzie
 
Kuna kalipio lolote amelipeleka jeshi la polisi kwa kosa lao la kuingilia mikutano ya siasa ambayo ipo kisheria na ambayo wao hawana mamlaka ya kuizuia? Watu wengine bwana!
 
Nilitaka kutoa maoni yangu kuhusu matamshi ya Tendwa nimeogopa ban, kila nachotaka kuandika ni ban, samahani wakuu. Ila kisheria hana rungu hilo na hata kama analo si rahisi kazi yake yeye ni kusajiri tu na si vinginevyo. AU alilalia bar akaenda kukutana na waandishi wa habari.
 
kudadeki afute aone mbona hata kurogwa anaweza akarogwa!! na auliza hakimu aliyemvua ubunge lema!
 
WanaJF
Taarifa za kuaminika ni kwamba msajili wa vyama vya siasa John Tendwa ana maelekezo yote ya kuhakikisha anaviangamiza vyama vikuu nchini CUF na CDM
Pamoja na vitisho vya wazi alivyotoa kuhujumu na kuangamiza CDM kwa sababu uhai wa CCM unakaribia mwisho pia inasemekana alipewa maelekezo maalum kusajili harakaharaka chama cha ADC ili kuhujumu nguvu ya CUF Zanzibar.Inasemekana CCM ina wasiwasi mkubwa wa kuondolewa madarakani huko Zanzibar na CUF.Usajili wa ADC unatia mashaka makubwa kwani chama hicho kilisajiliwa ndani ya muda mfupi sana tofauti na usajili wa vyama vingine unavyotiwa mizengwe mfano wa karibuni ukiwa CCJ.

My Take:
Umefika wakati wa vyama vya CDM na CUF kusahau tofauti zao na kuungana kupambana na uhalifu unaofanywa na John Tendwa kwa maslahi ya CCM.
 
Nyinyi ndio mnabaka demokrasia na utulivu wa Tanzania. Unaweza kunipa sababu za Daudi kumvaa mkubwa wa polisi wakati wameshatangaziwa watawanyike?

dunia nzima sijawahi ona mwandishi wa habari anatangaziwa kutawanyika eneo la tukio! Ajabu lingine Tanzania, ngoja tulipigie kura liingie kwenye WorlWonders!
 
Jamaa mwenyewe anabana pua!! akawabanie wenzake huko ccm na wife wake CUF lakini sio kwa Makamanda
 
hata akifuta CDM dhamira za Watanzania za kitoa CCM madarakani haitabadilika.
 
maskini
wahudumu wa afya wanaomhudumia huyu John Tendwa wako kwenye mgomo nini?
sina shaka huyu mzee hajapewa dawa zake za kichaa (mental illness) kwa siku 3 mfululizo!
au kabadilishiwa dawa baadaya kuona hizo dawa hazimsaidii?
kwamba siku hizi anatumia quazepam na secobarbital?

jaman jaman mpeni dawa zake stahili
la kama hazimsaidii
mfungeni kamba kama wagonjwa wengine!

anaweza akaleta madhara kwa utani wenu huyo jaman kimchezomchezo 2!
 
Tendwa ukikubali kutumiwa utatendwa haswa. Huyu alitoa matamko Arumeru ya kwamba wazee wa kumila hawaitaki CHADEMA mimi binafsi namuogopa kama ukoma. Tusirudi nyuma mpaka haki ipatikane.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CDM na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyakati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source:Habari Radio Tumaini.

Huyu ni mmoja kati ya watu walioteuliwa na mwenyekiti wa ccm kwa hiyo hawezi kutoa kauli tofauti na nape kwani wote ni kitu kimoja. Wanaagiza polisi wauwe ili watimize malengo yao,watanzania ni waelewa wasitufanye mazuzu
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CDM na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyakati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source:Habari Radio Tumaini.
[Tendwa takataka ambazo hazifai kuwa re-processed bali kuyeyushwa kwa moto centrigrade 800 then kuzikwa katikati ya bahari! puuzi tu kazi kujikosha, hata wafanyaje wanaondoka!
 
ccm na polisi ndio watakao kuwa wa kwanza kuvuruga amani ya nchi yetu,na hakuna chama kingine kwani wao ndio wenye dola iweje wakilaani chama ambacho hakina dola kwani dola yenyewe sasa wananchi wameshakosa imani nayo,waangalie yanayoendelea huko afrika kusini kwenye maandamano kwani waandamaji wanatembea na silaha za jadi dola ikirusha bomu wao wanachomoa mishale hivyo bomu wamelikwepa ila mshale umewapata hatutaki tufike huko,ila bandu bandu
 
Back
Top Bottom