satellite
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 616
- 170
Chama cha demokrasia na maendeleo kimeamua kusitisha mikutano yake
ili kuepusha balaa nitakalo wakuta baada ya msajili wa vyama vya siasa John
tendwa kuvionya vyama vinavyosababisha mauwaji kwenye mikutano yake
mdau wetu alidokeza kuwa cdm sasa hivi wako kwenye mvutano mkali na wamesitisha
mikutano yao.
Mwandishi wetu alitaka mdadisi amwambie kwanini Zitto mara zote hajawai kushiriki hii mikutano ya chadema?
Alisema sasa hivi kuna mvutano mkali kati ya upande wa Zitto na upande wa Slaa na mbowe
Pata habari kamili kutoka HAPA
Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo?hata kuchanganya na zako umeshindwa?Hivi wanaoua ni chadema au polisi?mara zote polisi ndo wanaoingilia na kuleta mtafaruku ili ionekane chadema ndo wanaohusika na mauaji,morogoro wafuasi walikua wanaandamana kwenda kwenye mkutano polisi wakaingilia kati,Iringa chadema walikubaliwa kuendelea na shughulizi za kufungua matawi yao na walipata kibali cha ajabu kamanda wa polisi ndo aliongoza FFU kwenda kuwatoa wafuasi waliokua ndani ya nyumba na kuwatanya ova walikua nje kwenye mkutano.
Siasa za sensa zimeingizwa kwenye kampeni za M4C na zinawachanganya sana CCM,wenzao wamekua na kauri mbiu nyingi kuanzia operation sangara,operation ya vua gamba vaa gwanda na ss M4C ila CCm kipindi chote hicho wako kimya hawana hata kauri mbiu moja ya kukinusuru chama na wameamua kuja na mbinu chafu na za fitina
Muda wa sensa ulishakwisha na serikali ikaongeza siku saba kwa vile walikua 5% bado na 95% tayari sasa wanataka kusema kwamba hao 5% ambao bado wako mkoa wa iringa wote?hii haiingii akirini mbona wameruhusu Fiesta tena ikiwa na ulinzi wa askari ss ule ni mkusanyiko wa nn?mi nilitegemea tendwa aseme polisi sasa ni marufuku kuingilia kati mikutano ya vyama