Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

Nafikiri huyu Tendwa akili zimemruka ndo maana wanasema umri wa kustaafu ni miaka sitini sasa haka kazee si kanakaribia sabini kweli sasa katakuwa na wazo gani ambalo ni constructive zaidi ya kuongea hayo ili wazee wenzie wamwone yupo kazini?kama yeye amekaribia kurudi kwa baba aende salama na aache kubwabwaja maneno ya kipuuzi yeye anadhania anaongea na wajukuu wake?aachane na kushika ukibendera wake.shit.
 
Tendwa amesema atasitakukifuta chama cha siasa ambacho kitasababisha kifo haku mentioned specific Chadema.
 
Tendwa amesema atasitakukifuta chama cha siasa ambacho kitasababisha kifo haku mentioned specific Chadema.

Mkuu wangu hebu tumia akili kidogo.Ulichoandika ni Too Low for you!
 
Its true umuri umekwenda sana hana jipya anatakiwe apumzike YUPO KWA SABABU YA PETE ZA MAJINI
Ushirikina una mwsho 2015 wachawi wote mtatupisha
Tendwa1.jpg

Tendwa na pete ya majini
amefanana na marnin-g.a.y. wana ukoo au??? nijuzeni jamani! yule mwanamuziki aliyekufaga miaka ileeeeeeeeee!
 
Kwa hali inavyoashiria ni kwamba mipango mkakati uliyosukwa kwa umakini mkubwa na CCM ikishirikiana na Jeshi la Polisi na Msajili wa Vyama vya siasa Bwana John Tendwa zinaonekana kufanikiwa!

Nasema hivi kufuatia matukio mawili au tuseme matatu yaliyofuatana kwa kuanzia kule Arusha January 2012 na haya 2 ya Morogoro na Iringa. Matukio haya ni ya mauaji ya raia wasikouwa na hatia kwenye mikutano na maandamano ya CHADEMA. Tumesikia kauli mbalimbali zikitoka kwa Chama Twawala-CCM.Jeshi la Polisi, Waziri wa Mambo ya ndani Bwana Emmanuel Nchimbi na Msajili wa Vyama vya siasa. Mipango mkakati iliyosukwa na CCM ni kuhakikisha kuwa kila Mkutano wa CDM uwe wa ndani au wa hadhara lazima Polisi wauzuie kwa gharama yoyote hata kama hakuna sababu za msingi. Mikutano hii ikishazuiliwa kinachofuatia hapo ni Polisi kwenda na kuanzia vurugu ili kujenga mazingira ya kuua mtu/watu kadri hali itakavyoruhusu. Baadaya mauaji kinachofuata ni ni kuitaarifu Serikali na Msajili wa vyama kwa ajili ya kutekeleza sheria ya kukifuta chama husika.

Kauli zote zimeonekana kuegemea upande mmoja kwa maana ya kulitetea Jeshi la Polisi na kutupa lawama zote kwa chama cha CDM kwamba ndicho kinahusika na mauaji hayo! Hata kabla ya matukio haya yanayoonekana kuratibiwa kwa umakini mkubwa tulishasikia matamko ya vigogo wa Serikali na Chama Tawala kwamba kama CDM wataendelea kufanya vurugu zao za maandamano basi kitafutwa. Tumesikia maneno haya toka kwa Steven Wassira,Waziri Ofisi ya Rais mwenye dhamana ya Mahusiano ya Jamii kwamba CDM wakiendelea na fujo zao watakifuta lakini pia aliwahi kusema kuwa CHADEMA hakina zaidi ya mwaka 1 ujao kitakuwa kimekufa!!!

Tumemsikia Nnepi Nauye akitoa tamko la Chama chake CCM naye akitupa lawama kwa CCM. Aliyemalizia ni Msajili wa vyama Bwana Tendwa naye akisema yaleyale kuwa atavifuta vyama vyote vinavyoshindwa kutii sheria za nchi na hivo vinasababisha vurugu na mauaji. Hii inadhihirisha kabisa kwamba CCM,POLISI na JOHN TENDWA lao ni moja la kutaka kuifuta CDM au kuizuia isifanye mikutano yake ya hadhara isipokuwa wakti wa Kampeni za Uchaguzi tu!!!

Swali ni Je,watafanikiwa???Tusubiri,time gonna tell.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CHADEMA na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.

Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyakati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.

Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source: Habari - Radio Tumaini

ahahahahaa ahahahahaaa ahahahahaaaaaaaa, daah! kama ana ubavu afute itikadi yake na imani yake kwa ccm! halafu aje afute itikadi na imani ya CDM!0 Yaani msajili, msajili! Hana uelewa kwamba CDM sio kipande cha karatasi cha4*4 bali ni imani iliyo jikita na kutua mioyoni mwa watu? watu kama hawa ndio wanaoleta vurugu nchini!
 
TENDWA,TATIZO LAKE NI KWAMBA AMERITHI MFUMO WA CHAMA KIMOJA NA NDIO MAANA UCHAMA UNAMSUMBUA.KAMA VYAMA VYA UPINZANI NI TATIZO NAMUOMBA kAmA ANA UWEZO WA KUFUTA, NAMUOMBA ATANGAZE KUFUTA VYAMA VYOTE NA TURUDI KWENYE CHAMA KIMOJA KAMA VYAMA HIVYO VIMELETA NA CCM. .HALAFU TUONE!
 
Tendwa has gone Bio!! He rather put up or shut up.
 
Kuna msemo wa KIHAYA usemao, "Eibala lita nyinalyo" yaani jina humuua mwenyewe i.e mwenyejina hilo. Msajili wa vyama vya siasa anaitwa TENDWA. Neno Tendwa ni kitenzi kinachoonesha kuwa kitu au mtu kafanyiwa kitu fulani (hasa kibaya). Utasikia mtu anamwambia mwenzie wamenitenda, moja kwa moja msikiaji hawezi kufikiria kutendwa kuliko chanya bali kuliko asi, yaani kwamba amelogwa, amepigwa au amerubuniwa na watu wabaya.

Sasa tujiulize, hivi kwa matamshi ya jana aliyoyatoa kwenye vyombo vya habari juu ya kufuta vyama vya siasa hasa ndani yake akiwa na CHADEMA kama chama atakachoanza nacho, alikuwa salama, mwenye akili zake timamu,au alikuwa amelogwa yaani ameTendwa?

Mimi naamini alikuwa ametendwa! Na kwa sababu hiyo, si yeye katika u-yeye wake aliyekuwa anatamka matamshi hayo, maana hata mtoto mdogo kwa akili zake za kawaida asingeweza kutamka hivyo.

Inasikitisha na kushangaza kuona kwamba inchi yetu inawekwa katika mazingira ya hatari na watu kwa sababu ya uchu tu wa madaraka. Watu hawa wanapuuza hata evidence zilizo wazi kabisa, na kuanza kuwaada watanzania kwa maneno yao yasiyo na mashiko.

Huyu mzee ametendwa na system, wazee wake walikuwa ni manabii maana waliona tokea mbali kuwa atatendwa, lakini aangalie jinsi anavyotendwa maana lengo kuu la kutendwa ni mauti.

Kwanini asifute chama kilichojaa mafisadi? Kwanini asifute Polisiccm kinachoua raia wasio na hatia? Kama anamachungu ya kufuta kwa nini asifute chama ambacho serikali yake inasaini mikataba ya kinyonyaji? Kwa nini asifute chama chenye wala rushwa waliokubuhu?

Kama anapenda kufuta kwa nini asifute chama ambacho kimetawala kwa miaka hamsini na kwa kipindi hicho watu wake hali zao ni mbaya kuliko zilivyokuwa nyuma?

Pasi na shaka...

TENDWA AMETENDWA!
 
Mkuu wangu hebu tumia akili kidogo.Ulichoandika ni Too Low for you!

Mkuu nafikiri nilikuwa naeleza nilichosikia kama masikio yangu yalipotoka then ungenisahisha siyo kejeli.I respect u.
 
Mkuu nafikiri nilikuwa naeleza nilichosikia kama masikio yangu yalipotoka then ungenisahisha siyo kejeli.I respect u.

Much respect mkuu wangu.Katika mkutano wake wa jana muda wote alikuwa anazungumzia CDM mpaka akafikia mahali bila aibu kusema operesheni ya CDM inayoitwa M4C inaleta uchochezi na mauaji.
 
akili za watu wa ccm na baadhi ya viongozi zinafafana sana mfn tendwa hatofautiani na mwema, nchimbi, shigela nape na wengine wengi sana yani sijui wanamezeshwa sumu au tu ni vilaza.
 
Much respect mkuu wangu.Katika mkutano wake wa jana muda wote alikuwa anazungumzia CDM mpaka akafikia mahali bila aibu kusema operesheni ya CDM inayoitwa M4C inaleta uchochezi na mauaji.

Noted Mkuu wangu!Ngoja tuone hiyo sheria wanaotakutunga nina uhakika itachambuliwa kama karanga.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CHADEMA na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.

Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyakati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.

Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source: Habari - Radio Tumaini

Huyu babu naye anatia huruma kweli. Kazeeka vibaya mpaka hata akili imeanza kupungua uwezo wa kufukiri. nakushauri babu tendwa upumzike, huwezi kucheza mdundo wa vijana wewe, watakupiga kikumbo uishie kuto laana ambayo hata haitafika popote, sanasana itakurudia mwenyewe tu. hivi huyu mzee mbona huwa hazungumzii rafu za ccm, au kwa sababu wao ndo wanaompa pesa ya kununulia vitumbua wajukuu??? VUGUVUGU LA MABADILIKO NI LA WATANZANIA WOTE WALIOPO NJE YA SYSTEM NA WALIOCHOSHWA NA ccm, HATA UKIIFUTA CHADEMA (INGAWA NAJUA UNATISHIA TU) HAUTAZUIA NYOYO ZA WATANZANIA AMBAO WAMESHADHAMIRIA KUBADILI CHAMA PAMOJA NA MFUMO MBOVU KABISA WA UTAWALA.

Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CHADEMA na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.

Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyakati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.

Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source: Habari - Radio Tumaini

Huyu mzee mdaku..,wadau mnakumbuka enzi za Washiri Arumeru Mashariki...tushamzoea....!
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CHADEMA na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.

Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.

Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyakati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.

Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.

Source: Habari - Radio Tumaini

Tendwa ni mpuuzi tena wa kupuuzwa hasa. Sioni mantiki mkumjadili mwanasheria asiyejua sheria kama Tendwa. Kama ana ubavu afute sio kutishia halafu aone cha moto. Mimi akili yangu naielekeza kwenye kushika dola 2015 sio wapuuzi kama Tendwa wanaturudisha nyuma.
 
Back
Top Bottom