Much respect mkuu wangu.Katika mkutano wake wa jana muda wote alikuwa anazungumzia CDM mpaka akafikia mahali bila aibu kusema operesheni ya CDM inayoitwa M4C inaleta uchochezi na mauaji.
RPC kwenye shughuli ya CDM kijijini palipo tokea tukio-sikawaida-walikwisha amua liwalo na liwe
Labda uombewe ufahamu kwani, kila mwenda mbio sana sio mshindi, na kiburi cha CDM kitawangamiza , Hta sensa hawajui maana yake, wana uungwana gani? Dears, KIPYA KINYEMI!
Hivi hiki kibabu familia yake inaishi Tanzania?
Leo Tendwa ameumbuka vibaya.Hakika Jaji Amir Manento amemvua nguo sijui ataficha wapi sura yake.
Kwenye suala gani?