Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
Ngoja mie nipite tuu maana siasa si fani yangu na wala sijui cha ku-comment hapa!
sasa kama siasa sio fani yako jukwaa la siasa umefuata nini punguza kuwashwa binti
Ngoja mie nipite tuu maana siasa si fani yangu na wala sijui cha ku-comment hapa!
Wana jf kauli hii ya msajili anadhani tunavyokaa kimya na wakifanya mambo yao ya kijinga tumenyamaza anadhani akifuta chama hili patakalika hapa nchini? kama alivyozoea kutumwa na magamba sasa hivi hatukubali. Yeye haoni hapo nani mkosefu? jaribu tuone uone sura za watanzania zilivyo.
Hivi hiki kibabu familia yake inaishi Tanzania?
Mungu amewaumbua.Kilichoikoa CDM ni zile picha zilizopigwa na waandishi kuonyesha yule polisi katili alivyofumua utumbo wa mwandishi yule masikini.Kwani siku ile tayari Chagonja alishasema CDM ndiyo walirusha kitu kizito kumuua yule mwandishi,kumbe walishajipanga kupiga propaganda na tayari Tendwa alishaandaliwa kuongea ujinga kama wa leo ili kuhalalisha kufuta CDM.Mungu ni mwema waandishi wamemuumbua Tendwa na wenzie.
wabongo kwa harakat za kwenye social networks mnatisha...nakwambia cdm itafutwa na hutaona mtz hata mmoja anaingia barabaran kupinga uamuzi huo, hata ww ulieanzisha hiyo thread hautaonekana......unafiki tu huku unafyata mkia!