Kutofautiana katika misimamo ni jambo la kawaida tu hasa unapoendesha au unapowajibika kwa maamuzi makubwa.
Inapokuwa misimamo isiyohusu kanuni za kisheria, hapo sawa. Lakini katika hili, kinachoangalia ni sheria inasemaje. Sheria inasema mtu akifukuzwa uanachama na chama chake, hawezi kuendelea na wadhifa wake ambao alichaguliwa kwa kofia ya chama, hata awe rais. Alichokifanya Mkuchika ni kutofautiana na sheria hiiKutofautiana katika misimamo ni jambo la kawaida tu hasa unapoendesha au unapowajibika kwa maamuzi makubwa.
Suala hili lina utata, lipo mahakamani. Mkuchika yupo sahihi, hawezi kutambua kuvuliwa kwao wakati suala lipo katika vyombo vya sheria. hata kwa mfano suala la kujivua kwa Rostam kama lingekuwepo mahakamani.bunge lisingeweza kutambua kutokuwepo kwa mbunge katika jimbo la igunga. hivyo kauli ya mkuchika ipo sahihi hadi pale mahakama itakopotoa maamuzi yake. "Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" wale bado ni madiwani kama sheria inavyomtambua "mhalifu" kuwa hana hatia hadi pale sheria itakapomtia hatiani. Tenda ndiye aliyekurupuka.
Kutofautiana katika misimamo ni jambo la kawaida tu hasa unapoendesha au unapowajibika kwa maamuzi makubwa.
haya ni maamzi makwa kwa nani kwa CCM, Serikali, Mahakama, CHADEMA au madiwani walio temwa....Kutofautiana katika misimamo ni jambo la kawaida tu hasa unapoendesha au unapowajibika kwa maamuzi makubwa.
MN,Inapokuwa misimamo isiyohusu kanuni za kisheria, hapo sawa. Lakini katika hili, kinachoangalia ni sheria inasemaje. Sheria inasema mtu akifukuzwa uanachama na chama chake, hawezi kuendelea na wadhifa wake ambao alichaguliwa kwa kofia ya chama, hata awe rais. Alichokifanya Mkuchika ni kutofautiana na sheria hii
yaani kama mahakama ingetoa tamko alilolitoa Mkuchika sijui kama kungekuwa na mabishano haya yote..tatizo kwanini mkuchika yeye atoe tamko hilo badala ya mahakama ni kwa masilahi ya nani huoni kafanya kazi ya mahakama...Suala hili lina utata, lipo mahakamani. Mkuchika yupo sahihi, hawezi kutambua kuvuliwa kwao wakati suala lipo katika vyombo vya sheria. hata kwa mfano suala la kujivua kwa Rostam kama lingekuwepo mahakamani.bunge lisingeweza kutambua kutokuwepo kwa mbunge katika jimbo la igunga. hivyo kauli ya mkuchika ipo sahihi hadi pale mahakama itakopotoa maamuzi yake. "Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" wale bado ni madiwani kama sheria inavyomtambua "mhalifu" kuwa hana hatia hadi pale sheria itakapomtia hatiani. Tenda ndiye aliyekurupuka.
Kutofautiana katika misimamo ni jambo la kawaida tu hasa unapoendesha au unapowajibika kwa maamuzi makubwa.
MN,
KATIBA ya JMT inamtambua Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi wake hadi leo! Lakini Maalim Seif ana mabenzi meusi matatu na ulinzi.
Hapo kwenye Red.Tendwa,Mkuchika nao watofautiana vikali
Nakala ya barua hiyo ambayo ilibeba kichwa cha habari kisemacho: "Kuvuliwa uanachama hivyo kukosa sifa ya kuwa diwani huku mwisho wa barua hiyo ikisema kuwa 'kutokana na na madiwani hao watano kufungua kesi na kuiomba mahakama kuwarejesha uanachama wataendelea kuhudhuria vikao vyote vya baraza na kulipwa stahili yote hadi mahakama itakapotoa uamuzi'.
Kutofautiana katika misimamo ni jambo la kawaida tu hasa unapoendesha au unapowajibika kwa maamuzi makubwa.