Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Hivi mwanachama wa chama cha siasa aliyejiunga baada ya mwezi akafariki chama kinafutiwa usajili? CCM wawe wa kwanza kufanyiwa hivyo. Bajeti lazima inatosha kuhakiki wanachama wa CCJ, la sivyo ofisi ya Tendwa itakuwa ina matumizi mabaya ya fedha, Utoh anatakiwa kuichunguza ingawaje naye atawekwa kwenye pressure kama jaji Augustine kwa kuchelewesha hukumu ya mgombea binafsi kwani mgombea binafsi na CCJ ni kama ngoma draw.
Sheria ya uchaguzi inaeleweka vizuri wala hatuitaji kueleweshwa. JK amewaelewesha viongozi wa dini kwa kuivunja sheria hiyo eti takrima haikwepeki wakati aliweka sahihi mwenyewe kwa mbwembwe. Tendwa nae jana kwenye TV anasema viongozi wa dini waje watuhubirie kuhusu sheria hiyo na mambo ya uchaguzi misikitini na makanisani; viongozi wa dini watakaofanya hili watakuwa si welevu kwani waraka zilikwisha toka, tukazisoma na kuzielewa vizuri kabisa. wazee wa kule Mara walikwisha anza kutekeleza hili kufuatia dini zao za jadi halafu CCM wanapiga kelele. Mfa maji ahachi kutapatapa!!