Tendwa, Marmo wala njama kuinyima usajili CCJ - hawana fedha ya uhakiki!

NYAMBALA MIMI NAONA HUJUI UNALOONGEA! KASOME KATIKA YA VYAMA MAKINI VIWILI TU CUF NA CHADEMA UTAONA HAYO UNAYOSEMA. mIMI SI MWANA CHAMA WA VYAMA HIVI WALA SINA CHAMA ILA NIMFUATILIAJI MZURI WA MASWALA YA SIASA KABLA YA KUKURUPUKA NA KUONGEA. iNAONEKANA WEWE WASHAKUPA TISHETI NA KOFIA.!
 
Sijui Nijiunge na mimi?Nimeanza kupata matumaini ya kuona maendeleo yanakaribia kuja kwa taifa hili.

Hivi kweli Ofisi hiyo haina pesa?Hilo si la kukubaliana nalo kabisa,waiitishe harambae wachangiwe..

I love politics when it comes a time when things get hotter than before..

Go CCJ..Ningeshauri wawaite walimu na siyo wazee..wazee wa nini hapa?

Mkuu tusijiulize zaidi, mimi nimeshaamua kujiunga CCJ naona ukombozi unakaribia sana. Tendwa lazima atoe usajili, huwezi kutoa kisingizio cha fedha katika masuala ya demokrasia. Mbona hajasema wanafanya jitihada gani kutafuta fedha, huwezi sema fedha hakuna na tunakaa hatuwapi usajili. Itabidi ajiuzuru basi.

Nachukua nafasi hii kuwaomba wananchi wa Tanzania tujiunge CCJ kwa mafanikio ya nchi yetu.
 
Kwa wadhifa wake ndugu Tendwa ni "Msajili wa vyama va siasa", sasa inapokuwa hawezi kusajili chama ambacho kimetimiza masharti ya usajili kutokana na sababu ambazo hazipo kisheria basi wadhifa wa huyu ndugu inabidi ajiuzulu au utenguliwe maramoja. Kazi yake ni kusajili vyama sio semina za uchaguzi ( hii ni kazi ya Tume ya uchaguzi). Katika miaka 2 hajafanya kazi inayomhusu kwani hajasajili chama chochote, inakuwaje leo kazi yake amefika anashindwa kuifanya? Kama ni ukosefu wa pesa, anaweza kuomba bajeti ya dharura kama dhamira yake ya kufanya kazi yake inamtuma.
Kuhusu CCJ kuwa imechelewa ina kipindi kifupi kuelekea uchaguzi, haina wanachama wengi na haijulikani mikoani si sahihi. Niungane na MMJ kwamba kila mapambano yana mbinu zake na tusisahau CCM wako 4m lakini wanaopiga kura ni 25m, hivyo basi hata kama CCJ ina wanachama 50,000 bado ina nafasi ya kushinda kutokana na idadi kubwa ya wapiga kura.


"Moringe wote ni wamasai lakini sio kila mmasai ni Moringe"
 
CCJ should call a press conference and then do a fundraiser to fund the audit.. After clearly condemning the actions of this idiot. Anakua kama mtu asiena watoto bwana. Unaweza vipi kwenda ongea upusti wa kiasi hicho mtu ambae umepewa nafasi na Sheria yakulida Democracy in the country. Some people are like monkeys. Nani anacontact za hawa viongozi wa CCJ. Mimi sio mwanachama wao lakini injustice pains my heart. Huu ni ubabe na uonevu, tabia zakinyama kabisa.
 
By The Citizen Reporter

The Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, said yesterday that his office does not have the money required to facilitate the swift registration of the newly formed Chama Cha Jamii’s (CCJ).This has effectively sidelined CCJ from this year’s General Election.


CCJ submitted its documents to Mr Tendwa’s office last Friday as part of the process of seeking permanent registration and making the party eligible for the October 31 polls.

Mr Tendwa said yesterday his office does not have the budget to finance the verification of documents submitted by the opposition party. The process includes sending officials to ten regions where the party recruited its members.


hii kali sana sikutegemea kwamba sababu kama hii itatumika kwenye kuinyima usajili CCJ.waseme kiasi gani wamepungukiwa watu wachange alafu tuone itakuwaje.


kweli nchi yetu inaendeshwa kitoto sana.
 
Hivi hawa viongozi wetu haya majibu ya kijinga huwa wanatoa wapi? umekuwa kama ugonjwa sasa kila mtu akiongea ni pumba tu.
 
Bw. Tendwa amezungumza kwa kejeli kuwa ofisi yake haina fedha za kwenda kufanya uhakiki wa wanachama mikoani kama sheria inavyotaka akidai kuwa kutokana na shughuli mbalimbali za uchaguzi haitowezekana kufanya hivyo kwa sasa.

Vipi kama wadau tutaamua kuchangia hizo gharama yuko tayari kufanya kazi yake kwa mujibu wa katiba inavyomtaka?
 
Back
Top Bottom