miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
labda kama wakiolewa hilo tenda linageuka na kuwa sarakasi? kama hapana wanatoa coment tu mbonaHakuna kitu, waafrika walioolewa hawashabikii ( kutoa comment) vitu vya ngono, au wasemaje
labda kama wakiolewa hilo tenda linageuka na kuwa sarakasi? kama hapana wanatoa coment tu mbonaHakuna kitu, waafrika walioolewa hawashabikii ( kutoa comment) vitu vya ngono, au wasemaje
ha ha haha mtani[emoji23] [emoji23] [emoji23] ntapiga hata cha wima [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji12] [emoji87] [emoji85] [emoji13]
labda kama wakiolewa hilo tenda linageuka na kuwa sarakasi? kama hapana wanatoa coment tu mbona
vizuri mkuu mtunze mkeoWanaume hawapendagi wake zao washsbikie ngono, picha . Ndio maana magazeti ya udaku hawayaletagi nyumbani. Ni kuwa unashabikia ngono. Anyway, huwa sipendi mke ashsbikie story na picha za ngono. Nisamehe nimepitwa na wakati
Poyeee[emoji12] [emoji12] [emoji12]Wanaume hawapendagi wake zao washsbikie ngono, picha . Ndio maana magazeti ya udaku hawayaletagi nyumbani. Ni kuwa unashabikia ngono. Anyway, huwa sipendi mke ashsbikie story na picha za ngono. Nisamehe nimepitwa na wakati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]vizuri mkuu mtunze mkeo
TATIZO WASOMI MNATUMIA AKILI
NYINGI KWENYE JAMBO DOGO.
Ona hii
Msomi mmoja mwenye PhD pamoja na kijana mmoja ambaye hakubahatika
kusoma walisafiri pamoja kwenda kutembelea mbuga moja maarufu yenye maua na ndege wa kuvutia. Usiku ulipofika wakaweka hema lao zuri na la kisasa na wakalala usingizi mzito kabisa.
Masaa machache baadae, Yule kijana asiye msomi akamuamsha yule msomi na kumwambia 'hebu angalia angani kisha niambie umegundua nini?' Jamaa mwenye PhD aka jibu: "Naona mamilioni ya nyota na mbalamwezi.' Yule kijana asiye msomi akauliza tena “Unajifunza nini ukiona hivyo?” Msomi akatafakari kwa dakika kadhaa kisha akajibu: "Upande wa kiunajimu inaonyesha kuwa kuna fursa nyingi sana katika hii dunia kwetu wanadamu..... Upande wa muda inaonyesha ni usiku wa manane.... Upande wa imani inadhihirisha kuwa Mungu ni muweza wa vyote na sisi kwake ni viumbe wadogo sana na tusio na mamlaka... Upande wa hali ya hewa.... kesho itakuwa siku nzuri
sana".
PhD kisha naye akauliza.... kwa upande wako wewe umegundua nini?” Yule jamaa asiye msomi akakaa kimya kwa muda na kisha akajibu: “Kiuhalisia.... mimi nimegundua kuwa … Hema letu limeibiwa!!
AMRI YA SITA NI USIUE, YA SABA USIZINI. JE TEMBO ANAUA HAPO?
Pale cat pertermAMRI YA SITA NI USIUE, YA SABA USIZINI. JE TEMBO ANAUA HAPO?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] yule wa nchi ya wanonii [emoji12] [emoji12]Tembooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eksi shemegi mambo gani haya unaongea?Pale cat perterm
Shee twenzetu msata weekend hii[emoji39] [emoji39]nikakufundishe dawaEksi shemegi mambo gani haya unaongea?
Dawa ya nini shee?Shee twenzetu msata weekend hii[emoji39] [emoji39]nikakufundishe dawa
Pale cut pertermDawa ya nini shee?
Akuuu mie nataka ya kupewa pesa bila kuomba.Pale cut perterm
So ndio hiyo sasaAkuuu mie nataka ya kupewa pesa bila kuomba.