'Tembo' avunja amri ya sita!

'Tembo' avunja amri ya sita!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,682
Reaction score
4,343
271f55731153868df29a2d5d1ab1a75b.jpg
 
hilo tembo jike nalo linasikilizia tu utamu....ha ha haaa utamu ukizudi litakaa chini....kazi kwenu mlio mgongoni
 
Ni ujuha kudhani kwamba amri inayozungumzia zinaa ni ya sita! Yaani uongo wenu mnaofundishwa na mapadre wenu umewaathiri ubongo kiasi cha kushindwa kusoma Amri zilizoandikwa kwenye Biblia katika kitabu cha KUTOKA 20:1-?
 
Kwani wanyama nao walipewa amri alizokabidhiwa Musa? Kama ndio walikabidhiwaje na zilikuwa zimeandikwaje ili wanyama wazielewe? Je, sio kuwa hao tembo ni wana ndoa? Wana-zoologists wanahitajika hapa kutupa ukweli juu ya unachokisema!
TATIZO WASOMI MNATUMIA AKILI
NYINGI KWENYE JAMBO DOGO.
Ona hii
Msomi mmoja mwenye PhD pamoja na kijana mmoja ambaye hakubahatika
kusoma walisafiri pamoja kwenda kutembelea mbuga moja maarufu yenye maua na ndege wa kuvutia. Usiku ulipofika wakaweka hema lao zuri na la kisasa na wakalala usingizi mzito kabisa.

Masaa machache baadae, Yule kijana asiye msomi akamuamsha yule msomi na kumwambia 'hebu angalia angani kisha niambie umegundua nini?' Jamaa mwenye PhD aka jibu: "Naona mamilioni ya nyota na mbalamwezi.' Yule kijana asiye msomi akauliza tena “Unajifunza nini ukiona hivyo?” Msomi akatafakari kwa dakika kadhaa kisha akajibu: "Upande wa kiunajimu inaonyesha kuwa kuna fursa nyingi sana katika hii dunia kwetu wanadamu..... Upande wa muda inaonyesha ni usiku wa manane.... Upande wa imani inadhihirisha kuwa Mungu ni muweza wa vyote na sisi kwake ni viumbe wadogo sana na tusio na mamlaka... Upande wa hali ya hewa.... kesho itakuwa siku nzuri
sana".

PhD kisha naye akauliza.... kwa upande wako wewe umegundua nini?” Yule jamaa asiye msomi akakaa kimya kwa muda na kisha akajibu: “Kiuhalisia.... mimi nimegundua kuwa … Hema letu limeibiwa!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,noma sana,yeye alikuwa hajagundua tu na kuongea yote hayo
 
Ni ujuha kudhani kwamba amri inayozungumzia zinaa ni ya sita! Yaani uongo wenu mnaofundishwa na mapadre wenu umewaathiri ubongo kiasi cha kushindwa kusoma Amri zilizoandikwa kwenye Biblia katika kitabu cha KUTOKA 20:1-?
Jifunze kucomment mbele ya watu wenye imani tofauti. Mpaka hapa umewadhihaki watu zaidi ya billion moja kwa ujinga wako!!
 
HIZI SASA NI AKILI ZA KU
mtoto gani na wewe, au yule aliyekaa mbele? hata akiona sio ishu

mbona kuku, mbuzi, ng'ombe na bata wanagagaduana mbele za familia na inakuwa poa tu?
HIZI SASA NI AKILI ZA kuazima afadhali umurudishie akili zake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.umetaja ndege na wanyama , na siyo binadamu. iko siku hata wewe utajufunza anayo fanya kuku ..... sitaki kukucheka
 
Back
Top Bottom